otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 100
- 135
Je, gari lako la Toyota ni lipi unalolipenda zaidi?
Completely his sound…! 😩😩🤣🤣Kwani ninayo hata mawili? Lipo hilo hilo moja. Nalazimika kulipenda..
Vanguard
Kwani ninayo hata mawili? Lipo hilo hilo moja. Nalazimika kulipenda..
Vanguard
2020 toyota supra GR
Dah ushuru tayari au bado hapo?inauzwa 130M😂
kazi ninayo
Kirikuuvitz clavia 😂😂
Upo serious bro? Mungu asije akajibu maombi tukaanza laumiana hapa.Kirikuu
bado, na kutegemea na trim level, 200M+ utafika...Dah ushuru tayari au bado hapo?
Hivi hili siwezi pigia biashara ya uber
Kwani hapa zinawekwa dream car ama zilizo mkononi tayari?
Dream bro. Huoni mshamba_hachekwi anataka chuma ya CIF 130mKwani hapa zinawekwa dream car ama zilizo mkononi tayari?
Utapandisha masistaduu? No manHivi hili siwezi pigia biadhara ya uber
Yule jamaa wa uber ameni inspaya sana😁
Achana nalo mkuu. Bora udake LC. Kidudu kidogo ivo kununua Mil 30 tu ni kosa.bado, na kutegemea na trim level, 200M+ utafika...
ya kishua
Nafuta comment yangu. Nilijua ambazo mtu ako nayo tayari.Dream bro. Huoni mshamba_hachekwi anataka chuma ya CIF 130m
Mambo tu hayajakaa. One dayNafuta comment yangu. Nilijua ambazo mtu ako nayo tayari.