daniel chongolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mwandishi Bollen Ngetti kumrithi Daniel Chongolo?

    Wanabodi, Nimekutana na hili katika korido za Lumumba kwamba baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kujiuzulu, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kwenye wakati mgumu kumpata SG wa CCM. Washauri wake ni kama wamegoma kumshauri ampendekeze nani kwa CC ya chama chake. Ila za chini ni kwamba...
  2. benzemah

    Kamati Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti Samia yaridhia Daniel Chongolo kujiuzulu Ukatibu Mkuu

    Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kilichofanyika leo tarehe 29 Novemba, 2023 Jijini Dar es salaam na kuongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kimeridhia kujiuzulu kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa...
  3. F

    Hongera Daniel Chongolo kwa kuwa muwazi na kuukataa mfumo dhalimu

    Viongozi wengi hung’ang’ania madaraka mpaka watolewe lakini angalau umeonesha njia nyingine kwa wenzako CCM. Umeonesha kuwa hupendi kukokotwa kama punda kwa maslahi ya wachache. Umeonesha hukupenda utendaji wa hovyo wa viongozi wa CCM akiwemo Makonda na Samia. Umeonesha kuwa CCM kuna mgogoro...
  4. GENTAMYCINE

    Rais Samia, ili hali itulie ndani ya CCM, ukiteua Katibu Mkuu mpya mwambie Makonda huyo ni bosi wake na amheshimu

    Usipofanya hivi hata ukiteua Katibu Mkuu mpya wa CCM (kama hizi taarifa za Daniel Chongolo kujiuzuru kama Katibu Mkuu wa CCM Taifa) ni za kweli basi utakuwa hakuna Ulichokifanya na ni sawa tu umepaka Rangi Upepo. Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa acha kumuonea Aibu Paul Makonda (Katibu...
  5. K

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

    Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo. Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan...
  6. kevylameck

    Rais Samia na ndoto za mabinti wengi

    Na Kevin Lameck Miongoni mwa yasiyopimika kwenye mizani ya namna yeyote ile ni athari kubwa ya SAMIA SULUHU HASSAN kwa wasichana wadogo na mabinti. Dkt. Samia Suluhu si tu ni Rais wa Tanzania lakini pia ni Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa serikali na Mwenyekiti wa Chama Tawala - CCM. Katikati...
  7. Mwl.RCT

    Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote

    Video | Daniel Chongolo: Mkataba Unahusisha Bandari zote, za Bahari na Maziwa Makuu Zote
  8. Lady Whistledown

    Uteuzi wa Meneja wa Maji Dodoma watenguliwa

    Waziri wa Maji, Jumaa H. Aweso ametengua uteuzi wa Meneja wa Maji Mkoa wa Dodoma, (RUWASA) Mhandisi Godfrey Kabula Mbabaye, Aweso amechukua hatua hiyo kwa Mamlaka aliyonayo kupitia Sheria Na. 5 ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira ya mwaka 2019, kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake...
  9. ChoiceVariable

    Daniel Chongolo wa CCM: Watu Wanataka Katiba Mpya Kwa Maslahi Binafsi

    Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM ametoa tahadhari wa Wananchi dhidi ya Matapeli wanaojifanya kutaka Katiba Mpya kumbe ni Kwa maslahi Yao binafsi ya Kisiasa.. My Take Naunga mkono hii hoja maana suwaoni asasi za kijamii kupigania Wananchi badala yake ni Vyama vya siasa ndio wako mbele mbele...
  10. J

    Iringa: Ziara ya Chongolo yampa nyumba Balozi wa Nyumba Kumi

    ZIARA YA CHONGOLO YAMPA NYUMBA BALOZI WA NYUMBA 10 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa nyumba ya makazi ya Mwenyekiti wa shina (Balozi) namba saba katika Kijiji cha Ilambilole Kata ya Kising'a iliyopo Jimbo la Isimani katika...
  11. J

    Mkutano wa CCM Shina no 7 - Kising’a, Iringa

    SHINA NO 7 - KISING’A -IRINGA Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 30 Mei 2023 amepokelewa na wananchi pamoja na wanachama wa CCM kata ya Kising’a Jimbo la Isimani Shina No 7 kwa Balozi Rose John Pamoja na mambo mengine Ndg Chongolo ameongoza Harambee ya kuchangia ujenzi wa...
  12. Erythrocyte

    Kalenga: Bendera zote za Chadema kata ya Ifunda zang'olewa ili kumpisha Chongolo

    Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione. Bado haijafahamika kama...
  13. B

    Chongolo awasili Geita kuzindua vitega uchumi vya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo tarehe 15 Mei, 2023 amewasili wilayani Bukombe mkoa wa Geita kwa ziara ya siku moja na kuzindua majengo mbalimbali ya Chama Cha Mapinduzi ikiwemo ukumbi wa mikutano, nyumba ya kupumzika wageni (Rest House) na mgahawa (Restaurant)...
  14. B

    Mjema: Ziara ya Chongolo na Ujumbe wake nchini China italeta Wawekezaji na faida nyingi sana kwa Taifa

    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wamefanya ziara ya takribani siku 10 nchini China iliyoanza Aprili 17, 2023 na kutamatika Jana Aprili 28, 2023. Chongolo aliambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema, Katibu wa Oganaizesheni...
  15. B

    CCM yatoa rambirambi kifo cha Kada wake mashuhuri

    #SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUTOKA CCM. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na kada mashuhuri wa muda mrefu Komredi Agathon Simba Ulanga. Sophia Edward Mjema, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
  16. K

    Daniel Chongolo: Hotuba za viongozi wa CHADEMA hazina tija kwa wananchi

    Katibu mkuu wa CCM bwana Chongolo amesema anateswa na hotuba za viongozi wa Chadema kwenye majukwaa kwani hazina tija yoyote kwa wananchi. Bwana Chongolo amesema ukiwasikiliza viongozi wa Chadema kwenye hotuba zao kuanzia mwanzo mpaka mwisho hawataji mahitaji muhimu kwa wananchi kama hospital...
  17. B

    Babati: Chongolo kuongoza mkutano wa hadhara wa CCM leo Machi 10, 2023

    Na Bwanku M Bwanku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo leo Ijumaa Machi 10, 2023 anatarajia kuongoza mkutano mkubwa wa hadhara wa CCM Mjini Babati kwenye viwanja vya Stendi ya zamani. Mkutano huo ni wa kufunga baada ya ziara yake ya siku 6 mkoani humo akiambatana na Wajumbe wengine wa...
  18. T

    A way forward: Mtazamo wangu juu ya Elimu ya sekondari ya juu(A-Level) na Elimu ya ufundi(VETA)

    Kipekee kabisa nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya siku nyingine mpya katika maisha yetu. Pia, nichukue nafasi hii kumpongeza Katibu mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo kwa ushauri aliotoa juu ya wahitimu kwenda VETA kupata ujuzi wa kujiajiri. Ni ushauri mzuri na wenye kutoa picha kubwa ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mtaturu - Ikungi yatekeleza agizo la Katibu mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwa 100%

    Maji ni Uhai hatimaye Wananchi wa kitongoji cha Songoloji wapata huduma ya Maji baada ya maagizo ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipofanya ziara yake tarehe Februari 28, 2023 na wananchi wa Shina namba 13 walimwelezea kero ya ukosefu wa huduma ya maji ambapo...
Back
Top Bottom