JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Naomba msaada Gari yangu aina ya ist inazima nikiwa kwenye mwendo mdogo tatizo litakuwa nini wadau?
2 Reactions
9 Replies
641 Views
Habari wakuu, Naomba ushauri Wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000 ulaji wa mafuta na pia kama mtu anayo ya 2004 namba D iliyo nyooka tuwasiliane
1 Reactions
19 Replies
930 Views
Wapendwa nahitaji kununua gari kati ya Carina Ti na Premio old model ipi ni bora?
2 Reactions
19 Replies
573 Views
Hii chuma ni moto wa kuotea mbali. 1. Powerful, 2. High ground clearance, 3. 7-seater, 4. Reliable.
3 Reactions
7 Replies
568 Views
. Hii ni moja ya sedan za Toyota nzuri kuwahi kutokea, huyu na Crown ni kama wanashare Baba sema Mama tofauti, Hii ndo zile gari unasikiaga zinakopa speed yani zinafika 180 hafu mshale unaenda...
19 Reactions
24 Replies
6K Views
Naomba wajuzi mniambie, kuna jamaa wanasema nichukue IST kwa ajiri ya kupata uzoefu wa magari kwanza
6 Reactions
41 Replies
29K Views
Verisa amekua kwenye uzalishaji 2004-2015 na ni moja ya gari ndogo ya kitofauti. Huko Japan wanakiita master of deception yani kukiwa na wageni hakikombi ukoko wa uji kwenye sufuria ila wageni...
12 Reactions
14 Replies
4K Views
Huku bei ya mafuta ikiendelea kupanda kila kukicha ndani ya hii miaka mitano (kutoka Tsh 2100/= hadi sasa Tsh 3300/=) na hamna "dalili" kuona bei ikishuka, ni muda wa Watumiaji kubadirisha...
16 Reactions
28 Replies
1K Views
Hapa Songea kumezuka mtindo wa vibaka kuiba Betri za Gari hasa usiku ukiwa umeegesha nyumbani, JE, KUNA UWEZEKANO WA KUFUNGA TRACKING DEVICE KWNY BETRII ILI KUSAIDIA KUKAMATA WEZI?
5 Reactions
11 Replies
695 Views
Je, gari lako la Toyota ni lipi unalolipenda zaidi?
15 Reactions
200 Replies
12K Views
Nimekuta huu mjadala twitter Nimeshangaa watu wengi wanachagua Vanguard
12 Reactions
298 Replies
26K Views
Wana JF!! Naomba kujua tofauti kati ya CVT engine na Automatic engine katika mode of engine transmission
1 Reactions
15 Replies
865 Views
Leo kwenye harakati zangu za maisha nilipita maeneo ya KILUVYA, Kwa nilivyokua nadhani KILUVYA ipo wilaya ya ubungo, baada ya kubishana na jamaa yangu kua KILUVYA sio dar nikaenda kwenye ramani...
2 Reactions
26 Replies
441 Views
Wajuvi hebu tujuzane kuhusu hio gari hapo juu uimara wake na ubora wake kwa barabara zetu. Honda Crossroad
1 Reactions
43 Replies
36K Views
Heshima kwenu wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Ningependa kujua ni kampuni gani nzuri ya kuagiza gari kutoka Japan kati ya SBT na BEFORWARD.? Vigezo viwe katika maeneo yafuatayo: (1)...
1 Reactions
89 Replies
28K Views
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati...
89 Reactions
22K Replies
1M Views
Habari ndugu jamaa na marafiki wa JF na wauza spear wote. Ninahitaji sunroof glass ya gari tajwa hapo juu. Kama ipo nicheki PM.
1 Reactions
5 Replies
155 Views
. Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama...
12 Reactions
10 Replies
6K Views
Wakuu kwema, Nina gari yangu RV4 (Miss Tanzania) hii gari ilivunja hii kitu na kupelekea taa ya oil kuwaka nimepeleka kwa fundi karibu wiki sasa tumepata spare part nyingine ila akitega timing...
0 Reactions
4 Replies
261 Views
Nimejichanga Sasa nataka kununua gari ili kujipongeza. Je gari gani ya kununua? Kati ya Benz E200 ya kuanzia 2009 Vs Subaru Forester XS ya kuanzia 2008.
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom