Tofauti ya matumizi ya magurudumu (tairi) zenye vipimo hivi?

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
810
809
Nina gari aina ya van.

Kwenye maelezo ya kitabu cha gari (owners manual) na vile vile ilivyokuwa kwenye magurudumu yaliyokuwa kwenye gari lilipotoka Japan, vipimo vyake ni 165/70 ×13.

Baadhi ya wenye magari kama langu wanatumia magurudumu yenye kipimo cha 175 na 185 badala ya 165.

Naomba kufahamu manufaa na athari za kutumia magurudumu yenye upana huo mkubwa wa 175 na 185.
 
Back
Top Bottom