Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

6 Pack

JF-Expert Member
Apr 17, 2022
1,830
4,092
Niaje waungwana,

Inashangaza mpaka leo Israel pamoja na misaada yote ya kijeshi, kiuchumi na kijamii inayopewa na wazungu lakini bado inashindwa kujisimamia yenyewe dhidi ya taifa lenye vikwazo vya silaha na uchumi ambavyo vimedumu kwa zaidi ya miaka 70. Inachokoza wenye nguvu alaf inakimbilia kuomba wazungu haswa Marekani waisaidie kupambana na aliemchokoza. Hii inanikumbusha dogo fulan wa shule mbabe "mbuzi", aliekuwa anapenda kuchokoza wenzake shuleni au mtaani, alaf ukimgusa anaita kaka zake wakupige.

Siku 1 akajichanganya kwangu, na ukizingatia mimi nilikuwa napata training za karate, hivyo siku naruhusiwa kupigana na kila mtu kuhofia madhara ninayoweza kumsababishia nitakaemtwanga.

Basi siku hiyo dogo akafanya kila awezalo ili nimkanye akaite timu yake. Baada ya uvumilivu kunishinda nikamtia tu singi. Dogo baada ya kutoka shule akaenda kuita brother zake ambae walikuwa hawaishi mbali sana na shule. Ma brother walikuwa wa4, wote walikuwa wakubwa kwangu kiumri. Wanafunzi wenzangu haswa marafiki walinishauri nikimbie kwani ningepokea kipigo kikali kutoka kwao. Nikasema mimi sikimbii na nitachokifanya kwao ndio itakuwa mwisho wa wao kufika hapa kupiga watoto wa shule na mdogo wao kuchokoza wenzake.

Wale kaka zake baada ya kufika wakamuuliza dogo, dogo akani point mimi, ghafla hawa hapa wakataka kunikunja, aisee nilianza na yule aliekuwa wa kwanza kutaka kunishika, kwa speed ambayo hawakuitegemea niliwahi kuushika mkono wake nikakikunja kiganja chake kwa upande wa vidole, jamaa akaanza kulalamika kuwa namuumiza. Wale wengine wakataka kunivamia, nikasema hamtoweza kenge nyie, nilimsukuma yule niliemkunja kiganja, nika deal na wale wa3 waliobakia. Baada ya dakika kadhaa jamaa wakawa hoi wametepeta. Mmoja analia huku kashika pu.m.pu eti nimeuwa nyezo yake ya uzazi, mungine kashika kifua anadai anashindwa kupumua (huyu nilipiga chembe) ili kumkata pumzi haraka asiendelee kunisumbua, mungine yeye analia na chaga zake (mbavu) nilimgusa kwa konzi tu ila ndo hivyo nilimuachia madhara makubwa mbavuni (si unajua ile style ya kupiga pushap kwa kutumia vidole na konzi)

Toka siku hiyo pale shuleni kulikuwa na amani mpaka namaliza shule ile. Sasa hili lililofanywa na Iran ni onyo tu, lakini Israel ishakimbilia kuita wakubwa zake waje kumsaidia kupambana na Iran jeshi la mtu mmoja dhidi ya kundi zima la wamagharibi 😄😂😂. Na bado Iran inaonekana kuwa tishio kwao ukanda mzima ikiwemo Israel yenyewe, Marekani, Uingereza na vibaraka wao.

Kama Israel inajiona ina ubavu wa kupambana na taifa lenye uwezo mkubwa kijeshi, basi iruhusu Marekan na UK wajitengene na vita hiyo ili wabaki wao wawili, ili mwisho tuje tupate jibu kuwa nani ni mbabe wa kweli wa eneo hilo bila msaada wa nchi au mtu mungine. Hawezi kuomba pambano la ngumi alaf uje ulingoni ukiwa na baba yako, mjomba wako, shemeji yako na ndugu zako wote kwa pamoja kupiganan na mtu mmoja alaf baada ya kumchangia utembee kifua mbele eti umempiga.

