Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Jamani hapa naomba ushauri huko kijijini kwetu kuna vifo vya ghafla huyu ni mtu kama wa sita, mtu anabanwa tu anaondoka Sasa jana kazidiwa mzee wa jirani kabanwa tu na alikuwa haumwi alishindwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Waandishi wa Habari mkoani Mwanza wakiwa kwenye mkutano wa tathimini ya chanjo ya UVIKO 19 na Uhuru wa Kupata Taarifa ulioandaliwa na Taasisi ya Internews na kuratibiwa na MPC. Waandishi...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Mlochomwa chanjo mwaonaje hali?Hii hali ya sasa vp? Maana naona hili wimbi na nyie mmo tena kwa wingi kweli kweli Vp mlochomwa hali ipoje kwa wimbi la sasa?nasema haya maana walochomwa naona na...
12 Reactions
96 Replies
6K Views
Niseme tu mimi binafsi sina tatizo lolote na chanjo. Yaani kama ingekua sio huu uoga uliopitiliza wa sindano, mimi ningekua kati ya watu wa mwanzo kabisa kuchanjwa! Lakini mpaka leo bado...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa na wasiwasi kuhusu kuchanja chanjo ya covid 19. Hofu yangu kubwa kuliko zote ilikuwa kuganda kwa damu yangu baada ya kuchanja. Lakini Mimi ni miongoni mwa watu...
50 Reactions
291 Replies
22K Views
Ni kama watu wanajaribu kujisahaulisha Ugonjwa wa Corona. Jamani Covid 19 ipo na inaua. Tuchomeni Kinga na tusisahau kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko. Serikali kwa upendo iliamua kusambaza...
3 Reactions
10 Replies
552 Views
Kama wewe ni mgeni basi ni vema ukalihifadhi onyo hili lililotolewa na uongozi wa kituo hicho ---- Uongozi wa kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Msamvu mkoani Morogoro umeanza kutoza faini ya...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la afya duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kwamba corona inaweza kuisha mwishoni mwa mwaka huu iwapo nchi zote duniania zitachukua hatua kabambe za...
2 Reactions
11 Replies
914 Views
Takwimu za Wizara ya Afya zimeonesha kuwa watu 449,416 sawa na 26% ya watu milioni 1.71 waliotakiwa kurudi Julai 31,2022 kwa ajili ya dozi ya Pfizer hawakurudi, huku wengine 416,869 sawa na 24%...
0 Reactions
8 Replies
680 Views
Mikoa wa Ruvuma ndio unaoongoza katika kuitikia wito wa Chanjo ya Uviko Wananchi zaidi ya 700,000 (Laki saba) wameshachanjwa Source ITV habari
0 Reactions
5 Replies
331 Views
Wanasayansi huko nchini Marekani wamesema chanjo ya Covid 19 inaharibu mzunguko wa hedhi kwa wanawake kwa zaidi ya 55% ya wanawake wote waliochanjwa. Utafiti huo umefanywa na University of...
1 Reactions
3 Replies
620 Views
Hivi chanjo ya corona hapa nchini Tanzania kwa sasa ni lazima au bado ni hiari?
1 Reactions
5 Replies
569 Views
Takriban Watoto Milioni 25 duniani walishindwa kupatiwa kwa wakati Chanjo muhimu zinazowalinda dhidi ya Magonjwa mbalimbali mwaka 2021, ikiwa ni ongezeko la Watoto Milioni 2 ikilinganishwa na...
1 Reactions
1 Replies
599 Views
Julai 11 ilipitishwa na Umoja wa Afrika (AU) kuwa Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Barani humo. Kwa mwaka 2022, Maadhimisho yanafanyika Zanzibar leo Julai 12 yakiwa na Kaulimbiu "Mikakati na...
1 Reactions
3 Replies
937 Views
Kwema ndugu zangu. Naomba kutoa yangu ya moyoni naona kama Serikali inatuchanganya kwenye masuala ya chanjo ya Corona maaana kwenye vyombo vya habari wanasema n hiari lakini huku Kiteto mkoani...
0 Reactions
3 Replies
487 Views
"We need more money to plan for second pandemic, there's gonna be another pandemic" - POTUS
0 Reactions
7 Replies
722 Views
Benki ya dunia kupitia moja ya blogi yao wanakiri kabisa kwamba fursa hii imerahisishwa na uwepo wa biashara ya kimataifa. Uwepo wa soko huria pamoja na mambo mengineyo yanayorahisisha biashara...
0 Reactions
3 Replies
499 Views
Wapendwa, hongereni kwa kazi. Awamu hii ilijinasibu kuwa itakuwa ikitoa taarifa za COVID-19 kila baada ya muda fulani, yaani idadi ya walioambukizwa, mahtuti nk. Lakini mpaka sasa hatujui...
0 Reactions
9 Replies
565 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)imesema katika kipindi cha Ugonjwa wa Covid-19 baadhi ya Watanzania walitumia mwanya huo kujifanya Wagonjwa na kwenda kutibiwa nchini...
1 Reactions
9 Replies
24K Views
Kulingana na data za worldmeter, nimeshindwa kupata ukubwa wa corona virus kiasi cha kwamba dunia nzima imetishika sana na wanasiasa kulibeba kama ajenda yao ya kisiasa, japo inaua lakini je...
1 Reactions
3 Replies
404 Views
Back
Top Bottom