Bwegemsela
Member
- Aug 30, 2019
- 59
- 82
Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
Maisha yamebadilika sana, kuna watu wanaishi kwa kuwaumiza wenzao. Watu kama hawa mikosi na mabalaa ikianza kuwaandana ndiyo wanajazana makanisani kutafuta unafuu. Ndiyo hapo sasa wachungaji wanapoponea na wao.Kupata totoz Kali kama hizi View attachment 1449422
Mkuu mbona kama nakuelewa hivii halafu sikuelewiii EB fafanua pliiizMaisha yamebadilika sana,kuna watu wanaishi kwa kuwaumiza wenzao. Watu kama hawa mikosi na mabalaa ikianza kuwaandana ndiyo wanajazana makanisani kutafuta unafuu. Ndiyo hapo sasa wachungaji wanapoponea na wao.
Aiseee,,Kukamata totoz Kali kama hizi View attachment 1449427
Kaka wapo mtaani tunaishi nao hata parking hakuna
Hapo sasa nimeanza kuelewa vijana wanaita urimboKukamata totoz Kali kama hizi View attachment 1449427
Kukamata totoz Kali kama hizi View attachment 1449427
Kumbuka kuna gari na usafiri. Usafiri upo mpaka wa laki 9. Jamaa yangu kamkopesha mtu pesa kashindwa kulipa kachukua usafiri kwa 1milion. Marekebisho yamemgharimu laki 4, nafikiri anampango wa kuliuza.Unakuta mtu anakatwa anabaki na laki4 unusu kisa mkopo wa ist, lakinne hiyo hiyo ajazie petrol, service, alipe kodi ya nyumba,alipe ada watoto, ajenge,avae,ale ndiyo maana wakati mwingine kwa nyie wenye vipato duni pandeni daladala tu msijifunge tai shingoni inayowaumiza.
Huyo dada inasemekana ndiyo kamuwekea mtego Mdude na akanasaMkuu mbona kama nakuelewa hivii halafu sikuelewiii EB fafanua pliiiz
Advice to young generation ukweli usafiri is no longer luxury it is necessity.Unakuta mtu anakatwa anabaki na laki4 unusu kisa mkopo wa ist, lakinne hiyo hiyo ajazie petrol, service, alipe kodi ya nyumba,alipe ada watoto, ajenge, avae, ale ndiyo maana wakati mwingine kwa nyie wenye vipato duni pandeni daladala tu msijifunge tai shingoni inayowaumiza.