kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,109
- 1,841
Leo kwenye harakati zangu za maisha nilipita maeneo ya KILUVYA, Kwa nilivyokua nadhani KILUVYA ipo wilaya ya ubungo, baada ya kubishana na jamaa yangu kua KILUVYA sio dar nikaenda kwenye ramani ndio nikalijua hilo.
Ama Kwa hakika Dar imezingukwa na Pwani pande zote.
Ama Kwa hakika Dar imezingukwa na Pwani pande zote.