Je, Tundu Lissu kumstaafisha Siasa Abdulrahman Kinana?

Hatuna haja ya kuyarudia tena aliyoongea Mzee Zaidi Kinana, maana ni dhahiri kila mmoja amemsikia, bali bila hata akili kubwa sana utagundua kwamba uwezo wa Mzee Kinana umekwisha, hana tena ule weledi aliosifiwa nao awali, nadhani ni kwa sababu ya Uzee (Kila lenye mwanzo lina mwisho, huwezi kuwa na zaidi ya miaka 80 ukawa na akili zilezile za ujana)
Hebu kwanza.

Ngoja niwe upande wa Kinana kwa mara moja hii. Kuna kipi cha kutetea na kujengea hoja katika mambo yanayoendeshwa na CCM wakati huu.
Ni jambo gani, katika yooote aliyojitahidi kuyatetea, ambalo unaweza kusema kashindwa kutoa utetezi wa kutosha, kwa sababu ni jambo jema linalofanywa na CCM?

Kwa hiyo mzee Kinana alikuwa pale, kama kujikosha tu. CCM haina utetezi wowote katika mambo yote aliyogusa Kinana.
 
Kwa Taarifa nilizonazo ni kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anapanga kufafanua na kupangua Upotoshaji wa Mzee Kinana, huu alioutoa leo kwa Waandishi wa Habari.

Hatuna haja ya kuyarudia tena aliyoongea Mzee Zaidi Kinana, maana ni dhahiri kila mmoja amemsikia, bali bila hata akili kubwa sana utagundua kwamba uwezo wa Mzee Kinana umekwisha, hana tena ule weledi aliosifiwa nao awali, nadhani ni kwa sababu ya Uzee (Kila lenye mwanzo lina mwisho, huwezi kuwa na zaidi ya miaka 80 ukawa na akili zilezile za ujana)

Swali letu ni hili, Je Spana za Lissu Zitamstaafisha Rasmi Siasa Mzee Kinana ?
Lissu ni kichaa, na wanaomfuata nao ni vichaa.period.
 
Atastaafu kwa umri sio boya tundu lisu,huyo kwanza kesho anawakimbia hapo manyumbu nyie.
 
Siasa siyo kung fu au karate.Aelezwe mzee Kinana.Dunia inazunguka kisayansi.Hakuna usanii na uchawi.Hana uwezo wa kujibujibu hoja kadiri anavyojisikia kwa kutumia umri au kuitwa gwiji tu.No!Atulie.
 
Kwa Taarifa nilizonazo ni kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anapanga kufafanua na kupangua Upotoshaji wa Mzee Kinana, huu alioutoa leo kwa Waandishi wa Habari.

Hatuna haja ya kuyarudia tena aliyoongea Mzee Zaidi Kinana, maana ni dhahiri kila mmoja amemsikia, bali bila hata akili kubwa sana utagundua kwamba uwezo wa Mzee Kinana umekwisha, hana tena ule weledi aliosifiwa nao awali, nadhani ni kwa sababu ya Uzee (Kila lenye mwanzo lina mwisho, huwezi kuwa na zaidi ya miaka 80 ukawa na akili zilezile za ujana)

Swali letu ni hili, Je Spana za Lissu Zitamstaafisha Rasmi Siasa Mzee Kinana ?
Acha unafikiri Binti. Kama ameshindwa kumstaafisha Mwenyekiti wake Mbowe ambaye anaenda mwaka wa 40 Sasa akiwa madarakani ndio amwondoe Mzee Kinana ambaye hata mwaka hajamaliza?
 
Kwa Taarifa nilizonazo ni kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anapanga kufafanua na kupangua Upotoshaji wa Mzee Kinana, huu alioutoa leo kwa Waandishi wa Habari.

Hatuna haja ya kuyarudia tena aliyoongea Mzee Zaidi Kinana, maana ni dhahiri kila mmoja amemsikia, bali bila hata akili kubwa sana utagundua kwamba uwezo wa Mzee Kinana umekwisha, hana tena ule weledi aliosifiwa nao awali, nadhani ni kwa sababu ya Uzee (Kila lenye mwanzo lina mwisho, huwezi kuwa na zaidi ya miaka 80 ukawa na akili zilezile za ujana)

Swali letu ni hili, Je Spana za Lissu Zitamstaafisha Rasmi Siasa Mzee Kinana ?
Naona mnaangaika na kinana ujumbe umewagusa asingekuwa na madhara mngempuuza!
 
Kwa Taarifa nilizonazo ni kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu anapanga kufafanua na kupangua Upotoshaji wa Mzee Kinana, huu alioutoa leo kwa Waandishi wa Habari.

Hatuna haja ya kuyarudia tena aliyoongea Mzee Zaidi Kinana, maana ni dhahiri kila mmoja amemsikia, bali bila hata akili kubwa sana utagundua kwamba uwezo wa Mzee Kinana umekwisha, hana tena ule weledi aliosifiwa nao awali, nadhani ni kwa sababu ya Uzee (Kila lenye mwanzo lina mwisho, huwezi kuwa na zaidi ya miaka 80 ukawa na akili zilezile za ujana)

Swali letu ni hili, Je Spana za Lissu Zitamstaafisha Rasmi Siasa Mzee Kinana ?
Kojoa ukalale upo kwenye usingizi mzito
 
Kustaafu hawezi maana ndiyo kula yake. Ana miradi yake inalindwa na yeye kuwa madarakani....atafia palle tu!
Erythrocyte please uongozi wa chadema wakanushe uvumi eti kuna mgogoro wa uongozi.. naona ,machawa wamelivalia njuga ...................sentensi mbili tu za Lisu/Mbowe zinatosha kuwalaza chali
 
Yaani mpaka msahau katiba mpya, akijibu tunarudi tena, safari hii Nchimbi akiwa Mwanza atavurumisha maroketi
Maroketi ya uongo. Labda useme atasema ni lini watanganyika wataruhusiwa kumiliki ardhi Zanzibar, kugombea uongozi Zanzibar, kutumia driving license za bara huko Zanzibar nk. Kama hakuna rocket la hivyo ujue hizo zitakuwa ni porojo zile zile za kawaida.
 
Back
Top Bottom