Nini faida ya kumiliki gari?

Mkuu hebu tueleze japo kwaufupi maana wengi tunatamani lakini tunasita either kwa kutokuelewa faida na changamoto zake
 
Faida yake ni kununua mafuta,service,Spear parts n.k. kwa hiyo ujipange. Kila mwezi weka laki 2 pembeni ya emergency la sivyo kuna siku utaipaki au mnada.
 
Faida yake ni kununua mafuta,service,Spear parts n.k. kwa hiyo ujipange. Kila mwezi weka laki 2 pembeni ya emergency la sivyo kuna siku utaipaki au mnada.

Na hio laki mbili ni kwa hizi gari zetu dizaini za vitz,passo,ist,starlet etc
 
Hadi ununue ni dhahiri unajua namna utakavyo nufaika nalo,

Jibu simple tu mbona

kIongOzI Wa BaaDae
 
Ukiwa na gari unakuwa na uhakika wa siti, una uhakika wakifika sehemu yotote kwa muda husika, gari zipo za bei rahisi hata 4milion unapata ndinga unavimba barabarani, ukitaka mtoto ukitimba na ndinga kumpata ni rahisi kuliko kwenda na daladala sio kila siku ni kununua spea ndinga hairabiki kila siku.
 
Faida kuu ni kuigeuza gari kua guest house maana ni full kuichakatia papuchi mule mule garini,ila hakikisha unabadilisha ma cover kila mara maana pale kwny seat zinabaki michirizi ya utamu ya kila aina,wengine wanapigwa kazi wakiwa mwezini... mambo ni mengi.
 
Gari nalotumia limebakisha mwezi lifike mwaka na nimebadili tu brake pads na service ya kawaida mara mbili tu.

Na bado linaonekana jipya kuliko magari ya mwezi uliyopita. Kwa lugha nyepesi, matatizo mengi ya magari ni yakujitafutia tu.

1. Unaendesha kiberiti alafu unaleta league na magari.

2. Umenunua gari lenye ground clearance ndogo alafu unataka kumzidi akili aliyetengeneza kwa kuongeza makorokoro.

3. Unapuuzia service au unaweka parts zisizo sahihi. Napataga shida sana wakati wa service, nataka 5w30 muuzaji anataka kuniuzia 5w50. Fundi naye anataka kuweka dumu zima kwenye engine bila kuzingatia kiasi cha oil kilicho oneshwa kwenye dipstick.

Kwa kipindi kama hichi cha corona magari ya faida zaidi maana na kuhakikishia kufika sehemu husika ukiwa salama kuliko ukiwa kwenye basi, hupati changamoto za level seat na hamna foleni njiani.

Pia kwa kazi yangu nayofanya inanirahisishia kusambaza products zangu
 
Kumilki gari ni kweli ni kama usafiri

Lakini inatumika tena kwenye anasa.

Hata marekani kama una gari nzuri mademu utawakamata sana na sio africa tu.

Marekani kuna magari mengi lakin ukipark gar nzuri watu watakuomba kupiga picha na watakusifia una hari nzuri.

Hakuna watu wanapenda kumiliki magar mazuri kama marekani Wanapenda magar mazuri kwasababu ya anasa.

Kwaiyo hata wenzetu wanasobokea magar mazuri.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom