KERO Huduma za TRA Tabata ni changamoto, hazina ubora

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
TRA ya Tabata Segerea ni changamoto, huduma zao ni duni sana, pia hawana lugha nzuri katika kazi zao, ukiwaambia kuhusu hilo wanakuwa wakali kuliko pilipili.

Ujumbe huu uwafikie viongozi wao wa juu, baadhi ya tunalazimika kutafuta huduma sehemu nyingine ili tu tukwepe kinachoendelea kwenye ofisi hiyo.
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania tunasik
TRA ya Tabata Segerea ni changamoto, huduma zao ni duni sana, pia hawana lugha nzuri katika kazi zao, ukiwaambia kuhusu hilo wanakuwa wakali kuliko pilipili.

Ujumbe huu uwafikie viongozi wao wa juu, baadhi ya tunalazimika kutafuta huduma sehemu nyingine ili tu tukwepe kinachoendelea kwenye ofisi hiyo.
Kwanza kabisa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kukupa pole kwa changamoto uliyokutana nayo. Mamlaka inalichukulia jambo hili kwa uzito wa hali ya juu.Tunafuatilia jambo hili Kwa karibu ili kuzidi kuboresha Huduma zetu.TRA inafanya kazi kwa kuzingatia weledi, uadilifu na uwajibikaji katika kuwahudumia walipakodi wetu na ukusanyaji wa mapato.Tunawasihi wadau wetu kutosita kutujulisha pale wanapoona Huduma haziridhishi ili kuchukua hatua mara moja kwa wahusika.
 
Back
Top Bottom