Ili tuone nguvu zako inabidi upigane tu peke yako. Imagine taifa linatoa kabisa taarifa kuwa litafanya mashambulizi katika nchi yako ili ujiandae kuizuia, pia washirika Marekani, UK nk wakadai wamejipanga toka Iraq, Syria, na Lebanoon kuhakikisha shambulizi halifiki katika nchi lengwa, lakini wazee wa kazi wamepenya ngome zote hadi kufikia eneo husika ambalo ni Kilometres zaidi ya 2000. Je kama wangefanya shambulizi la ambush bila taarifa kama walivyofanya waoga Israel huko Lebanon hali ingekuaje kwao?

Niliwahi kuandika hapa kuwa Iran haijawahi kutishiwa nyau na taifa lolote lile. Ukimwaga mboga, yeye anamwaga ugali tena pipa zima hadi ushindwe mwenyewe.

Kwa ambao hawajawahi kusoma thread hiyo, pitia hizo nyuzi zilizopo pichani hapo chini ili ujifunze zaidi.

Israel kaingizwa cha kike kama mwenzake Ukraine. Sasa atajuta na kusaga meno. Iran sio Iraq, Syria wala Lebanon. I mean jamaa ni waajemi na sio waarab kama wengi wafikiriavyo. Na mziki wa waajemi unafahamika miaka na miaka kabla hata ya kuzaliwa Kristo. Hata biblia inalitambua hilo.
 
Attachments

  • Screenshot_20240414-094522.jpg
    Screenshot_20240414-094522.jpg
    279.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240414-094542.jpg
    Screenshot_20240414-094542.jpg
    230.9 KB · Views: 2
Niaje waungwana,

Inashangaza mpaka leo Israel pamoja na misaada yote ya kijeshi, kiuchumi na kijamii inayopewa na wazungu lakini bado unashindwa kujisimamia yenyewe. Inachokoza wenye nguvu alaf inakimbilia kuomba wazungu haswa Marekani waisaidie kupambana na aliemchokoza. Hii inanikumbusha dogo fulan wa shule mbabe "mbuzi", aliekuwa anapenda kuchokoza wenzake shuleni au mtaani, alaf ukimgusa anaita kaka zake wakupige.

Siku 1 akajichanganya kwangu, na ukizingatia mimi nilikuwa napata training za karate, hivyo siku naruhusiwa kupigana na kila mtu kuhofia madhara ninayoweza kumsababishia nitakaemtwanga.

Basi siku hiyo dogo akafanya kila awezalo ili nimkanye akaite timu yake. Baada ya uvumilivu kunishinda nikamtia tu singi. Dogo baada ya kutoka shule akaenda kuita brother zake ambae walikuwa hawaishi mbali sana na shule. Ma brother walikuwa wa4, wote walikuwa wakubwa kwangu kiumri. Wanafunzi wenzangu haswa marafiki walinishauri nikimbie kwani ningepokea kipigo kikali kutoka kwao. Nikasema mimi sikimbii na nitachokifanya kwao ndio itakuwa mwisho wa wao kufika hapa kupiga watoto wa shule na mdogo wao kuchokoza wenzake.

Wale kaka zake baada ya kufika wakamuuliza dogo, dogo akani point mimi, ghafla hawa hapa wakataka kunikunja, aisee nilianza na yule aliekuwa wa kwanza kutaka kunishika, kwa speed ambayo hawakuitegemea niliwahi kuushika mkono wake nikakikunja kiganja chake kwa upande wa vidole, jamaa akaanza kulalamika kuwa namuumiza. Wale wengine wakataka kunivamia, nikasema hamtoweza kenge nyie, nilimsukuma yule niliemkunja kiganja, nika deal na wale wa3 waliobakia. Baada ya dakika kadhaa jamaa wakawa hoi wametepeta. Mmoja analia huku kashika pu.m.pu eti nimeuwa nyezo yake ya uzazi, mungine kashika kifua anadai anashindwa kupumua (huyu nilipiga chembe) ili kumkata pumzi haraka asiendelee kunisumbua, mungine yeye analia na chaga zake (mbavu) nilimgusa kwa konzi tu ila ndo hivyo nilimuachia madhara makubwa mbavuni (si unajua ile style ya kupiga pushap kwa kutumia vidole na konzi)

