#COVID19 Ubalozi wa Marekani: 95% ya watanzania wamepata chanjo ya COVID-19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,037
9,926
Hadi leo, 🇹🇿 imetoa chanjo kwa zaidi ya 95% ya watu wanaostahili kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19. 🙌

Mafanikio haya ktk afya ya umma yamewezeshwa na wahudumu wa afya walio mstari wa mbele.

Tutawaangazia mashujaa wetu kupitia video zilizotengenezwa na rafiki zetu wa Tanzania.
Screenshot_20230303-174616.jpg

 
Wamepigwa na kitu kizito. Vyeti tunavyo, na chanjo hatujawahi kuzisogelea!

Sisi ndio watanzania bana!
 
Back
Top Bottom