njama

Solanum scabrum, also known as garden huckleberry, is an annual or perennial. The origin of the species is uncertain, although Linnaeus attributed it to Africa, but it also occurs in North America, and is naturalized in many countries. In Africa it is cultivated as a leaf vegetable and for dye from the berries.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Njama za makanali wawili wa Ukraine kumuua Zelenskyy zatibuliwa huku Urusi ikihusishwa.

    Vita vya uvamaizi vinavyoendelea kufanywa na Urusi dhidi ya Ukraine vimechukua sura ya tofauti kufuatia shirika la ujasusi la Urusi(FSB) kupanga njama za kumuua Zelenskyy kwa kushirikiana na makanali wawili wa kikosi cha ulinzi cha serikali ya Ukraine. Mpango huo mahususi wa kigaidi wa mauaji...
  2. Webabu

    Israel inavyorudi upya Gaza kwa nguvu, ni wazi kulikuwa na njama kati yake na Marekani kuiwacha Iran ishinde ili kupata ushindi wa Gaza

    Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
  3. B

    Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    February 5, 2020 Kilosa, Tanzania Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
  4. Webabu

    Kitendo cha Misri kujenga ukuta mwengine upande wake kina maana gani. Wana njama na Israel au ni huruma kwa wapalestina

    Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10. Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata...
  5. Suley2019

    Msaidizi wa Lissu adaiwa kujeruhiwa na mapanga na watu wasiojulikana

    Msaidizi maalum wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyekuwa Mgombea Urais wa Tanzania, Tundu Lissu; ameshambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana jijini Dar es Salaam jana, 30 Oktoba 2023 majira ya saa 2 usiku. Hizi ni dalili za giza la kisiasa kuanza kutanda tena!
  6. F

    Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

    Historia ya Serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui. Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua Serikali ya Mwl Nyerere. Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na...
  7. Hismastersvoice

    DOKEZO Mkuu wa mkoa wa Dar, wadhibiti wanaotaka kujigawia soko la Mbagala Zakhiem kinyume na utaratibu uliopangwa na Manispaa

    Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea hivi sasa ni wamejitokeza viongozi wanaotaka kuvuruga utaratibu wa kuwarejesha wahusika ili wajigawie...
  8. M

    Shinyanga: Wazee walalamika kuuawa kwa njama wasipogawa urithi

    ====== Wazee waeleza sababu zinazosababisha kuuwawa WAZEE wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wameeleza sababu inayosababisha wazee mengi kupoteza maisha kabla ya muda wao ni kulazimishwa kugawa urithi wa mali walizonazo kwa watoto wao na wanapokataa wanatengenezewa...
  9. Econometrician

    Rais Ruto awahimiza Viongozi wa Afrika kuacha kutumia dola katika biashara zao

    Right Nyerere na Gadafi wangefufuka Leo wangempa nishani William Ruto kwa kuendeleza jitihada za kuikomboa Africa. William Ruto ameendelea na speech zake za kuhimiza viongozi wenzake kuacha kutumia USD katika biashara za wao kwa wao na kuhimiza kutumia yu pale wanapofanya trade na USA. Msikilize...
  10. F

    Njama za Mapinduzi ya kijeshi zatibuka ktk taifa jirani

    Intelligence kali ya Taifa jirani zamnusuru Rais mupinduliwa. Ilikuwa apinduliwe 15/6/2023. Bahati yake ni kuwa na intelligence kali kila idara ya utumishi wa Umma. Sasa mzee analisuka jesjhi lake upya. Mataifa mawili jirani yatajwa kushirikiana na maafisa wa jeshi watiifu kwa mzee kuhitimisha...
  11. Mathanzua

    Dhana ya Conspiracy Theories au Nadharia ya Njama

    Kuna dhana nyingi ambazo watu huzitumia bila kujua zina-maanisha nini hasa. Baadhi ya dhana hizo zina ajenda mbaya, kwa hivyo unapozitumia, unasaidia kuendeleza ubaya unaotokana na ajenda hizo mbaya. Dhana moja kama hiyo ni dhana ya "Nadharia za Njama au Conspiracy Theory" Dhana hii ilitumika...
  12. Allen Kilewella

    Dola hutumia nadharia njama kututoa tusijadili mambo ya maana badala yake tujadili uzushi?

