Huyu mchepuko nimfanye nini?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,475
57,543
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!

Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta nikamtia kerebu!

Ndo kwanza akawaka mdomo matusi yakawa yanamtoka, mara aniite mimi nyumbu, mara jitu la hovyo, nikamvuta tena nikamramba kichwa cha pua akakimbia!

Kinachoniuma kwanini aniite kenge maji? natafuta jambo lakumuadabisha zaidi, sasa nimfanye nini..?
 
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!,akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta nikamtia kerebu! ndo kwanza akawaka mdomo matusi yakawa yanamtoka!.. mara aniite mimi nyumbu! mara jitu la hovyo!, nikamvuta tena nikamramba kichwa cha pua akakimbia!

kinachoniuma kwanini aniite kenge maji!
natafuta jambo lakumuadabisha zaidi,sasa nimfanye nini..?
Amekuita majina unayostahili, hivyo hukuwa na sababu ya kumpiga
 
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!,akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta nikamtia kerebu! ndo kwanza akawaka mdomo matusi yakawa yanamtoka!.. mara aniite mimi nyumbu! mara jitu la hovyo!, nikamvuta tena nikamramba kichwa cha pua akakimbia!

kinachoniuma kwanini aniite kenge maji!
natafuta jambo lakumuadabisha zaidi,sasa nimfanye nini..?
Nijuavyo kwenye mazingira hayo wanawake ndiyo huwavaa mwilini wanaume ili kupigana. Sasa imekuwaje wewe ndiyo ukawa wa kwanza kupigana? Umejichungulia vizuri na umeridhika kuwa wewe ni ME?
 
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!,akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta nikamtia kerebu! ndo kwanza akawaka mdomo matusi yakawa yanamtoka!.. mara aniite mimi nyumbu! mara jitu la hovyo!, nikamvuta tena nikamramba kichwa cha pua akakimbia!

kinachoniuma kwanini aniite kenge maji!
natafuta jambo lakumuadabisha zaidi,sasa nimfanye nini..?
Lucha mwenzako huyu! Miaka 10 ijayo akisoma mandishi hayo atajiona alivyokuwa wa ajabu.
 
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!,akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta nikamtia kerebu! ndo kwanza akawaka mdomo matusi yakawa yanamtoka!.. mara aniite mimi nyumbu! mara jitu la hovyo!, nikamvuta tena nikamramba kichwa cha pua akakimbia!

kinachoniuma kwanini aniite kenge maji!
natafuta jambo lakumuadabisha zaidi,sasa nimfanye nini..?
Acha utoto KENZY we mkubwa ujue!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom