Habari Jamiichek
Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi.
Huku mitaani...
Igweeeeeeee
Hakika ukiyastaajabu ya Musa utayaona ya Filauni, Nimekutana na Jambo la kustaajabisha kulingana na eneo lilipotokea
Sipingi uwepo wa makundi ya ulinzi shirikishi lakini lazima tuelewe kuna vikundi vinafaa kuwepo vijijini tu pia ni ajabu ndani ya jiji watu wanalazimishwa kulala...
igweeeeeee
Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na CHADEMA i mean Samia Suluhu Hassan versus Tundu Antipass Lissu
Kwa sasa CCM wako wazi kabisa...
Wakuu
Mitaa inaongea, Kwa tathimini yangu ndogo nimejirizisha pasipokuwa na Shaka kwamba kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika Kwa kili kinachoenda kutokea
Watanzania waliochaguliwa kuandamana ndiyo hao wanaume wa Dar, yoga umewajaa na hakuna mtu ndani ya wiki hili atajitoa Kwa maslahi ya...
Wakuu
Nimekaa nautafakari mwaka 2023 hapa Tanzania na matukio yake,
1. Tukio la ufunguzi wa African Football league
Hili ndilo tukio lilitikisa nchi, Simba wababe wa soka la Africa waliwakaribisha wababe wenzao kufungua michuano hii na dunia yote ilikuwepo Tanzania
2. DP world na issue zake...
Wakuu
Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani
Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo...
Wakuu
Kufuatia mwenendo mbovu wa timu ya Simba, ni wazi sasa mashabiki wamechoka kwenda taifa na kurudi na maumivu
Mashabiki wameonekana kuchoka na kugomea kutokea uwanjani,, huku mtaani, mitandaoni kote watu wanasema mechi atashangilia mangungu
Ukipita comments kwenye page zote za Simba...
Igweeeeee
Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa CHADEMA kuwa watarudi nchini mwezi March au April kwa kigezo cha kufanya maandalizi
Leo ni May 1st, wananchi na wanachadema tunataka kujua ni nini...
Hakika Kenya haiko na unafiki!
Raila hatakiwi na wakenya mpaka wameamua kumpiga mawe kwamba hawamtaki
Hii inaonesha dhahiri kwamba Ruto anaenda kujichukulia kiti cha urais kiulaini
Habari Jf
Haji Manara ni msemaji saaana pindi pale timu yake inapofanya vizuri, atatumia media zote kuwasifia wachezaji wake na kuwananga vikali wapinzani wake
Kwa sasa tangu ahamie yanga kwa mbwembwe nyingi hali imekuwa tofauti, Haji Manara hasikiki popote pale
Haji yule wa simba aliyehamia...
Leo mheshimiwa Rais Samia Suluhu amesema kuwa baada ya kuapishwa kuna mtu alimfuata akampa hongera pamoja na pole.
Pia akamwambia kwamba katika uongozi wako, hautapingwa na wapinzani zaidi ni kijani mwenzako
Je mtu huyo ni nani aliyempa Rais taarifa hii ambayo kwa sasa inajidhihiri?
Ni...
JF
Katika jamii kuna makundi ya watu mbalimbali, wapo watu wanaojiweza kumudu mahitaji yao yote lakini pia kuna makundi ya watu hawajiwezi kumudu mahitaji yao ya kila siku katika maisha
Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni Chakula, malazi na mavazi,, katika jamii yetu hii kuna watu...
Hakika yule aliyewahi kusema "Madara yanalevya, madaraka makubwa yanalevya zaidi" hakukosea
Ukuu wa wilaya unahitaji mtu mbunifu, ukirizika na nafasi uliyoteuliwa utaishia kuishangaza jamii na kuzalilisha vijana wengine wengi hata kupelekea wasiaminiwe tena.
Kiongozi kijana, umepewa wilaya...
Kwa sasa nchi yetu imekumbwa na changamoto ya wahamiaji haramu wanaotoka nchi mbalimbali hasa Somalia, Ethiopia, Rwanda, Kenya Na kwingineko huko
Kuna haja sasa ya idara ya uhamiaji Tanzania kusogeza ushirikishwaji wa wananchi ili kuweza kukomesha au kupunguza wahamiaji haramu hapa nchini
Idara...
Hatimaye yametimia!
Ongezeko la timu nne kushiriki mashindano ya CAF msimu ujayo yamekuja baada ya mafanikio ya SIMBA SC kufanikiwa kufika robo final licha ya kutolewa na Kaizer Chiefs ya South Africa.
CAF champions league itashirikisha mshindi wa VPL kama ilivyo kawaida yake, huku mshindi wa...
Habari JF,
Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote
Tanzia nyingi...
Habari JF,
Ni wiki sasa tangu muheshimiwa rais Samia Suluhu Hasan alipoagiza kushughulikiwa na kufutwa kwa kesi zote zisizokuwa za msingi na faida kwa serikali
Tangu agizo hilo litolewe haijasikika kesi yoyote ile iliyoshughulikiwa na kufutwa kama rais alivyoagiza
Itakumbukwa, awamu iliyopita...
Tangu 2015 JPM alipoingia madarakani, kubwa zaidi alifanikiwa ni kuua upinzani na CCM ilipata kutamba kweli kweli pasi na kupingwa na chama chochote
Muda mfupi tu tangu Rais Samia Suluhu kushika nafasi kuiongoza nchi hii upinzani umezikwa rasmi.
Kwa sasa Tanzania haina upinzani tena, si ACT...
JF,
Hakika jabari limeanguka!
Hayati Magufuli amefanya mengi ya msingi, maendeleo na ameacha alama katika taifa hili.
Rais wa wanyonge atakumbukwa kwa mengi mazuri tupu ndani ya nchi, Afrika na dunia nzima.
Ni vema sana serkali itambue mchango wake na tuunzi milele na milele.
Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.