#COVID19 Mbona siku hizi havai barakoa?

Dokta Uchwara

JF-Expert Member
Apr 29, 2022
1,370
3,147
Sijui mmegundua? Akienda Ulaya ndio anajitwisha furushi la barakoa mdomoni.

Akirudi hatumuoni nalo isipokuwa tu kwenye hafla maalum ambapo kuna mabeberu.

Bonge la barakoa! Kama kavaa bomu usoni.

Akipanda ndege analivua. Akiwasili anajitwika tena zigo.

Wengine huku tushasahau hata barakoa ni kitu gani! Tunaonaga tu kwenye TV.

Barakoa la mchongo. Barakoa la kuombea mkopo.

Tunadhalilika sana. Sijui lini tutakuwa na akili timamu.

Hivi wanatuonaje kwa mfano?
 
Ukoloni mamboleo
 
Yule maza ni muigizaji
 
Bila barakoa hupati mkopo 😂😂😂

Ile ni mbinu ya kupiga vijihela, keshavipata sasa ajizibe pumzi ya nini.

Hujawahi ona demu anaejifanya mlokole kufukuzia ndoa, akiolewa tu anaenda na kimini ukweni.

Wanawake hawaachi asili yao😂😂. Ogopa kiumbe anaenyoa nyusi halafu anachora mfano wa nyusi kwa wanja.
 
Unamnanga mama yetu? kuna jamaa mmoja tulisoma naye alikuwa mganda aliniambiaga ukifika mahali watu wanakula chura na wewe kula tu usife na njaa.
Mama anavyofanya anacheza na psychology za watu.Kumbuka kuna kipindi mwalimu Nyerere alikuwa anavaa baraghasia ya kislam yote ilikuwa upande wa visiwani wamuone ni mwenzao na ndio mwaka 1964 tukaungana.
Uliyeandika hapa mama anakuzidi sana kwa akili.
Ila nisamehe si maanishi wewe huna akili unazo ila kwa hili mama amekuzidi maana umeshindwa kujua ana maana gani.
 
Sijui mmegundua? Akienda Ulaya ndio anajitwisha furushi la barakoa mdomoni.

Akirudi hatumuoni nalo isipokuwa tu kwenye hafla maalum ambapo kuna mabeberu.

Bonge la barakoa! Kama kavaa bomu usoni.

Akipanda ndege analivua. Akiwasili anajitwika tena zigo.

Wengine huku tushasahau hata barakoa ni kitu gani! Tunaonaga tu kwenye TV.

Barakoa la mchongo. Barakoa la kuombea mkopo.

Tunadhalilika sana. Sijui lini tutakuwa na akili timamu.

Hivi wanatuonaje kwa mfano?
Unateseka ukiwa wapi
 
Back
Top Bottom