Toka siku hiyo pale shuleni kulikuwa na amani mpaka namaliza shule ile. Sasa hili lililofanywa na Iran ni onyo tu, lakini Israel ishakimbilia kuita wakubwa zake waje kumsaidia kupambana na Iran jeshi la mtu mmoja dhidi ya kundi zima la wamagharibi 😄😂😂. Na bado Iran inaonekana kuwa tishio kwao ukanda mzima ikiwemo Israel yenyewe, Marekani, Uingereza na vibaraka wao.

Kama Israel inajiona ina ubavu wa kupambana na taifa lenye uwezo mkubwa kijeshi, basi iruhusu Marekan na UK wajitengene na vita hiyo ili wabaki wao wawili, ili mwisho tuje tupate jibu kuwa nani ni mbabe wa kweli wa eneo hilo bila msaada wa nchi au mtu mungine. Hawezi kuomba pambano la ngumi alaf uje ulingoni ukiwa na baba yako, mjomba wako, shemeji yako na ndugu zako wote kwa pamoja kupiganan na mtu mmoja alaf baada ya kumchangia utembee kifua mbele eti umempiga.

Ili tuone nguvu zako inabidi upigane tu peke yako.
Israel Inashambuliwa kutoka Yemen, Lebanon, Gaza na Iran pia, washirika wake lazima wamuunge mkono.
 
Niaje waungwana,

Inashangaza mpaka leo Israel pamoja na misaada yote ya kijeshi, kiuchumi na kijamii inayopewa na wazungu lakini bado unashindwa kujisimamia yenyewe. Inachokoza wenye nguvu alaf inakimbilia kuomba wazungu haswa Marekani waisaidie kupambana na aliemchokoza. Hii inanikumbusha dogo fulan wa shule mbabe "mbuzi", aliekuwa anapenda kuchokoza wenzake shuleni au mtaani, alaf ukimgusa anaita kaka zake wakupige.

Siku 1 akajichanganya kwangu, na ukizingatia mimi nilikuwa napata training za karate, hivyo siku naruhusiwa kupigana na kila mtu kuhofia madhara ninayoweza kumsababishia nitakaemtwanga.

Basi siku hiyo dogo akafanya kila awezalo ili nimkanye akaite timu yake. Baada ya uvumilivu kunishinda nikamtia tu singi. Dogo baada ya kutoka shule akaenda kuita brother zake ambae walikuwa hawaishi mbali sana na shule. Ma brother walikuwa wa4, wote walikuwa wakubwa kwangu kiumri. Wanafunzi wenzangu haswa marafiki walinishauri nikimbie kwani ningepokea kipigo kikali kutoka kwao. Nikasema mimi sikimbii na nitachokifanya kwao ndio itakuwa mwisho wa wao kufika hapa kupiga watoto wa shule na mdogo wao kuchokoza wenzake.

Wale kaka zake baada ya kufika wakamuuliza dogo, dogo akani point mimi, ghafla hawa hapa wakataka kunikunja, aisee nilianza na yule aliekuwa wa kwanza kutaka kunishika, kwa speed ambayo hawakuitegemea niliwahi kuushika mkono wake nikakikunja kiganja chake kwa upande wa vidole, jamaa akaanza kulalamika kuwa namuumiza. Wale wengine wakataka kunivamia, nikasema hamtoweza kenge nyie, nilimsukuma yule niliemkunja kiganja, nika deal na wale wa3 waliobakia. Baada ya dakika kadhaa jamaa wakawa hoi wametepeta. Mmoja analia huku kashika pu.m.pu eti nimeuwa nyezo yake ya uzazi, mungine kashika kifua anadai anashindwa kupumua (huyu nilipiga chembe) ili kumkata pumzi haraka asiendelee kunisumbua, mungine yeye analia na chaga zake (mbavu) nilimgusa kwa konzi tu ila ndo hivyo nilimuachia madhara makubwa mbavuni (si unajua ile style ya kupiga pushap kwa kutumia vidole na konzi)

