Mwamba anaendesha Utopia kwenye Mafuriko Dubai

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,683
52,011
Watu wana balaa na dharau za mapesa. Huko Dubai mvua zimeleta majanga ya mafuriko hadi miundombinu kama barabara na airports kuacha kufanya kazi kwa muda.
images (11).jpeg


Sasa kuna jitu lenyewe halijali, limeonekana likiendesha gari yake Pagani Utopia kama ni off-road car kwenye maji. Na gari haikuzima (labda kama ilizima off camera)

pagani-drives-flood-water-02.jpg


Shida sio bei ya hii gari $2.5 Million (Bil 6.5 hivi Tsh bila ushuru) ila shida ni kwamba izo gari Duniani zipo 99 tu. Sijakosea.
pagani-utopia-3-scaled.jpg


Ukitokea siku ndugu msomaji wa huu uzi umeipata, Taifa lazima likutambue.

Asanteni.
 
Aisee mbona huyo Kama ana jichekesha tu, watu wali nunua plate number tu ya gari.
Kwa dollar million 15.

Narudia plate number, SI gari wazee 🤣😂😆.
Screenshot_20240420-151253_1.jpg
 
Hawatakagi Mchezo Mchezo kwenye matumizi ya fedha na ndio Raha ya fedha kutumia tuu
 
Dubai wanakula maisha zaidi ya mbinguni..
Juzi nimeona hizo picha kwenye twitter nilishangaa mno
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom