Search results

  1. 6 Pack

    PUTIN vs NETANYAHU: Njooni tumalize ubishi wa miamba hii miwili ya dunia

    Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake. Ubishi wenyewe unahusu miamba miwili yenye roho ngumu, maamuzi mazito na misimamo mikali isiyoyumba...
  2. 6 Pack

    Israel yapanga kumalizia hasira zake kwa watoto, wakina mama na walemavu huko Rafah

    Niaje waungwana Baada ya kipigo cha makombora madogo tu yalioshindwa kuzuiwa na nchi zaidi ya 8 zinazojifanya super power duniani, Israel imeamua sasa kujibu kipigo hicho kwa kupanga mipango ya kwenda kuvamia mji wa watoto, wanawake na wazee wasiojiweza ili kuhadaa umma na kuitoa dunia katika...
  3. 6 Pack

    Angalia jinsi Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda waisrael

    Niaje waungwana, Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli hawataki kuusikia popote, u kuuzungumzia kwa mtu yoyote. Kwanza naomba nianze na Rwanda ya leo...
  4. 6 Pack

    Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

    Niaje waungwana, Inashangaza mpaka leo Israel pamoja na misaada yote ya kijeshi, kiuchumi na kijamii inayopewa na wazungu lakini bado inashindwa kujisimamia yenyewe dhidi ya taifa lenye vikwazo vya silaha na uchumi ambavyo vimedumu kwa zaidi ya miaka 70. Inachokoza wenye nguvu alaf inakimbilia...
  5. 6 Pack

    Rais Samia asijikite kutumbua Wakuu wa Mikoa na Wilaya pekee. Amulike ufisadi unaofanywa na Mawaziri wake

    Niaje waungwana, Kiukweli mimi sio mwanasiasa, wala mfuatiliaji wa mambo ya siasa hapa JF. Hivyo nimesukumwa tu na uzalendo wangu mwenyewe kuandika haya niliyoandika. Kwa kawaida nchi yetu ina mawaziri zaidi ya ishirini na manaibu wake (hapo sijazungumzia makatibu wakuu na manaibu). Kikawaida...
  6. 6 Pack

    Maswali yangu kadhaa kwa wataalam wa mambo ya ulinzi na diplomasia kuhusu kinachoendelea huko Haiti

    Niaje waungwana, Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti. Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila nchi huwa na uongozi (serikali) ambayo chini yake kuna vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama kwa...
  7. 6 Pack

    Suala la mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar wala lisifanywe la kisiasa, pitieni hapa msome muelewe sababu

    Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu. Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake. Wengi...
  8. 6 Pack

    Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

    Niaje waungwana, Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure. Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
  9. 6 Pack

    Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

    Niaje waungwana Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi, kiintelejensia, kiteknolojia ni kiuwezo zilizo nazo nchi hizo katika kulikalisha chini na...
  10. 6 Pack

    Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

    Niaje waungwana Baada ya wazungu kufanikiwa kuwaweka watu wao pale mashariki ya kati (Palestina + Israel), Plan ya pili ilikuwa ni kuwasaidia watu hao kujitanua kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kidogo kidogo, mpaka pale watapojikuta wamefanikiwa kujenga empire na kuzifikia zile nchi zenye...
  11. 6 Pack

    Hiki ndiyo kituko nlichowahi kukutana nacho makaburini usiku. Sitosahau

    Niaje waungwana, Hiki kisa, au tukio lilintokea miaka mingi kidogo. Enzi zile za kwenda kuangalia movie katika vibanda vya video. Sasa siku hiyo nilienda kuangalia video katika banda moja nililokuwa napenda kwenda kuangalia. Banda hilo lilikuwa maeneo ya Manzese Midizini kwa mama fulan jina...
  12. 6 Pack

    Wengi mnatokwa povu tu ila huu ndio ukweli wa kwanini SA imeamua kutetea haki za wapalestina kwa kufungua kesi ya mauaji ya kimbari dhidi Israel

