Makobus
Senior Member
- Jul 30, 2012
- 164
- 103
Habari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash.
Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10. Lakini nilipoenda kama km 2.5 tu ikaflash tena.
Ni kweli shell wananiibia au engine imegeuka jini la kubugia mafuta junsi hii?
Au kuna technical problem nyingine sijaigundua tu? Naomba msaada wataalam.