Naomba ushauri kuhusu 1995 MITSUBISHI Pajero Y-V26WG BM530139

themathematicalmodelling

Senior Member
Feb 2, 2018
174
316
Greetings wadau wangu,

Please Naomba ushauri sahihi kuhusu gari tajwa hapo juu, Mimi ninahitaji gari SUV ya diesel ambayo Ina reliability ya Hali ya juu, durability ya Hali ya juu, stability ya Hali ya juu, comfortability ya Hali ya juuu barabarani, haitumiii umeme kabisa yaani old school, hivyo nikaona Pajero ya mwaka 1995 unayotumia diesel ndio perfect fit zaidi kwa sababu naona Kuna fuso na canter nyingi saana hapa nyumbani Tanzania.

Please naomba valid consultancy and advisory kwenye hiii gari kama.inavyooonekana kwenye link hapo chini.

Pia naomba kufahamu kati ya Pajero hii ya mwaka 1995 na Prado ya mwaka 1997 na Hilux surf ya mwaka 1995 ipi ni the best in accordance with my requirements hapo juu.

Link hii hapa chini:
 
Mkuu nina hiyo Pajero.
Tofauti na hii uliyotuma picha;
1. Nimeweka injini ya 5L..toyota
2. Ni manual

Gari ni ngumu mno, 4x4 ni matata hakuna kukwama majira yote miezi 12.

Tatito la pajero injini yake halisi ikianzaga kusumbua hatuna mafundi wazuri ndio maana mimi niliagiza injini mpya ya 5L.

Mimi na mafundi hatuna ujamaa kwani hii gari ngumu hatari.
Tangu 2017 sijawahi kupata tatizo kubwa zaidi ya kubadili clutch plate tu na service ndogo ndogo.
 
Boss naomba number yako inbox kwa more information
 
Mkuu nina hiyo Pajero.
Tofauti na hii uliyotuma picha;
1. Nimeweka injini ya 5L..toyota
2. Ni manual

Gari ni ngumu mno, 4x4 ni matata hakuna kukwama majira yote miezi 12.

Tatito la pajero injini yake halisi ikianzaga kusumbua hatuna mafundi wazuri ndio maana mimi niliagiza injini mpya ya 5L.

Mimi na mafundi hatuna ujamaa kwani hii gari ngumu hatari.
Tangu 2017 sijawahi kupata tatizo kubwa zaidi ya kubadili clutch plate tu na service ndogo ndogo.
Sure, Mitsubishi pajero zile injini zake za petrol nadhani wanaita Gdi nasikia ukishaifungua tu wanadai performance yake shida... mi kuna jamaaa angu anayo alitia injini ya prado 1kz mzee ni balaaa...

Gari ni durable koz tushapita nalo sehemu ngumu sana...

Ila shida yake ni upatikanaji wa spares zake baadhi zikifa koz watumiaji wa hayo magari sio wengi... yaani kitu kidogo unatafuta hadi sometimes unaagiza dar au Nairobi kwa sisi tunaoishi mikoani...
 
Inategemea uko mkoa gani, mikoa ya kaskazini spare ni nyingi sana tu
 
Back
Top Bottom