yuko wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nakubusu

    Sauda Mwilima Yuko wapi?

    Huyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
  2. BabaMorgan

    Musa Hussein yuko wapi?

    Yuko wapi huyu mwamba alifanya jahazi kuwa kipindi kizuri sana ni muda sijapata kumsikia popote pale.. Je alikuwepo kwenye msiba wa G??
  3. zero to hero 199

    Yuko wapi mtoto wa kiume?

    Mtoto wa kiume yupo atarini kupotea katika dunia ya sasa. Najiuliza tu hawa wanaoleta agenda kila siku zakumkuza mtoto wakike (tena ni wanamume) , hawaoni kama mtoto wakiume nae anatakiwa kutazamwa ili kutatuliwa changamoto zake. so sad kuona nowdays wanaume kuact kama mwanamke kwenye...
  4. Erythrocyte

    Mnamkumbuka Lubinga wa CCM? Leo yuko wapi?

    Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana. Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?
  5. P

    Yuko wapi Mzee wetu Agrey Mwanri?

    Amani iwe kwenu. Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika. Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana.
  6. 4

    Yuko wapi Tundu Lissu?

    Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi? Binafsi kama mwananchi na kama mfuasi wake ni haki yangu jua alipo maana na ni siku zimepita kidogo simsikii wapi alipo...
  7. RRONDO

    Yuko wapi witness j?

    Kuna huyu dada anaitwa witnessj muda mrefu umepita sijamsoma humu jukwaani. Witness popote ulipo nakusalimia. Xxx
  8. Melvine

    Daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe yuko wapi?

    Baada ya aliyekua CDF wetu kipindi cha mwenda zake na kuzungumza katika kumbukizi ya Hayati Pombe Magufuli najiuliza uyu Dokta yupo wapi kwa sasa? CDF aliyepita kaongea mengi na yakufikirisha kwa mantiki ya viongozi kadhaa kutokujua katiba yetu inasema/inataka nini kwa tukio kama lile...
  9. T

    Yuko wapi Andrew Chenge Mzee wa Vijisenti?

    Wanajamvi ni swali tu sijamuona muda mrefu mwanasheria nguli huyu si sehemu za furaha au misiba haonekani Anajua alipo atujuze.
  10. C

    Yuko wapi jf member katoto kazuri

    Huyu member nna muda sijaona comments zake hapa jf. Namkumbuka kwa michango yake hapa jukwaani ila kwa sasa Kawa kimya.
  11. Erythrocyte

    Yuko wapi Benjamin Sitta, Meya wa Zamani wa Kinondoni?

    Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania . Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa...
  12. M

    Lema yuko wapi?

    Tumezoea kusika uropokaji wa aliekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues kwani si kawaida yake kukaa kimya.
  13. BICHWA KOMWE -

    Nyani Ngabu yuko wapi?

    Huyu jamaa siku hizi yuko wapi?? Mzee wa mayai ya malkia, ni wachache sana humu wanaofikia akili ya yule jamaa. Super Genius. Wengine nao wamekuja humu wanajifanya fanya wachambuzi uchwara lakini wapi, nikiwaangalia hawafikii uzani wa Nyani Ngabu katika mizani ya kiakili. Nafikiri atakuwa...
  14. Nyendo

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  15. Father of All

    Yuko wapi Dkt. Salim Ahmed Salim?

    Hivi karibuni, tulishuhudia kuzinduliwa kwa tovuti ya kazi za Dkt. Salim Ahmed Salim. Uzinduzi huu ulihudhuriwa na vigogo mbali mbali bila kuonekana kwa mhusika. Kunani? Yuko wapi na katika hali gani? Nini kinafichwa kuhusiana na mhusika. Dr Salim ni public figure. Kuna haja gani ya kumficha...
  16. Erythrocyte

    Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi. Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?
  17. AKILI ZAKO

    Yuko wapi yule jamaa anaepeleka mashtaka fifa ?

    Yule jamaa baada ya kichapo cha kimwiko mwiko kumnasia nyuma mbele mwiko sijaona akiandika barua mashatka kuhusu upangaji matokeo?
Back
Top Bottom