Msaada kwa wenye ufahamu wa balance shaft 2AZ engine.

The Transporter

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
3,480
6,886
Wakuu kwema, Nina gari yangu RV4 (Miss Tanzania) hii gari ilivunja hii kitu na kupelekea taa ya oil kuwaka nimepeleka kwa fundi karibu wiki sasa tumepata spare part nyingine ila akitega timing yake na kwenye crankshaft ni kuwa inakuwa kama inalia knock flan hivi na isipolia knock basi gari itakuwa Ina vibration wakati wa kuendesha au hata ukiiwasha tu. Fundi ameshafunga na kufungua zaidi ya mara 10 lakini naona bado inamchapa. Msaada kwa anayejua tufanyeje ili gari itulie.🙏
 

Attachments

  • Right After Removal.jpg
    Right After Removal.jpg
    1.1 MB · Views: 7
  • 20230805_170358.jpg
    20230805_170358.jpg
    1.7 MB · Views: 4
Jaribu kwenda kwa mafundi wazoefu....
Au funga engine nyingine mkuu...
Pole sana na changamoto...
 
Back
Top Bottom