kuna kipindi nilikuwa nauza hii gari ilinipa shida kuuza watu wanakimbia consumption ya mafuta.Hii chuma ni moto wa kuotea mbali.
1. Powerful,
2. High ground clearance,
3. 7-seater,
4. Reliable.
Ukweli ni kwamba hilo gari ni baya mno. Mimi nadhani mleta mada atakuwa amedata.kuna kipindi nilikuwa nauza hii gari ilinipa shida kuuza watu wanakimbia consumption ya mafuta.
KivipiUkweli ni kwamba hilo gari ni baya mno. Mimi nadhani mleta mada atakuwa amedata.
kuna kipindi nilikuwa nauza hii gari ilinipa shida kuuza watu wanakimbia consumption ya mafuta.
Petrol mkuuYako ilikuwa ya diesel au Petrol??
Petrol mkuu