Search results

  1. Yoda

    Propaganda za uhasama wa Mbowe na Lissu ni za kijuha sana

    Nimeona maandiko mengi huku mitandaoni yakijaribu kuonyesha kuna uadui au kambi mbili kubwa zinazokinzana kati ya Mbowe na Lissu. Hizi propaganda zimefika mbali kiasi kwamba sasa hata chaguzi za ndani za CHADEMA zinahusishwa katika kihoja hiki cha propagandai! Kila mara ninapokutana na nyuzi...
  2. Yoda

    Wapi naweza kupata kuku wa kienyeji kama wale wa KFC?

    Kwa hapa Dar es Salaam wapi naweza kupata kuku wa kukaanga kienyeji mithili ya wale wanaouzwa KFC? Yani kuku wa kukaanga crispy au crunch lakini ni wa kienyeji. Na ni kwa nini kuku wa kienyeji wa kuchoma au kukaanga mara nyingi huwa anakuwa mgumu kuliko wale wa kisasa? Mara nyingi watu...
  3. Yoda

    Utaratibu wa kufagia ardhi ya udongo, mchanga au vumbi ni usafi gani?

    Ni aina fulani ya kukosa maarifa, upotezaji muda au ujuha kuamka kila siku asubuhi kufagia uani kwako, mbele ya nyumba yako au katika biashara yako kama hakuna pavement blocks, sakafu ya zege,/cement, tiles au lami. Unakuta mtu anatimua vumbi mtaa mzima kwa minajili kwamba anafagia kufanya...
  4. Yoda

    Viongozi wa CCM mnasikiliza na kutatua kero au matatizo ya wananchi?

    Kero ni ile hali ya maudhi madogo madogo na mara nyingi kwa mtu binafsi au kikundi kidogo tu cha watu. Mfano wa kero inaweza kuwa jirani yako anayefungulia mziki mkubwa unaoleta usambufu kwa majirani wengine, mlevi anayetukana hovyo mtaani, kuachwa na mume bila kupewa mali stahiki, mwenyekiti wa...
  5. Yoda

    CHADEMA huu mfumo wa uongozi wa Mwenyekiti wa kanda unawasadiaje?

    Nimeona vita vikali vya siasa kati ya pande za Mchungaji Msigwa na Sugu kuwania uenyekiti wa kanda ya Nyasa ndani ya CHADEMA. Sijui ni sababu gani hasa zilizopelekea kuwa na mfumo wa aina hii unaonyima fursa na kuzua minyukano isiyo na ulazima au afya katika chama chenu, sioni mantiki ya mfumo...
  6. Yoda

    Script ya makocha wazawa wa Tanzania katika tathimini ya mechi

    Kila baada ya mechi ikiisha makocha wazawa wakiohojiwa huwezi kukosa kuyasikia haya mambo manne. 1. Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu..... 2. Mpira ni mchezo wa makosa, tumefanya makosa tumeadhibiwa..blah blah 3. Mpira una matokeo matatu... 4. Tunajiandaa kwa mechi ijayo...
  7. Yoda

    Paredi la ubingwa Yanga na vibweka vyake

    1. Harmonize anaonyesha ishara za lugha za matusi hadharani hasa zikiwadhalilisha wanawake na mashabiki wanazishangalia, jambo la kushangaza mpaka sasa sio LHRC, TAMWA, BASATA, TFF au taasisi nyingine yoyote iliyokemea na kulaani vitendo hivyo. 2. Kingereza kibovu mno katika platform ambayo...
  8. Yoda

    Makonda ni tatizo ila mfumo wake unakubalika na wengi waliochoshwa na ubabaishaji

    Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba utoaji wa huduma za umma za watumishi katika sekta na maeneo mbalimbali una urasomu uliopitiliza, changamoto na usumbufu mkubwa sana. Kuna aina fulani ya uvivu, uzembe, wizi wa mali za umma na mazoea ambapo imekuwa kama utamaduni sasa katika watumishi wa...
  9. Yoda

    Marekani yalalamikiwa ajali iliyomuua Rais wa Iran!

    Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali hii ni matokeo ya vikwazo vya muda mrefu vya Marekani ambavyo vinawazuia kupata ndege/ helicopter na...
  10. Yoda

    Ebrahim Raisi, mchinjaji wa Tehran(The Butcher of Tehran) atakayekumbukwa kwa madhila mengi na makubwa

    Habari za awali za helicopter iliyoanguka ikiwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi maarafu kama "the butcher of Tehran"/mchinjaji wa Tehran huenda imepokewa kwa furaha kubwa na wahanga waliowahi kuguswa naye katika utumishi na uongozi wake mrefu ndani ya Iran. Huyu bwana alianza kama...
  11. Yoda

    JWTZ liwe na kitengo cha elimu kwa raia, kuna upotoshaji mkubwa kulihusu

    Wiki iliyopita katika mizunguko yangu ya kusaka noti nilipanda daladala iliyokatiza Kurasini, kuna mahali magari yakasimama kuruhusu wanajeshi wengi waliokuwa wakivuka barabara kwa makundi huku wakiimba nyimbo zao. Kama mnavyojua Watanzania ni watu wanaopenda na wazuri sana kuanzisha soga...
  12. Yoda

    Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

    Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza...
  13. Yoda

    Safaricom yaweka rekodi Africa Mashariki kufikisha mapato ya dollar billion 1 kwa mwaka

    Wiki hii kampuni ya simu ya Safaricom ya Kenya imefikisha mapato ya dollar bilioni 1.07 kwa mwaka na kuifanya kampuni ya kwanza katika ukanda wa Africa Mashariki kufikisha na kupita kiwango cha mapato ya dollar bilioni kwa mwaka.
  14. Yoda

    Philip Mpango na Selemani Jafo tokeni hadharani kuusemea muungano ukipopolewa na Lissu!

    Masuala ya muungano nchi yamewekwa katika ofisi ya makamu wa Rais ambapo pia kuna wizara na waziri anayeshughulikia muungano na mazingira. Sijui kwa nini serikali wameweka muungano na mazingira kama jambo moja lakini kwa sababu kuna hii wizara tayari inabadi mawaziri wake wakishirikiana na...
  15. Yoda

    Kazi ya kudhibiti mapaka bar ni ya mmiliki sio mteja

    Kuna hizi bar hasa za daraja la kati na chini paka huwa wametamalaki wanakodolea macho, wanajipitisha kwenye miguu, wanangurumia wateja na wengine wanawarukia hadi kuwaparua wateja ili wawape nyama au samaki. Sasa paka wenyewe huwa katika hali mbaya sana ya kiafaya, wengine wakiwa na chawa...
  16. Yoda

    Njama za makanali wawili wa Ukraine kumuua Zelenskyy zatibuliwa huku Urusi ikihusishwa.

    Vita vya uvamaizi vinavyoendelea kufanywa na Urusi dhidi ya Ukraine vimechukua sura ya tofauti kufuatia shirika la ujasusi la Urusi(FSB) kupanga njama za kumuua Zelenskyy kwa kushirikiana na makanali wawili wa kikosi cha ulinzi cha serikali ya Ukraine. Mpango huo mahususi wa kigaidi wa mauaji...
  17. Yoda

    Serikali na CCM wawaeleze Watanzania bara/ Watanganyika sababu na faida za muungano kwa hoja nzito

    Raia wengi wa Tanzania bara au kama wengine wanavypenda kujiita Watanganyika ni kama vile hawaelewi faida za muungano, hawafahamu wananufaika vipi na huu muungano. Kila mara ambapo hoja za muungano zinaibuliwa wanachama wengi wa chama tawala huwa wanapenda kusema tutaulinda muungano na kurudia...
  18. Yoda

    Kufurahia, kusemwa na hata kujivunia kabila lako sio kosa au dhambi

    Dhana ya makabila na ukabila huwa inafanyiwa upotoshaji kwa makusudi au kukosa uelewa hasa na wanasiasa kwamba watu kutambuana kwa makabila yao, kusemwa kwa makabila yao na kufurahiwa kwa makabila yao ni makosa makubwa au dhambi. Huu ni upotoshaji mbaya sana, kote duniani kuna nchi nyingi tu...
  19. Yoda

    Kila nchi kumiliki silaha za nyuklia ndio kutazuia uvamizi na vita na kuleta heshima

    Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi. Kinachotakiwa sasa hivi ni kila nchi iruhusiwe kumiliki silaha za nuclear kwa ajili ya ulinzi na hii inaeweza kueleweka vyema...
  20. Yoda

    Serikali boreshini utalii wa Makumbusho ya Kihistoria na Utamaduni, wageni hawataki kuona wanyamapori tu

    Moja ya mambo ambayo huwa tunajifariji na kujidanganya nayo wakati wote katika sekta ya utalii ni suala la kuwa na vivutio vingi vya utalii tukimaanisha hasa mbuga na hifadhi za wanyamapori au maliasili iwa ujumla. Ni jambo zuri kuwa na vitu hivi ila ni vyema tukajia hivi sio vitu vya kipekee...
Back
Top Bottom