#COVID19 Msaada jinsi ya kudownload covid-19 certificate

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,650
3,169
Habari wakuu..

Naomba msaada wa link ya kudownload certificate ya chanjo ya Covid-19
 
Mimi nlifungua email kwenye pc afu nikatumia app ya snipping tool kwa ajili ya screenshot.

You can do the same.
 
Back
Top Bottom