JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba...
4 Reactions
12 Replies
537 Views
IST ipewe maua yake kwenye usajili wa No. D. Kwa utafiti usio rasmi asilimia 30 ya No.D ni magari ya IST. Lakini tangu usajili wa "E" uanze ni IST chache sana zimesajiliwa. Kwa utafiti usio rasmi...
21 Reactions
165 Replies
14K Views
Nina gari aina ya van. Kwenye maelezo ya kitabu cha gari (owners manual) na vile vile ilivyokuwa kwenye magurudumu yaliyokuwa kwenye gari lilipotoka Japan, vipimo vyake ni 165/70 ×13. Baadhi ya...
1 Reactions
1 Replies
217 Views
Kuna mengi sana yanapita katika kichwa cha dereva anaeendesha gari alafu ikazima ghafla bila ya yeye kuizima na mbaya zaidi itokee hivyo ikiwa geji ya mafuta inaonesha mafuta yapo ya kutosha...
10 Reactions
5 Replies
952 Views
Wakuu Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema nilikuwa nahitaji kujua uimara wa hizi tractors, spare .nk
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Wakuu, kati ya kampuni hizi hapa ipi ni bora kwa ajili ya bima ya gari?
0 Reactions
4 Replies
328 Views
Tunatoa huduma ya kukagua gari kama mtu anataka kununua mathalani kwa magari used. Hii ni kwa gari ndogo tu. Gharama ya kukagua huwa ni kuanzia Tsh. 150,000/=. mpaka 250,000/= kulingana na aina...
21 Reactions
41 Replies
4K Views
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na...
4 Reactions
136 Replies
28K Views
Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana. Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid. Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa...
17 Reactions
68 Replies
9K Views
Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Maeneo ya mbezi beach tangi bovu, Nissan Dualis imekutwa inawaka moto yan imelipuka. Mimi binafsi hii ni dualis ya 4 kupata taarifa imewaka moto. Hizi gari zina shida gani? Halafu hizi ndo sababu...
17 Reactions
170 Replies
16K Views
Ni katika muendelezo ule ule wa Dualis a.k.a sigala na vayolensi za moto, nakuletea nyingine hii ni DXF imelipuka huko iliko lipukia. Ifike mahali hizi gari na kuwaka moto zimalize tofauti zao. Ni...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakuu kwema. Najua kwa namna moja au nyingine, kuna Mjapan uko anazinguka na gari lako bila yeye kujua. Siku zake zinahesabika. Sasa, gari siku hizi halijawa "kifaa" cha kukutoa point A kwenda B...
24 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari wakuu, Utamshauri mtu anunue gari ipi kati ya gari hizo mbili kwa kuzingatia vigezo vya mazingira ya miundombinu ya barabara zetu, hali ya kiuchumi (kipato cha kati) na upatikanaji wa...
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Inaonekana muundo wa gearbox kwa magari ya "brevis" ni dhaifu sana kwasababu magari karibu yoote used utakuta kipengere ni gearbox! Wajuzi tupe elimu!
2 Reactions
1 Replies
167 Views
Kwema wakuu, je ni speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki na ilikuwa ni gari gani au pikipiki gani? Nikianza mie nakumbuka mwaka 2017 nilikuwa na Cresta GX100 yenye engine...
24 Reactions
587 Replies
33K Views
Habarini wa kuu nina kigari changu Toyota cami cc1290 wakuu kinakunywa mafuta kama defender nisaidieni wataalam nini cha kubadilisha?
2 Reactions
3 Replies
275 Views
habari ndugu naomba kujua vizuri kuhusu bmw 3series gt 2013 - 2015 au 5series gt uzuri wake na ubaya pia
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Watu wana balaa na dharau za mapesa. Huko Dubai mvua zimeleta majanga ya mafuriko hadi miundombinu kama barabara na airports kuacha kufanya kazi kwa muda. Sasa kuna jitu lenyewe halijali...
8 Reactions
10 Replies
719 Views
Habari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash. Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10...
2 Reactions
25 Replies
560 Views
Back
Top Bottom