Wanabodi:
Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake
Muhimu: Uzi huu unawafaa...
Tumedanganywa sana, tumebagazwa sana, tumelaliwa sana ,tumechezewa sana kwenye hili swala la corona
Nchi ambazo wamechanjwa wengi ndiyo wanaambukizwa Omicron kwa kasi. Utafiti haufanyiki...
Nasikia Africa yote yenye nchi karibu 70 ins vifo visivyofika 4,000, ambayo USA walikuwa wanavipata kwa siku. Sasa wapi akina Melinda gates na Mange Kimambi? Mnatupa siku ngapi za nyongeza tuanze...
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Marekani (CDC) kinashauri kupata chanjo bila kujali ikiwa tayari ulikuwa na COVID-19 na ukapona. Ushahidi zaidi unaendelea kuibuka kuwa watu wanapata kinga bora kwa...
Kabla ya kuchanja rasmi leo Chanjo yangu ya UVIKO-19 aina ya J&J nilijaribu kuwataarifu watu kadhaa, ila cha kushangaza wote waliishia kunitishia huku wengine waitaka ninunue kile cheti cha...
Hivi kweli hapa askari wangu hapa mnajiaminia nini ndugu zangu? Au mnafikiri mdudu naye mtampiga risasi?
Kuna wakati tunatakiwa kutumia maarifa ikiwa tunayataka maisha marefu na tunatambua kua...
Kutoka kukataa chanjo Hadi kuwa Kinara, shujaa ni SSH aliyeongoza na kuzindua zoezi Hilo.
=====
Until early 2021, Tanzania was a Covid-19 denier, but two years later, the World Health...
Sijui mmegundua? Akienda Ulaya ndio anajitwisha furushi la barakoa mdomoni.
Akirudi hatumuoni nalo isipokuwa tu kwenye hafla maalum ambapo kuna mabeberu.
Bonge la barakoa! Kama kavaa bomu...
Wataalam tusaidieni.
Hivi ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa chanjo ya Covid wakati wewe hujachanja je, damu hiyo mpya haiwezi kuhamia kwenye damu yako na chanjo ile kwamba huna haja ya kuchanja...
Wakuu wakati wa Corona sikuamini uwepo wa hiyo kitu wala habari zake nilikuwa sisikilizi na Barakoa nilikuwa sivai.
Naamini hata Hayati JPM alikuwa na msimamo kama wangu.
Ulikuwa ni ugonjwa...
Hadi leo, 🇹🇿 imetoa chanjo kwa zaidi ya 95% ya watu wanaostahili kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19. 🙌
Mafanikio haya ktk afya ya umma yamewezeshwa na wahudumu wa afya walio mstari wa mbele...
Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa...
Kiukweli uviko 19 au corona ilitikisa dunia na kufikia kupoteza watu wengi.
Kipindi cha mwendazake kutuambia mungu kaondoa uviko 19 baada ya kuomba mimi kwangu nililipa asilimia 2%.
Uviko 19...
“Hatuwezi kumaliza janga isipokuwa tukifunga pengo hili.” Ni kauli ya Mkurugenzi Mkuu wa shirika la afya la Umoja wa Mataifa, Dkt Tedros Ghebreyesus katika mkutano na waandishi wa habari hii leo...
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetangaza kampeni ya kutoa elimu kwa waandishi ya namna ya kuhamasisha jamii kutoa maoni yao kupinga ndoa za utotoni.
Akizungumza katika hafla ya kutoa Tuzo...
Imekuwa kawaida kwa mawimbi ya hii ngwengwe kukatiza duniani mwishoni mwa mwaka kuelekea mwanzoni mwa miaka mipya.
Rejea historia, mengi yanajiongelea menyewe.
Tayari nchi kadhaa zikiwamo India...
Ripoti iliyotolewa wiki hii na kituo cha Yuyuantantian, kinachomilikiwa na shirika kuu la Habari la China (CMG) inaonyesha kuwa Mwitikio wa China wa miaka mitatu wa COVID-19 ni endelevu, wa...
Wanabodi,
Hii ni C&P, kwa msaada wa Classmate wangu ambaye ni dakitari, kanimegea toka group lao la madakitari.
Karibu.
Paskali
TUCHANJE MVUA AU TUOTE JUA?
Imeandikwa na Dr. Ally Mahadhy (PhD)...
Utafiti mpya uliofanywa na Kituo Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) unaeleza kuwa chanjo ya Covid-19 bado ina umuhimu mkubwa katika kudhibiti homa kali na vifo vinavyotokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.