Alikuwa anajikoboa sana kwa mkorogo. Waulize wauza mikorogoHuyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
Dah umenikumbusha mbali sanaHuyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
Sasa kwa kusifia humu ukiitwa kenge maji utalalamika!!achana na sauda kuna fatma shumweta toto ndefu,sura baby face,rangi swadakta na sauti ya yakumtoa kichwa wazi pangoni...
Nadhani if not last year basi 2021 alikua na kipindi kilikua kinarushwa on startimesHuyu mtangazaji Sauda Mwilima Kama sijakosea jina Yuko wapi siku hizi?.Alikuwa anakipindi star tv,akiwahoji wasanii mbalimbali wa mziki.
nawe kwa kutosifia nakubatiza nakuita peremende!.Sasa kwa kusifia humu ukiitwa kenge maji utalalamika!!
Nilikuwa shabiki yke nime mmic 😉
Hata mimi nimemkumbuka toto jeupeeee.Enzi hizo saa moja kamili unasubiri kwa ham star TV, emb acha kunikumbusha. She was one of her kind, kweli good times don't last