    Nadharia Njama (Consipirancy Theory) ni hali ya kuamini kwamba kuna taasisi au watu fulani wanahusika kufanya jambo fulani la siri kwa faida yao. Lakini pia inawezekana ikawa ni hoja fikirishi ya kutungwa dhidi ya kitu fulani lakini hoja yenyewe isiwe ya kweli. Siku moja miaka ya themanini...
  13. K

    Makonda, William Malecela wadaiwa kupanga njama za kumchafua aliyewashitaki kwa utapeli wa gari

    Makonda, Lemutuzi wapanga njama kumchafua PCK Kisutu leo WAKATI kesi ya madai namba 234/2022, iliyofunguliwa na Mfanyabiashara Patrick Christopher Kamwelewe ‘PCK’ dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mwanamitandao William Malecela ‘Le Mutuz’, ikitarajiwa kuanza...
  14. Lady Whistledown

    Katavi: Ashikiliwa na Polisi kwa kupanga njama za mauaji ya Mchepuko wa Mkewe mdogo

    JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo...
  15. B

    Tujielimishe: Ni Wakati gani polisi walibaini Kuna njama za Ugaidi kwenye kesi ya Mbowe? Ni mwaka 2020 au 2021?

    1. Watuhumiwa watatu kwenye hii walikamatwa mwaka 2020 na kuhojiwa Kisha kufunguliwa mashtaka yasiyo ya Ugaidi. 2. Watuhumiwa watatu baada ya kutoa maelezo Yao mwaka 2020 walipokamatwa awakuwahi kurejea uraiani walipelekwa mahakamani Kisha mahabusu,hivyo awajawahi kupata dhamana Wala kuhojiwa...
  16. L

    “Mtego wa madeni”, njama ya nchi za Magharibi kuzuia maendeleo ya Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekanusha tena “dai la mtego wa madeni” kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika alipokuwa ziarani nchini Kenya hivi majuzi. Alisisitiza kuwa China kamwe haijawahi kuzilazimishi nchi nyingine kufanya shughuli zisizotaka, na dai hilo ni kama “mtego...
  17. Analogia Malenga

    Wanajeshi wa Burkina Faso washikiliwa kwa madai ya njama ya mapinduzi

    Mamlaka nchini Burkina Faso imetangaza kukamatwa kwa wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kupanga njama ya mapinduzi. Miongoni mwa waliokamatwa ni Kanali Mohamed Emmanuel Zoungrana - kamanda maarufu wa zamani wa jeshi ambaye ameripotiwa kuikosoa serikali. Wizara ya haki Jumanne ilisema uchunguzi...
  18. L

    Marekani haijawahi kuacha njama ya kutawala kikoloni Afrika

    Mwaka 1958, mwaka mmoja baada ya kujipata uhuru, Ghana, nchi ya kwanza ya Afrika kusini mwa Sahara iliyoondokana na utawala wa kikoloni iliitisha mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika. Kwa watu waliodhamiria kujenga taifa upya, hiki kilikuwa ni kipindi chenye matumaini. Lakini nchi mwenyeji...
  19. Idugunde

    Watuhumiwa wenzake na Mbowe yawezekana kweli waliteswa na kupigwa, lakini je hawakupanga kushiriki njama za ugaidi?

    Kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi iwapo ni kweli alihusika, ila kama alipigwa na kuteswa na polisi wakageuza uongo uwe kweli hapo...
  20. Jidu La Mabambasi

    Climate Change: Nchi za Kiafrika, hususan Tanzania tuwe waangalifu na njama pana zaidi

    Katika kuongea na wenzetu wana siasa Ulaya na Marekani, ni muhimu kutazama tatizo lolote kwa uwigo mpana zaidi. Wakati wa utumwa , waafrika walichukuliwa kuwa kama wanyama wa kazi, kama punda na farasi. Ulaya na Marekani walipo ingia Industrial revolution ,sasa nguvu kazi iliyotumika kwa miaka...
Back
Top Bottom