alipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. zinginary

    Amepotea na hajulikani alipo kwa wiki kadhaa sasa

    Msaada tafadhari picha inajieleza.
  2. R

    Natafuta mdada wa kazi ambaye anaishi kwa kunyanyasika alipo kwa sasa

    UPDATE: Ameshapatikana mdada mbarikiwe. Anahitajika mdada wa kazi Kazi ni Dar. Nyumba ya watu 2. Anapewa kipaumbele anayetokea mazingira magumu au ambaye anaishi kwa manyanyaso kwa bosi wake wa sasa. Kwenye hii familia ataishi vizuri kwa uhuru na ushirikiano bila manyanyaso huku akisaidizana...
  3. Truth Bot AI

    Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Azizi?

    Nawasalimu.. MIMI NI MZALENDO.. Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote.. Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko.. Kwani Rostam Yeye...
  4. LA7

    Najua mke wake alipo, je? nimuonyeshe?

    Nikiwa natembea kuna mtu akaniita nikageuka, ni kijana ambaye ni jirani yangu, Akanisalimia na kuniuliza Kama nimemuona au najua alipo mke wake, Mimi nikamjibu kwamba nilimuona Jana akiwa geto kwake wanapoishi, Basi bhana jamaa akanihadithia hapo kuwa aligombana naye juzi na kumpiga, ila kesho...
  5. Webabu

    Wanaochukua mafunzo ya siri Israel wanaweza kuwa ndio watu wasiojulikana.Jee ubalozi wa Tanzania Israel haukujua alipo Joshua ?

    Kwa miaka mingi imetangazwa kuwa Israel ni nchi yenye teknolojia za hali ya juu katika masula mbali mbali. Kwa upande mwengine nchi hiyo ina uhasama sana na baadhi ya walimwengu na huwa haioni shida kufanya njama katika vita vyake vya muda mrefu. Hata nchi mbali mbali pia duniani zinazotaka...
  6. Pdidy

    Dkt Mzizi Mkavu wapi alipo jamani?

    Huyu kwa wanaokumbuka enzi hizo alisaidia wengi sana magonjwa mbalimbali Sijui kilichotokea aweki tena mada zake humu popote ulipo dk njoo usaidie jamii inakukumbuka sana CC Dkt. Mzizimkavuu
  7. Msanii

    Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tulimpoteza Magufuli kwa sababu kuumwa hadi kuzidiwa kulifanywa National Bigly Secret ambapo wananchi hatukujulishwa iwapo anaumwa ama amezidiwa zaidi ya kustuliwa na taarifa ya kifo chake mnamo 17 March 2021. Rais ni wa Jamhuri ijulikane kuwa anamilikiwa na wananchi wote bila kujali itikadi...
  8. MK254

    Huyu Mwarabu popote alipo, aagize soda nitalipa, kawasuta sana waarabu na dini yao

    Kaeleza kama ilivyo tena bila chenga, muda umefika waarabu wajiulize maswali mengi sana. Kuna video yake hapa chini. ila kiukweli bado wamepofushwa na maupuzi ya karne za kitambo. Nafikiri wakibadilika na hata waliodandia hiyo dini yao nao watabadilika, ila wakiendelea kujifanya misukule...
  9. Kilimbatz

    Uchambuzi wa point za Simba kwa miaka mitano iliyopita kimataifa na harakati za Yanga kumpita

    Mimi huwa napenda sana namba na hesabu Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika 1) Msimu wa 2018/2019 aliishia robo fainali Klabu Bingwa hivyo akajizolea point zake 3 2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0 Sijui...
  10. Mganguzi

    Natafuta mke awe Msukuma au Mhaya

    Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo! Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua Msukuma. Kwa sasa sioi kwa sababu ya ngono, ila naoa kwa sababu ya maisha. Mwanamke...
  11. Erythrocyte

    Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi. Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?
  12. Mi bishoo tu

    Wapi alipo mwamba Amber Rutty?

    Video vixen amber rutty kapotelea wapi?
  13. GENTAMYCINE

    Popote pale alipo huyu Member Daudi Mchambuzi naomba ajitokeze kwani kapotea mno hapa JamiiForums

    On a serious note jamani kuna yeyote mwenye taarifa zozote za Kuadimika Kwake kusiko kwa Kawaida hapa JamiiForums kwa Member (Mwanachama Mwandamizi) Daudi Mchambuzi? Ni Mmoja wa Marafiki zangu Wakubwa sana hapa JamiiForums kama walivyo Wengine wengi tu wakiongozwa na adriz, Shunie, Bila bila...
  14. mtwa mkulu

    Wapi alipo Nurjehan aliyefaulu mtihani wa kitaifa na professor issa shivji 1960?

    NURJEHAN ALIYEOONGOZA MITIHANI AKIWA NA PROF. SHIVJI MIAKA YA 1960s YU WAPI? Jina la Nurjehan Walli limekuwa maarufu sana katika mitandao ya kijamii baada ya picha yake kuonekana akiwa na Issa Shivji wakati wawili hao walipoongoza mitihani adhimu ya Senior Cambridge Examinations (sasa Form...
  15. Webabu

    Lukashenko naye hana uhakika alipo Prigozhin, kiongozi wa Wagner

    Katika makubaliano ya kusitisha uasi wa kundi la Wagner uliofanyika katikati ya mwezi uliopita ilitajwa kiongozi wa kundi hilo angekaa uhamishoni nchini Belarusi. Kiongozi wa Belarusi,Lukashenko kulipotokea uvumi wa kutoonekana kwa Prigozhin nchini mwake aliitisha mkutano na waandishi wa habari...
  16. 4

    Popote alipo namtafuta Mzee Jakaya Kikwete aweke neno kuhusu haya

    Sina mengi, nawasalimu wote wana JF kupitia jina kuu kila mmoja kwa imani yake Kichwa tajwa chajieleza. Mimi sio mwanafamilia ya Mzee tajwa hapo juu, ila kwangu natambua ni Rais wangu mstaafu ambae ameliongoza taifa langu kwa miaka kumi Ni mda sasa sijamsikia na ukimia umetawala ,na natambua...
  17. Wadiz

    Mwenye taarifa mpya alipo ndugu Lengai Sabaya kwa sasa atujuze

    Habari! Naomba yeyote mwenye update za ndugu yetu Kamanda mzalendo Lengai Ole Sabaya alipo na afya yake atujuze tafadhari. Shukrani 🙏🙏🙏 Wadiz
  18. T

    Tundu Lissu kila nikijilazimisha nimuone wa maana, moyo unagoma tu, simpendi na sipendi awe kiongozi kokote kule!

    Mkisema upeo wangu ni mdogo sawa tu! Na matusi yoote juu yangu sawa tu, Lakini leo nataka tu niseme ukweli wa moyo wangu, Mh Tundu Lissu ni kweli kabisa ni kati ya wanasiasa wanaoifaa sana nchi yangu Tanzania, Tanzania bila viongozi wenye uthubutu wa kufanya mambo, tutaendelea kubaki nyuma...
  19. Webabu

    Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

    Grereza la Kober analoshikiliwa aliyekuwa rais wa Sudan, Omar Albashir limevunjwa na mahabusu wote kukimbia. Vikundi vinavyopigana kila kimoja kinaonesha kutokuwa na uhakika wa sehemu alipo kiongozi huyo wa zamani anayetafutwa na ICC. Jeshi la Sudan chini ya generali Burhani limesema kiongozi...
  20. Hemedy Jr Junior

    Popote alipo zumaridi nahitaji Nimsaidie

    Mtanzania wa kwanza kudai alipelekwa mbinguni kutembea uko Motoni na peponi. Afu huyu zumaridi yuko na Mamia ya watu wanakubali alichokisema. Pia anadai yuko na Kanumba pale nyumbani, Jela sio nzuri aisee.... 📌 O
Back
Top Bottom