mchepuko

Mtu yeyote (mwanaume au mwanamke) anaekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanandoa!
  1. Nyafwili

    Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? 🤔

    Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝 - Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na...
  2. CHURADUME

    Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

    Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri. Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin nikazifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood. Maana nilikuta picha kama kumi za dada...
  3. B

    Mchepuko kaomba godoro, wapi nitapata kava nzuri za godoro niweke kwenye godoro ambalo silitumii

    Ni hivi penzi bado jipya kabisa. Na kitoto cha elfu 2. Kimeomba godoro. Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya ila nyumbani kwangu Nina godoro ambalo sili tumii. Ni yale magodoro ya elfu themanini yale ambayo yana ma kava laini ya kuingiza na kutoa. Kava tayari lilisha toka...
  4. M

    Mke atumia meseji za Mume wake na Mchepuko kuandaa keki ya Birthday

    Ungekuwa wewe ungefanya nini kama mwanaume, chhkulia ni mbele za watu. Tena mkeo unamuita stupid mbele kwa mchepuko.
  5. H

    Drama ya Mapenzi: Kaka Anayekopesha kwa Riba na Tamaa za mke mchepukaji zasababisha ndoa kuvunjika na mauti

    Kuna kaka (baba) mmoja anakopesha kwa riba, akawa ana date dada mmoja mke wa mtu.... Yule dada na mumewe wakapata dharura, akashauri mumewe wakope pesa kwa mchepuko (mumewe hajui kama mkopeshaji ana date na mkewe) wakaweka nyumba yao kama dhamana. Penzi likanoga, mume akimpa mke marejesho...
  6. mr pipa

    Mchepuko Nimeunulia gari aina ya VX8 baada ya kulichoka kasema hakuna nilichomfanyia

    Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu Mwanamke asie na utu na shukrani
  7. N

    Ninayetaka kumuoa ana mchepuko mwingine

    Habari zenu? Kuna single mama mmoja binti wa miaka 25, nimekuwa naye kwenye mahusiano Kwa karibu mwaka mmoja na sasa hivi ana ujauzito wangu wa miezi 5. Ila ana mtoto wa miaka mitano aliyezaa na mwanaume mwingine. Huyo mwanaume walishaachana kitambo tangu mtoto akiwa ana mwaka na jamaa huwa...
  8. KENZY

    Huyu mchepuko nimfanye nini?

    Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu! Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta nikamtia kerebu! Ndo kwanza akawaka mdomo matusi yakawa yanamtoka, mara aniite mimi nyumbu, mara jitu la...
  9. Nyafwili

    Pale unapokuwa unapiga Stori na Mpenzi 'Y', ghafla ulimi unakusaliti kisha Mpenzi 'Y' unamuita kwa jina la Mchepuko mwingine

    Habari wana JamiiForums, Poleni na majukumu ya hapa na pale, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, ghafla tu! Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina...
  10. SankaraBoukaka

    Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

    Habarini humu wandugu,, Nipo katika wakati mgumu kidogo na ningependa sana nipate ushauri fulani. Mimi ni baba wa familia ya watoto wanne.... Mimi na Mke wangu tumefanikiwa kuishi pamoja kwa miaka 13 sasa tena kwa furaha bila shida zozote zaidi ya magomvi madogo madogo ya kawaida ndani ya...
  11. ankol

    Kwa mchepuko round nyingi kwa mke kimoja chali

    Habarini wanajamvi. Naomba mwenye tiba na shida yangu. Nikiwa na mke wangu sifikishi round 2. Hali hii inanitesa na nikajihisi ni mgonjwa wa nguvu za kiume. Hii ilinifanya nibakie njia kuu nikihofia nikichepuka tu nitachekwa na hali hii. Zamani before ndoa nilikua wamoto yaani usiku mmoja...
  12. Zee la Mandandu

    Leo nimepewa ua jeusi 💝 💔 siku ya Valentine

    Dah, leo Mchepuko wangu Toto Moja la Mbeya Mwenye shepu ya haja japo Sura ni ya Mshua wake limenipa makavu na kunitukana kwenye siku ya Valentine. Huu ni mchepuko wangu sawa na Mama J mchepuko wa mdogo wangu @Deepond japo mi naishi Rungwe yeye anaishi Mbeya Mjini. Mara nyingi nikienda Mbeya...
  13. Mjanja M1

    Katibu Tawala Songwe: Mke mwenye pesa haachwi kisa Mchepuko

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amewashauri Wanawake kujiimarisha kiuchumi ili kuwa na maamuzi katika Familia huku akisema Wanawake wakiwa na fedha itakuwa ngumu kuachwa na Wanaume zao na hata kama Wanaume zao wakiwa na michepuko ila hawatowaacha wa njia kuu wenye pesa...
  14. Teslarati

    Mchepuko wangu wa kidigo aliweka huu wimbo baada ya game ikabidi tufute matokeo tuanze mechi upya

    Huyu msanii anaitwa yammi mpelekeeni mauwa yake kutoka kwangu. Nilikua kwa mchepuko, baada ya game nimeenda kuoga yeye anarekebisha mambo si akaweka huu wimbo, nikawasha shazam ikaudaka unaitwa kiuno https://m.youtube.com/watch?v=TbSuWP0taQw&pp=ygUGWWFtbWkg Mtoto alikua kavaa kanga tu...
  15. Selemani Sele

    Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

    Anatha dei tu bi alaivu anatha stori katika pita pita zetu tumshauri. Nina mwanamke ambae ni mke wangu wa ndoa naishi nae mwaka wa tano huu, sasa bhana usiku wa kuamkia leo yani jumapili kuamkia jumatatu ya krismass, baada ya kumaliza kula tukawa tunaangalia movie sasa mida ya saa tano akapigiwa...
  16. Newbies

    Daliliz za mchepuko😂

    KUPENDA KUTEMBEA NA MIPIRA YA KINGA Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kubeba kondomu kwenye pochi yake au mfukoni kwa kisingizio kuwa anajali, elewa kwamba yuko katika mahusiano na mtu mwingine. UTATANISHI KATIKA MATUMIZI YA SIMU Ukiona simu zinamiminika mpaka usiku wa manane naye anapokea kwa...
  17. H

    Kuishi na Mchepuko mwaka 2024

    Kama unaye Mchepuko ni vizuri kujitambua kuwa unavyo ishi naye unatumia akili au umeshatekwa akili na kuwa hamnazo; Fuatilia yafuatayo; Ukishaona unagharamia mchepuko kuliko familia yako; Jua unastahili kupelekwa Mirembe ukatibiwe ugonjwa wa akili. Ukishaona unagharamia mchepuko kuliko wazazi...
  18. Mjanja M1

    Umepanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi wako msimu huu wa sikukuu?

    Habari zenu Wakuu, Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU. Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi...
  19. Teslarati

    Huu mchepuko siuachi hata mke wangu afanye nini

    Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady). Iko hivi, nampenda sana mke wangu na anajua hilo ila ana yeye ana chembechembe za...
  20. mlinzi mlalafofofo

    Msaada: Mke anataka ndoa ivunjike kwa kuwa mumewe anapewa vya ziada na mchepuko

    Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus. Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu...
Back
Top Bottom