Faida na hasara ya Sunroof kwenye gari

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,808
15,717
Naomba faida na hasara zake kwenye gari, je kwa mazingira ya bongo ni vyema kuwa na gari lenye sunroof?

NB: Mtandaoni nimekutana pia na kitu kinaitwa moonroof.

images%20(91).jpg
 
Naomba faida na hasara zake kwenye gari, je kwa mazingira ya bongo ni vyema kuwa na gari lenye sunroof?

Nb: Mtandaoni nimekutana pia na kitu kinaitwa moonroofView attachment 2698204
Ina rahaa sana hiii kituu... faida yake kama ni mtu wa road trip .. pia unaweza park mahala huwashi A.C wala nini unalifungua juu hukooa linapokea upepo.. hasara zake vumbi kuingia ndani ya gari mazingira yetu mengi machafu.. faida zipo zaidi ya hizo lakinj
 
...na hasara zipo zaidi ya hizo lakini.
 
Back
Top Bottom