Habari za hivi punde Soko la kurume jijini Dar linaungua moto asubuhi hii! Vikosi vya zima moto vimeshafika kudhibiti moto huo! Upande wa wafanyabiashara wa kuuza mabegi vibanda vyao karibia vyote...
Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate...
Moto mwingine umewaka hii leo Julai 18, 2020 na kuteketeza Darasa Moja la Shule ya Sekondari ya Mivumoni Islamic, katika eneo la Msikiti wa Mtambani Kinondoni Dar es Salaam.
Kamanda wa Polisi...
Karibuni wiki mbili sasa mji wa Tabora umekubwa na janga la kuteka watoto na kuwabaka na kuwaua na kuwakata baadhi ya viungo ukweli inasikitisha
Kuna taarifa zinasema mji wa Tabora una taharuki...
Kwako Mhe. Tundu Antipass Lissu_
_S.L.P wodini, Ubelgiji_
Kwanza nianze kwa kukuombea uendelee kupata afya njema huko wodini unapoendelea na matibabu na nikupongeze kwa kutumia muda wako kuandika...
Katika tukio hilo lililotokea jana mchana, eneo la Kinyanambo C karibu na mji wa Mafinga, shuhuda wa tukio hilo alisema dereva wa gari hilo alikuwa akiendesha zaidi ya spidi 50 katika eneo ambalo...
BARUA YA WAZI KWA MHE. MBUNGE WA CHADEMA TUNDU ANTIPASS LISSU
_Kwako Mhe. Tundu Antipass Lissu_
_S.L.P wodini, Ubelgiji_
Kwanza nianze kwa kukuombea uendelee kupata afya njema huko wodini...
Kwako Mhe. Tundu Antipass Lissu_
_S.L.P wodini, Ubelgiji_
Kwanza nianze kwa kukuombea uendelee kupata afya njema huko wodini unapoendelea na matibabu na nikupongeze kwa kutumia muda wako kuandika...
Kwako Mhe. Tundu Antipass Lissu_
_S.L.P wodini, Ubelgiji_
Kwanza nianze kwa kukuombea uendelee kupata afya njema huko wodini unapoendelea na matibabu na nikupongeze kwa kutumia muda wako kuandika...
Makampuni ya minada ni biashara kama zilivyo biashara nyingine..... Ili iweze kuitwa biashara ni lazima kuwe na pande mbili muuzaji na mnunuzi kisha ni lazima kuwe na faida! Hasara ni bahati...
Mafinga. Polisi wanadaiwa kumpiga kwa risasi na kumuua, mtu aliyekuwa kwenye gari aina ya canter, baada ya dereva wa gari hilo kukaidi amri ya kusimama.
Katika tukio hilo lililotokea jana mchana...
Naitwa MISHALY SUMARY naishi Kibaha Maili moja, nilikuwa nikifanya kazi katika Hospitali ya Burere kama Muuguzi kuanzia mwaka 2008 mpaka tarehe 26/12/2011 siku ambayo sitaweza kuisahau katika...
Nipo naangalia tbs live sasa hivi aisee prof.paramagamba anatoa nondo za hatari ...jinsi inchi ilipotoka nailipo, pia jinsi ilivyo saidia nnchi nyingine kupata uhuru ..
Sent using Jamii Forums...
Leo ameonekana RC wa Dsm Mhe. Paul Makonda akiwa pamoja na Mkuu wa Majeshi-CDF. Nauliza je CDF alimpigia salute RC? Mliokuwepo mtuambie walisalimiaje maana CDF anapotakiwa kuwepo inabidi awepo...
MNADA wa makontena 20 ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, umefanyika leo Jumamosi, Septemba 1, 2018 katika Bandari ya Dar, lakini imeshindikana kupatikana mnunuzi, hivyo mnada huo...
CCM YASITISHA KUTUMIA WASANII WA BONGOFLEVA KWENYA MIKUTANIO YAKE: “Kuanzia sasa, CCM hatatumia wasanii wa Bongofleva kwenye mikutano…tutatumia bendi ya TOT, na tukienda mikoani tutawakuta wasanii...
Hizo taasisi nyeti hapo juu au yoyote Tanzania inayoheshimika mwalikeni Julius Malema aje Tanzania atoe mihadhara. Jamaa ana akili ana nyota na juu ya yote amekipa promo kiswahili huyu ni mtu...
Iwapo mkulu akimtoa huyu (boya,mshenzi na jambazi) anayetawala mzizima atakuwa amejitengenezea popularity kubwa sana...na kwa mara nyingine Watanzania watarudisha imani zaidi kwa Mkulu.
Mission...
Nyuma ya pazia.Mh Paul Makonda alianza kutumika muda mrefu sana,kwani licha ya kuwa mwanachama mtiifu wa chama cha mapinduzi (ccm) lakini ni miongoni mwa watu walitoka katika kada ya maisha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.