Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mzee wetu, Bilionea Isaac Mowo, ametutoka. Kila aliyeguswa na kifo chake, ninampa pole. R.I.P Mzee wetu Mowo
7 Reactions
38 Replies
1K Views
"""Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo...
11 Reactions
224 Replies
10K Views
Mwanafunzi Wa Chuo kikuu Cha SAUT Campus ya Mwanza Amefariki Dunia Alipokuwa Ameenda kuogolea Kando Kando Kando ya Ziwa Victoria Maeneo ya Sweya Beach. Taarifa hiyo ilitolewa Na Wenzake Ambao...
7 Reactions
63 Replies
2K Views
Msanii mkongwe na miongoni mwa washairi wakubwa nchini na Afrika Mashariki, Amir Sudi Andanenga amefariki dunia usiku wa Mei Mosi, 2024. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Chama cha Usanifu wa...
3 Reactions
24 Replies
898 Views
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
28 Reactions
323 Replies
27K Views
Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
52 Reactions
787 Replies
59K Views
Hassan Wakasuvi enzi za uhai wake Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Hassan...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Mwalimu wetu/Rafiki yetu Mr. Mtegetwa Mng'ala amefariki Siku ya Leo katika Hospital ya Mloganzila, alipokuwa akipatiwa Matibabu. Kwa Sasa Msiba upo Nyumbani kwake Ukonga- Bomba Mbili Ila...
18 Reactions
81 Replies
5K Views
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam. Taarifa za...
43 Reactions
880 Replies
115K Views
Habari nilizozipata ni kuwa aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu sa Serikali CAG Prof Assad amefiwa na mkewe ghafla usiku wa leo Msiba upo nyumbani kwake Tegeta na maziko ni leo saa 10...
16 Reactions
99 Replies
7K Views
Watu tisa(9) wafariki papohapo na wengine 19 kujeruhiwa vibaya baadhi yao baada ya basi kampuni ya Lujiga walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es salaam kwenda Mwanza kugonga Loli kwa nyuma...
7 Reactions
148 Replies
4K Views
  • Redirect
6 Reactions
Replies
Views
Nimempoteza baba yangu mzazi Sijui hata nisemeje Baba ndo alikuwa kila kitu kwangu[emoji22] Roho inaniuma baba kafa kanipambania mwanae nisome leo baba kafa ikiwa hata hajala mkono wangu nikiwa...
26 Reactions
102 Replies
2K Views
Nimepokea taarifa, mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo amefariki Dunia. Sabodo ametokea mkoani Lindi na alijenga shule maarufu kule pia alifadhili chama cha upinzani cha Chadema ======...
18 Reactions
109 Replies
8K Views
Mwandishi mkongwe wa habari nchini, aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Citizen linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Arusha, Zephania Ubwani amefariki dunia...
0 Reactions
5 Replies
414 Views
Mwaka 2016 niliingia ofisini kwake pale CoICT nikitaka aniandikie reference letter nilipokuwa naenda kusoma University of Manchester. Sasa nikakuta amefungua JamiiForums, anatoa michango yake...
16 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019. Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba...
62 Reactions
756 Replies
193K Views
Mwenyekiti wa CCM TAWI la Uninio Kata ya Kunduchi mh Kambi amefariki jana na kuzikwa leo kwenye Mji Mkuu wa Ununio. Mazishi yameongizwa na Shehe wa mkoa wa DSM alhad Walid. Chama kimeongozwa na...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦 Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati....... Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike...... Mike Tanzania...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Back
Top Bottom