Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 122
- 182
Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya
Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji Mkoa wa Mbeya Esther Kinyaga amesema baada ya kupata taarifa walifika eneo la tukio lakini gari lote lilikuwa limeshaungua na hakuna madhara kwa binadamu zaidi
Hivi wadau hizi gari shida uwa nini mbona huko Japan wanapotengeneza hayaungui au ni kwamba hawaripoti