Inatakiwa waione ili waboreshe huduma zao hasa M-pesa kama Kenya ambapo hadi bodaboda, watembeza mboga na mama ntilie wanatumia M-pesa zaidi kama mfumo wa malipo kuliko makaratasi.Ficha hii thread Vodacom Tanzania na makampuni mengine yasione tutaisha
Tanzania tumedidimiza huduma ya simu kwa kuongeza tozo , Kodi na Makato mengine yasiyo na maanaInatakiwa waione ili waboreshe huduma zao hasa M-pesa kama Kenya amapo hadi bodaboda, watembeza mboga na mama ntilie wanatumia M-pesa zaidi kama mfumo wa malipo kuliko makaratasi.
Hawa wa kwetu ni vice-versa hawatetei masilahi ya wateja wao Bali ya serikali kiujumla. Tutegemee wajifunze pale ambapo uongozi wa kina Nape utabadilika.Inatakiwa waione ili waboreshe huduma zao hasa M-pesa kama Kenya amapo hadi bodaboda, watembeza mboga na mama ntilie wanatumia M-pesa zaidi kama mfumo wa malipo kuliko makaratasi.
Vodacom waanzishe pochi la biashara kama ilivyo Safaricom. Kila mtu atumie hiyo Kulipa kwa Mpesa kama ilivyo kenya. Unaweza ishi Nairobi mwezi mzima bila kushika hela ni Kulipa kwa Mpesa tu. Kuanzia Daladala, mama ntilie, bodaboda nk.Ficha hii thread Vodacom Tanzania na makampuni mengine yasione tutaisha
Sijui kwa nini hawaanzishi pochi la biashara kama ilivyo kenya. Ni fursa kubwa sana na itasaidia kuleta cashless economyInatakiwa waione ili waboreshe huduma zao hasa M-pesa kama Kenya amapo hadi bodaboda, watembeza mboga na mama ntilie wanatumia M-pesa zaidi kama mfumo wa malipo kuliko makaratasi.
Kenya kuna makampuni mangapi ya simu za mkononi? Huyu safaricom ni giant kwelikweliInatakiwa waione ili waboreshe huduma zao hasa M-pesa kama Kenya amapo hadi bodaboda, watembeza mboga na mama ntilie wanatumia M-pesa zaidi kama mfumo wa malipo kuliko makaratasi.
Hii huduma mbona ipo nimenukuu baadhi ya swali ambalo mtumiaji wa Vodacom aliwahi uliza kwenye mtandao wa Facebook.Vodacom waanzishe pochi la biashara kama ilivyo Safaricom. Kila mtu atumie hiyo Kulipa kwa Mpesa kama ilivyo kenya. Unaweza ishi Nairobi mwezi mzima bila kushika hela ni Kulipa kwa Mpesa tu. Kuanzia Daladala, mama ntilie, bodaboda nk.
Wakianzisha hiyo lazima voda impige chini Safaricom na kurahisisha maisha ya watz kwenye kutafuta chenji na kupunguza magonjwa ya kuambukiza
Wakajifunze vzr kule kenya wanafanyaje. Kodi iwe ndogo sana. Hata wakikata Sh 5 kwa Kila muamala watapata hela nyingi tu. Ukiwa lipa kwa simu itasambaa kama ilivyo kenya.Tatizo la tz ni makato.
Lipa na Mpesa ilianza vizuri ila imevamiwa na TRA
Hao nao hawajielewi, wangepata mapato mengi zaidi kwa wafanyabiashara bila kugusa hata hiyo miamala ya simu ya ulipaji kama wangetoa nafasi ya mitandao ya simu kurahisisha ulipaji na kuchochea biashara.Tatizo la tz ni makato.
Lipa na Mpesa ilianza vizuri ila imevamiwa na TRA
Basi hawajaitangaza vzr. Waingie mtaani wawaelimishe watu fáida za pochi la biashara.Hii huduma mbona ipo nimenukuu baadhi ya swali ambalo mtoa mtumiaji wa Vodacom aliwahi uliza kwenye mtandao wa Facebook.
"...Habari Nicholaus. Tunaomba kukufahamisha kuwa tuna huduma ya pochi la biashara. Ni huduma inayokuwezesha kufungua akaunti ya Biashara ndani ya M-Pesa inayoweza kukupa uwezo wa kupokea malipo kutoka mitandao yote na kupata taarifa za kifedha kuhusu akaunti hiyo kwa urahisi. Wateja wote waliosajiliwa na M-PESA wataweza kufungua akaunti ya Biashara na kutumia huduma ya POCHI LA BIASHARA kupitia M-Pesa Isipokuwa Wafanyabiashara wote ambao tayari wamejisajili na huduma ya Lipa kwa simu hawataweza kufungua akaunti ya POCHI LA BIASHARA. Piga *150*00#>Lipa kwa M-Pesa>Lipa kwa SIMU>POCHI LA BIASHARA kujiunga
^ML..."
Kenya wanatuzidi uchumi kwa mbali sana, mengine yote uliyosema ni sahihi.Basi hawajaitangaza vzr. Waingie mtaani wawaelimishe watu fáida za pochi la biashara.
Waanze na Daladala na bodaboda maana watu wanazipanda Kila siku. Baadae itasambaa tu.
Kule kenya Kila Daladala zina number za Kulipa na jina zimebandikwa. Konda kází yake kuangalia message tu.
Kwanza Mabosi wa Daladala wataondoa wizi na utapeli wa mapato. Lakin makonda hawataangaika na chenji.
Karibu Kila mtu ana simu Tz. Inawezekana.
Unaweza ishi Nairobi mwaka mzima bila kushika hela.
Ni rahisi pia kujua money circulations na kuondoa upotevu wa hela.
Kwa maisha ya yalivyo kenya. Sidhani kama wanatuzi uchumi. Tofauti ni kwamba wap money circulations zinajulikana. Tz mambo mengi hayajulikani ndo maana ni ngumu kujua uchumi wa Tz. ( NBS wanabashiri data) Na kiuhalisia unakuta uchumi wa Tz ni mkubwa kuliko unavyoonekana sasa
Uko sahihi haijatangazwa vizuriBasi hawajaitangaza vzr. Waingie mtaani wawaelimishe watu fáida za pochi la biashara.
Waanze na Daladala na bodaboda maana watu wanazipanda Kila siku. Baadae itasambaa tu.
Kule kenya Kila Daladala zina number za Kulipa na jina zimebandikwa. Konda kází yake kuangalia message tu.
Kwanza Mabosi wa Daladala wataondoa wizi na utapeli wa mapato. Lakin makonda hawataangaika na chenji.
Karibu Kila mtu ana simu Tz. Inawezekana.
Unaweza ishi Nairobi mwaka mzima bila kushika hela.
Ni rahisi pia kujua money circulations na kuondoa upotevu wa hela.
Kwa maisha ya yalivyo kenya. Sidhani kama wanatuzi uchumi. Tofauti ni kwamba wap money circulations zinajulikana. Tz mambo mengi hayajulikani ndo maana ni ngumu kujua uchumi wa Tz. ( NBS wanabashiri data) Na kiuhalisia unakuta uchumi wa Tz ni mkubwa kuliko unavyoonekana sasa
Inasikitisha sana kuendekeza sera za ujamaa ule wa Mao wa kujifungiafungia mambo.Moja ya Sababu ya Safaricom kufanya vizuri katika huduma yao ya M-PESA ni sera nzuri ya Benki kuu ya Kenya, mfano halisi ni rahisi kuintergrate malipo na online wallet kuliko ilivyo kwa M-pesa Tanzania.
Nina mwaka wa tatu huu nipo Bongo ila natumia M-pesa Kenya kwenye international money transfers
Paypal ni kutuma tu pekee.Inasikitisha sana kuendekeza sera za ujamaa ule wa Mao wa kujifungiafungia mambo.
Hivi PayPal ilisharuhusiwa Tanzania?
Nimeishi kenya miaka mitano. Hakuna tofauti kubwa sana ya kimaisha kati ya kenya na Tanzania.Kenya wanatuzidi uchumi kwa mbali sana, mengine yote uliyosema ni sahihi.