MITSUBISHI OUTLANDER

Bulichekah

Member
Jan 12, 2014
68
185
Wapendwa wanajamii Forum, nimekusanya kwa muda mrefu na nikafanikiwa kuwa na bajeti ya USD 5000 kwa ajili ya kununua gari. HII NI BILA KODI YA TRA. Gari ninayopenda na ambayo naiona nzuri kwa upande wangu ni MITSUBISHI OUTLANDER. Nimekuja kwenu ndugu zangu ili kuomba ushauri ili kufanikisha kusudi hili nikiwa na uelewa mzuri kuhusu manunuzi y2a gari pamoja na ubora wa gari linaloagizwa.

Naombeni mnisaidie chochote mnachofahamu kuhusu MITSUBISHI OUTLANDER. Nataka ya kuanzia mwaka 2005 kwenda juu.
Naombeni mnisaidie kufahamu yafuatayo:
1. MILEAGE NZURI ya gari ya kuagiza toka JAPAN kwa hiyo gharama ya USD 5000
2. Jinsi ya KUTAMBUA UBORA WA GARI
3. Jinsi ya kupata punguzo la bei
4. Uhakika wa mchakato mzima wa malipo maana Naogopa kupigwa na wajanja wa mtandaoni.
5. Gharama za ziada ni zipi gari ikishafika Bandarini
6. Mambo muhimu ya kuzingatia gari ikishapokelewa.
7. Je kati ya 2WD au 4WD ni ipi nzuri?

MITSUBISHI OUTLANDER NI GARI NILILOCHAGUA LAKINI KAMA KUNA AINA NYINGINE YA GARI NZURI, GARI YA JUU (SUV) NAOMBA PIA USHAURI

Asanteni sana
 
images (25).jpeg

Ndio huu mkoko?
 
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2026578/ Nimeona nianze na link ya uzi unaolezea gari tajwa. Kimsingi Mitsubishi Outlander ni moja ya SUV nzuri kwa maana ya muonekano comfortability and durability.

Sio muandishi mzuri itoshe kusema ni gari nzuri na kwa bajeti hiyo na mwaka uliotaja unaipata straight from Japan. Ninayo hiyo gari na niliagiza toka Japan kupitia Autocom Japan, na sijutii kuwa nayo

Maelezo mengine soma kwenye link ya uzi niliyoweka na pia huu uzi wako ungeweka jukwaa la magari linaitwa JF garage, vinginevyo nikutakie kila la kheri na karibu kwa maswali naamini wadau watakusaidia. Kila la kheri boss.
 
Unaweza kuona baadhi ya picha na kama vipi ingia kwenye website ya Autocom Japan. Nimeona umeuliza kuhusu milage inashauriwa uchukue inayoanzia 100000KM na kuendelea ila kwa ushauri wangu isizidi 160000KM.

Kuna mtu aliwahi kuandika humu kuwa Japan wana sheria inayotaka magari yote kufanyiwa service kubwa yanapofikisha km laki moja hivyo basi unaponunua gari yenye milage let's say laki na kitu unanunua gari ambayo imeshafanyiwa service kubwa.
Screenshot_2023-01-24-12-28-00-418_com.android.chrome.jpg
 
Wapendwa wanajamii Forum, nimekusanya kwa muda mrefu na nikafanikiwa kuwa na bajeti ya USD 5000 kwa ajili ya kununua gari. HII NI BILA KODI YA TRA. Gari ninayopenda na ambayo naiona nzuri kwa upande wangu ni MITSUBISHI OUTLANDER. Nimekuja kwenu ndugu zangu ili kuomba ushauri ili kufanikisha kusudi hili nikiwa na uelewa mzuri kuhusu manunuzi y2a gari pamoja na ubora wa gari linaloagizwa.

Naombeni mnisaidie chochote mnachofahamu kuhusu MITSUBISHI OUTLANDER. Nataka ya kuanzia mwaka 2005 kwenda juu.
Naombeni mnisaidie kufahamu yafuatayo:
1. MILEAGE NZURI ya gari ya kuagiza toka JAPAN kwa hiyo gharama ya USD 5000
2. Jinsi ya KUTAMBUA UBORA WA GARI
3. Jinsi ya kupata punguzo la bei
4. Uhakika wa mchakato mzima wa malipo maana Naogopa kupigwa na wajanja wa mtandaoni.
5. Gharama za ziada ni zipi gari ikishafika Bandarini
6. Mambo muhimu ya kuzingatia gari ikishapokelewa.
7. Je kati ya 2WD au 4WD ni ipi nzuri?

MITSUBISHI OUTLANDER NI GARI NILILOCHAGUA LAKINI KAMA KUNA AINA NYINGINE YA GARI NZURI, GARI YA JUU (SUV) NAOMBA PIA USHAURI

Asanteni sana
Milage nishakushauri.

Ubora:
Kuhusu ubora unaweza cheki kupitia inspection report hiyo report inakuepo kwenye taarifa za gari husika humo humo kwenye web. Kingine unaweza angalia hata picha za gari husika.

Punguzo:
Hii una-bargain na sales manager utakaekuwa unachat nae na inawezekana uwe mjanja mjanja.

Uhakika wa malipo:
Kwa uzoefu wangu mimi nililipia moja kwa moja kwenye account ya Autocom Japan na sikumpa mtu pesa. Ukishalipa una scan ile pay slip then unaituma, Hii ni njia sahihi asikwambie mtu eti lete hela nikakulipie kimbia haraka sana.

Kodi.
Kuna kodi kama mbili hivi za TRA hizo lazima ulipe. Gharama nyingine ni za watu wa TBS ambayo hua haibadiliki na ni tsh 350,000/=

Malipo mengine ni port charges, wharfage, shipping line, na gharama za agent hapa kwa agent unaongea naye bei zao mara nyingi ni 250K hadi 300K japo wako baadhi wanang'ang'ania zaidi ya hapo.

Daah nimeandika sana emu soma then kama kuna kitu hujaelewa uliza.
 
Asante sana Kiongozi. Nimepitia ushauri wako pmj na ule uzi na nimeelewa sana. Umenpanua uelewa saaaaana. Blessed papaa!!
 
Milage nishakushauri.

Ubora:
Kuhusu ubora unaweza cheki kupitia inspection report hiyo report inakuepo kwenye taarifa za gari husika humo humo kwenye web. Kingine unaweza angalia hata picha za gari husika.

Punguzo:
Hii una-bargain na sales manager utakaekuwa unachat nae na inawezekana uwe mjanja mjanja.

Uhakika wa malipo:
Kwa uzoefu wangu mimi nililipia moja kwa moja kwenye account ya Autocom Japan na sikumpa mtu pesa. Ukishalipa una scan ile pay slip then unaituma, Hii ni njia sahihi asikwambie mtu eti lete hela nikakulipie kimbia haraka sana.

Kodi.
Kuna kodi kama mbili hivi za TRA hizo lazima ulipe. Gharama nyingine ni za watu wa TBS ambayo hua haibadiliki na ni tsh 350,000/=

Malipo mengine ni port charges, wharfage, shipping line, na gharama za agent hapa kwa agent unaongea naye bei zao mara nyingi ni 250K hadi 300K japo wako baadhi wanang'ang'ania zaidi ya hapo.

Daah nimeandika sana emu soma then kama kuna kitu hujaelewa uliza.
Asante sana Kiongozi. Nimepitia ushauri wako pmj na ule uzi na nimeelewa sana. Umenpanua uelewa saaaaana. Blessed papaa!!
 
Unaweza kuona baadhi ya picha na kama vipi ingia kwenye website ya Autocom Japan. Nimeona umeuliza kuhusu milage inashauriwa uchukue inayoanzia 100000KM na kuendelea ila kwa ushauri wangu isizidi 160000KM.

Kuna mtu aliwahi kuandika humu kuwa Japan wana sheria inayotaka magari yote kufanyiwa service kubwa yanapofikisha km laki moja hivyo basi unaponunua gari yenye milage let's say laki na kitu unanunua gari ambayo imeshafanyiwa service kubwa.View attachment 2493795
Nimeona Autocom wana magari machache sana. Ni sellers gani wengine ambao ni cheap, wa uhakika lkn wenye magari mengi? ASANTE
 
Unaweza kuona baadhi ya picha na kama vipi ingia kwenye website ya Autocom Japan. Nimeona umeuliza kuhusu milage inashauriwa uchukue inayoanzia 100000KM na kuendelea ila kwa ushauri wangu isizidi 160000KM.

Kuna mtu aliwahi kuandika humu kuwa Japan wana sheria inayotaka magari yote kufanyiwa service kubwa yanapofikisha km laki moja hivyo basi unaponunua gari yenye milage let's say laki na kitu unanunua gari ambayo imeshafanyiwa service kubwa.View attachment 2493795
Gari iliyotembea chini ya MILEAGE 100,000 zinachangamoto yoyote? Maana nimeona zipo OUTLANDER za Mileage 30K za mwaka.2007
 
Hiyo yeupe iliyoandikwa $660 OFF ni $4983. Hizo nyingine bei imechangamka lakini nimeziona ziko vizuri. JE KATI YA HIZO TATU. NIKOMAE NA IPI NDUGU ZANGU?
Screenshot_20230124_215808_Chrome.jpg
Screenshot_20230124_215741_Chrome.jpg
Screenshot_20230124_215824_Chrome.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230124_215808_Chrome.jpg
    Screenshot_20230124_215808_Chrome.jpg
    52.1 KB · Views: 41
Vipo kuhusu spare za mitusibishi Tanzania zianoatikana?
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania Nimeona nianze na link ya uzi unaolezea gari tajwa. Kimsingi Mitsubishi Outlander ni moja ya SUV nzuri kwa maana ya muonekano comfortability and durability.

Back
Top Bottom