matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,699
- 15,650
Wakuu wakati wa Corona sikuamini uwepo wa hiyo kitu wala habari zake nilikuwa sisikilizi na Barakoa nilikuwa sivai.
Naamini hata Hayati JPM alikuwa na msimamo kama wangu.
Ulikuwa ni ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya taarifa ya habari na sio vimelea.
Ushahidi: Habari za kimataifa na kidunia zilipohamia kwenye SMO ya Russia vijidudu hivyo vya kufikirika vilipotelea angani. Na kila juhudi ya kuvirudisha imekwama maana wakubwa wako bize kidogo na Ukraine.
Ushauri:
Jifunze kuwa na msimamo, Jifunze kufuatilia mambo kwa kina usiwe mshabiki wa habari ambazo huna hujui zimepikiwa chungu kipi.
Ni hayo tu.