Toka siku hiyo pale shuleni kulikuwa na amani mpaka namaliza shule ile. Sasa hili lililofanywa na Iran ni onyo tu, lakini Israel ishakimbilia kuita wakubwa zake waje kumsaidia kupambana na Iran jeshi la mtu mmoja dhidi ya kundi zima la wamagharibi . Na bado Iran inaonekana kuwa tishio kwao ukanda mzima ikiwemo Israel yenyewe, Marekani, Uingereza na vibaraka wao.

Kama Israel inajiona ina ubavu wa kupambana na taifa lenye uwezo mkubwa kijeshi, basi iruhusu Marekan na UK wajitengene na vita hiyo ili wabaki wao wawili, ili mwisho tuje tupate jibu kuwa nani ni mbabe wa kweli wa eneo hilo bila msaada wa nchi au mtu mungine. Hawezi kuomba pambano la ngumi alaf uje ulingoni ukiwa na baba yako, mjomba wako, shemeji yako na ndugu zako wote kwa pamoja kupiganan na mtu mmoja alaf baada ya kumchangia utembee kifua mbele eti umempiga.

Ili tuone nguvu zako inabidi upigane tu peke yako.
Trela gani wewe mnafiki Iran kazabuliwa kofi la uso na israel kaishia kumsukuma israel na kutoa majigambo mashambulizi yamepanguliwa wala hakuna madhara ni upuuzi mtupu
 
Alievamiwa ndani kwake na kufanyiwa uharibifu kwake na yule anaevizia pembeni nani aliepigwa kofi?

Hiki ni kichwa cha habari tu. Ila habari kamili itakuja kwa jinsi kijana atavyotaka kuvimbishwa kichwa na kaka zake. Jeshi la mtu mmoja dhidi ya kundi zima la magharibi 😂😂😂
 
Iran mwanaume kupiga zaidi ya km 2000 watu wameanza kuzuia kuanzia Iraq mpaka Jordan lakini mzigo umepenya wafanya mchezo nini
Ni vigumu kuzuia shambulizi la mwanaume.

Tena kwa kujiamini hakufanya ambush, bali alitoa taarifa kwanza ili kuonesha kuwa hata akiwapa taarifa za kushambulia mapema na wao kuweka ulinzi wao, yeye atapenyeza tu ili afikie lengo lake la mwanzo.
 
Katika hili la israel kulialia na kuomba kusaidiwa imetia aibu sana
Israel kuingia vitani bila msaada wa Marekani ni sawa sawa na Zanzibar kuingia vitani bila mkono wa serikali ya JMT. Haiwezi na haitoweza. Ndomaana hata kupambana na Hamas tu wanaotumia migobole waliomba msaada hadi wa ndege zisizokuwa na rubani, meli za kivita, vifaru nk. Na bado mpaka leo ngoma bila bila 😂😂😂
 
Israel Inashambuliwa kutoka Yemen, Lebanon, Gaza na Iran pia, washirika wake lazima wamuunge mkono.
Hiki ulichoandika ni kisingizio tu. Ila kwa kawaida Israel haijawahi kujisimamia yenyewe hata inapopambana na vikundi vya vijana wasiokuwa na silaha zozote za maana.

Tuliona jinsi Israel ilivyoomba silaha ili ipambane na Hamas kakundi ka vijana wasiozidi elf 20 tu, tena hawana ndege wala kifaru. Hivyo ni kawaida yao, hawana uwezo wala ujanja wa kujisimamia.
 
Back
Top Bottom