    Ni aje waungwana, Ndugu waungwana hapa jakwaani kwetu kuna vijana wengi ambao wamekuwa waki comment ujinga katika thread za watu wenye akili, na elimu kubwa kushinda wao, lengo ni kutaka waonekane kuwa na wao ni miongoni mwa wale wanaowatetea, hata kama hao wanaowatetewa hakuna anaewajua hata...
  13. 6 Pack

    Kinachoendelea huko Mashariki ya kati kinadhihirisha kuwa uongo wa wazungu unaelekea kufika mwisho

    Niaje waungwana? Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza kuishi milele, bila kujua kwamba zama zinabadilika na akili za watawaliwa nazo pia zinabadilika. 1...
  14. 6 Pack

    Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

    Habari wana jamii forum? Kuanzia miaka ya elfu mbili kushuka chini, eneo la Mbezi beach lilikuwa ni kati ya maeneo machache ya jiji la Dar es salaam ambayo yalikuwa na umaarufu mkubwa kama vile ilivyokuwa Masaki, Osterbay, Sinza nk. Hii ilipelekea watu wengi hasa wa mikoani wakisikia neno...
  15. 6 Pack

    Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

    Aloo dunia ina mengi! Mwamba alianza kwa kunyanyua vyuma, mwili ukawa jumba na mtaani akawa anatisha. Vijana wakamuogopa na vichuchu vikampenda. Kazi alikuwa nayo nzuri tu, hivyo kila mchuchu alieingia chumbani kwake alihitaji aishi nae. Anyway jamaa kwa vile umri umesogea, ikabidi ateue...
  16. 6 Pack

    Miaka ya 80, 90 hadi 2000 Dar ilikuwa inachangamshwa na ngoma mbali mbali za kitamaduni, je wewe unakumbuka ngoma ipi?

    Enzi hizo ilikuwa ukienda Kinondoni kuanzia ijumaa hadi jumapili maeneo mengi yalikuwa yakitawaliwa na ngoma ya sindimba, ambayo inasemekana asili yake ni huko mkoani Mtwara na wenyeji wa ngoma hiyo ni wamakonde haswa wale waliochanjwa chale. Siku hizo hizo za ijumaa hadi jumapili ilikuwa...
  17. 6 Pack

    Picha: Tukimtoa mzee Mwinyi, hawa ndio wazee wetu tuliobaki nao sasa hivi

    Ningependa pia kujua mzee Kenyata anamshinda Kikwete miaka mingapi?
  18. 6 Pack

    Je, nitumie njia gani ili niachane na mchepuko wa mwanajeshi bila matatizo yoyote?

    Nipeni mbinu ndugu yenu, maana kila nikijaribu kumkwepa kiaina beauty huyu inashindikana. This girl she's very beautiful na pia ana sifa muhimu zote ambazo zinamfanya aonekane bora mbele ya bora wengine. Ndio maana mjeshi yupo tayari kumpa kila anachotaka ilimradi asimkose mrembo huyo. Mimi...
  19. 6 Pack

    Hii ndio chemshabongo ambayo imewashinda wengi, je wewe unaweza kuijibu?

    Vipi kwema wakongwe wenzangu? Wakuu mimi ninachemshabongo yangu ambayo imenisumbua kwa muda mrefu, so nitafurahi na kushukuru sana kama nitapata mtu mwenye upeo wa kuijibu chemshabongo hiyo. 1. Kwanza naomba mtu aniwekee jina la band au msanii gani alieimba wimbo wa zamani unaoimbwa "mtu ni...
  20. 6 Pack

    Hivi wachezaji wetu wanagundu au wana tatizo na mfumo?

    Za asubuhi wakuu wote wa hapa JF. Kuna maswali nimekuwa nikijiuliza kuhusiana na wachezaji wetu wa timu ya taifa na hata wale wa club ambao ni watanzania. Mbona sijawahi kuwaona wakigombea au kuchaguliwa kuwa wabunge kama wenzao wasanii? Mbona sijawahi kuwaona wakichaguliwa au kuteuliwa kuwa...
Back
Top Bottom