Philip Mpango na Selemani Jafo tokeni hadharani kuusemea muungano ukipopolewa na Lissu!

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
38,061
46,951
Masuala ya muungano nchi yamewekwa katika ofisi ya makamu wa Rais ambapo pia kuna wizara na waziri anayeshughulikia muungano na mazingira.

Sijui kwa nini serikali wameweka muungano na mazingira kama jambo moja lakini kwa sababu kuna hii wizara tayari inabadi mawaziri wake wakishirikiana na makamu wa rais wajitokeze kuutetea kwa hoja mbele ya umma wa Tanzania ili kuifanya imara zaidi kama inawezekana.

Ilipaswa kabla Kinana hajajitokeza hadharani au hata baada ya yeye kujitokeza kumjibu Lissu basi makamu wa Rais Phillip Mpango akisaidiana na Waziri Jafo wajibu pia hoja za Lissu katika majukwa mbalimbali. Jambo la kushangaza mpaka sasa wote wako kimya na wanajibu watu wengine wa mbali kabisa!
 
Kwahiyo kila kichaa akiongea VP atoke kujibu? Itakua ni nchi au kikundi cha taarabu
 
Hizo ndio super sub? au bado kuna sub nyingine tusubirie?
Watapoteana tu Kama Ally Happi na Chenga chenga za Kinana…
We ngoja wajitutumue- Yule mtu wa CDM huwa anafanya utafiti wa kutosha kabla ya kupanua mdomo wake, hawa wa ccm wao wako emotional sana, na wakati huu, haya mambo ya emotions Vijana hawayatilii maanani sana. Wao wanataka pasu Kwa pasu ndio wanaelewa…
 
ningekua CCM ningejiepusha na mijadala ya kipumbavu
 
Masuala ya muungano nchi yamewekwa katika ofisi ya makamu wa Rais ambapo pia kuna wizara na waziri anayeshughulikia muungano na mazingira.

Sijui kwa nini serikali wameweka muungano na mazingira kama jambo moja lakini kwa sababu kuna hii wizara tayari inabadi mawaziri wake wakishirikiana na makamu wa rais wajitokeze kuutetea kwa hoja mbele ya umma wa Tanzania ili kuifanya imara zaidi kama inawezekana.

Ilipaswa kabla Kinana hajajitokeza hadharani au hata baada ya yeye kujitokeza kumjibu Lissu basi makamu wa Rais Phillip Mpango akisaidiana na Waziri Jafo wajibu pia hoja za Lissu katika majukwa mbalimbali. Jambo la kushangaza mpaka sasa wote wako kimya na wanajibu watu wengine wa mbali kabisa!
Wew kilaza tu, usikute ni miongoni mwa wanaojiitata wasomi Wetu hopless

Ukitaka kushughulika na muungano shariti tubadili katiba zote ya zenji na ya tz vinginevyo tuendelee na uongo uongo wa toka 1964 mpaka Leo kama anavyosema tundu
 
Wanamfatilia na wao kwa umakini wanakula Shule ya Lissu

Back
Top Bottom