Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

A
Anonymous
Huduma ya Majisafi Manispaa ya Morogoro ni kitendawili kilichoshindikana kuteguliwa, mara nyingi maji yanatoka yakiwa machafu Huduma ya Majisafi katika Manispaa ya Morogoro chini ya Mamlaka ya...
0 Reactions
0 Replies
20 Views
A
Anonymous
Baa ya Lavipark – iliyopo Tegeta Jijiji Dar es Salaam chemba zake zinatiririsha maji machafu barabarani zaidi ya miezi mitano sasa lakini hatuoni hatua zikichukuliwa. Tunaomba mamlaka zitusaidie...
0 Reactions
0 Replies
21 Views
Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda...
2 Reactions
11 Replies
411 Views
A
Nimevurugwa sana. IKO HIVI. Hapa napoishi tulikuwa tukitumia mita ya zamani, sasa TANESCO Tanzania walikuja na kuibadilisha na kuweka mpya. Ile ya zamani ilikuwa na units zaidi ya 80, na units...
0 Reactions
3 Replies
78 Views
A
Kumekuwa na kero ya watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya saa kumi na mbili kasoro asubuhi siku za mapumzko wakati tumelala. Hii...
0 Reactions
1 Replies
64 Views
A
Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la uuzwaji wa wazi wa madawa ya kulevya aina ya Heroin katika stendi kuu ya mabasi ya Arusha. Vijana wanavuta unga waziwazi bila ya kificho, na wanaongezeka...
0 Reactions
5 Replies
139 Views
A
Anonymous
Hapa Mbezi Luis, Karibu na soko ambalo linapakana na Shule ya msingi Mbezi Kuna bar na gest ipo karibu na soko kwa nyuma ya soko, bar hii inaitwa Lubumbashi na maeneo yake ya jirani kunafanyika...
6 Reactions
45 Replies
2K Views
Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata...
0 Reactions
1 Replies
27 Views
Mnamo tarehe 29 Aprili nilifika katika zahanati hiyo iliyopo Halmashauri ya Mbinga Kata ya Lusonga nikashangaa kuona wanawake wajawazito wanatozwa Tsh 500 wakidai wahudumu wa pale wakidai kwa...
1 Reactions
7 Replies
164 Views
Habari wanajamvi, Mimi nikiwa km mdau wa kupiga vyombo ningependa niwawakilishe wala masanga wenzangu tunaopenda kuhudhuria kwenye hizi Baa na Lounge kupata moja mbili Bariiiiiiiidi. Naona...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JamiiForums huko kwenu Hali ya umeme ikoje baada ya mvua? Huku kwetu tuna siku 3 mfululizo hatuna umeme maeneo ya vikindu kilongoni tumeshapiga simu weee jamaa wamekausha. Wengi...
0 Reactions
11 Replies
241 Views
A
Anonymous
Wakazi wa Mbeya Mjini tunapata shida kubwa kipindi hiki cha mvua, barabara za mitaa zimeharibika sana, miundombinu imekua ni changamoto kubwa, barabara hazipitiki. Maji yanapita barabarani, yaani...
3 Reactions
10 Replies
249 Views
Yaani TANESCO KIBITI mnatia aibu sana. Kila siku umeme hauwaki mfululizo zaidi ya saa moja au mawili. Hii haijalishi ni usiku au mchana. Yaani ni mwendo wa washa zima. Mjitafakari sana. Na...
1 Reactions
14 Replies
242 Views
A
Anonymous
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki...
8 Reactions
66 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu, Nipo zangu natoka Mwanza kuelekea Sengerema nmepanda hii MV Mwanza kwakweli usafi wa vyoo sio mzuri hata kidogo na cha ajabu hivi vyoo naona vipo pembeni na canteen yao...
2 Reactions
11 Replies
252 Views
A
Habari, Wafanyakazi wa Chama cha Wafanyakazi wa Majumbani, hifadhi, hotelini, huduma za jamii na ushauri (CHODAWU) hawajalipwa mshahara tangu October 2021. Wafanyakazi wana wakati mgumu sana wa...
1 Reactions
8 Replies
178 Views
A
Anonymous
TRA ya Tabata Segerea ni changamoto, huduma zao ni duni sana, pia hawana lugha nzuri katika kazi zao, ukiwaambia kuhusu hilo wanakuwa wakali kuliko pilipili. Ujumbe huu uwafikie viongozi wao wa...
0 Reactions
1 Replies
70 Views
A
Anonymous
Mvua zinazoendelea kunyesha zimehathiri miundombinu.. Hili ni eneo la mtongani kona kunduchi, mabomba ya maji safi yamepasuka, kipande cha barabara kinazidi kumeguka na ardhi inayoingia kwenye...
1 Reactions
5 Replies
210 Views
A
Anonymous (7cb5)
Mwalimu MWALUKASA wa Shule ya Sekondari JM KIKWETE, Halmshauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe anayefanyabiashara ya kuuza karanga shuleni analalamikiwa na Wanafunzi kuwalazimisha kununua karanga na...
11 Reactions
66 Replies
2K Views
Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA. Eneo hili lipo...
3 Reactions
10 Replies
656 Views
Back
Top Bottom