Mnamkumbuka Lubinga wa CCM? Leo yuko wapi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,500
220,150
Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana.

Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?

Screenshot_2024-03-19-13-08-24-1.png
 
Kwani umekwenda wapi na wapi kumtafuta ambako hujamkuta? Ulikuwa unamtaka wa nini.

Kwani umesikia familia yake ikiomba msaada popote pale wa kumtafuta.

Yaani CHADEMA ninyi ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania maana hoja zenu ni za kitoto kitoto tu na umbea umbea tu.

Sasa ndio hoja gani hiyo? Ndio mahitaji ya watanzania hayo?

Aliyewaloga CHADEMA aliwaonea sana maana aliwaroga wakati tayari ninyi ni vichaa na manyumbu😃😃😃
 
Mkuu bado haujagundua siku hizi hawana sera wala chochote cha kusimama kuelezea jamii hata mitandaoni!?,wamebaki kutafuta aliyekuwa na link yoyote na JPM wamuanzishie thread. Ikifika uchaguzi mwakani wimbo ule ule, "tumeibiwa kura".
Lete ajenda wewe
 
Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe , alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga , kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza , japo hakikuvuma sana .

Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini ?

View attachment 2952259
Tofauti yenu na ccm ni moja wale ni mboga mboga nyie ni ugoro tupu.
Mlishangalia chalamila kutumbuliwa baadae kalidishwa mkapiga kimya sasa mko kwa makonda mnashangilia kutolewa chamani na kuletwa serikalini.
Usiku tena umeibukia kwingine..,
Bora hata ccm tunajua ajenda yao ni kula kwa urefu wa kamba zai.
Ninyi ajenda yenu ni ipia hasa nahisi hata mbowe hajui ajenda ya chama chake
 
Kwani umekwenda wapi na wapi kumtafuta ambako hujamkuta? Ulikuwa unamtaka wa nini.kwani umesikia familia yake ikiomba msaada popote pale wa kumtafuta. Yaani CHADEMA ninyi ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania maana hoja zenu ni za kitoto kitoto tu na umbea umbea tu. Sasa ndio hoja gani hiyo? Ndio mahitaji ya watanzania hayo? Aliyewaloga CHADEMA aliwaonea sana maana aliwaroga wakati tayari ninyi ni vichaa na manyumbu😃😃😃
matackle yashaanza kukuwasha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom