#COVID19 Dawa ya Corona ni kuachana nayo

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,844
15,364
Tumedanganywa sana, tumebagazwa sana, tumelaliwa sana ,tumechezewa sana kwenye hili swala la corona

Nchi ambazo wamechanjwa wengi ndiyo wanaambukizwa Omicron kwa kasi. Utafiti haufanyiki tunachoambiwa ni kuchanja tu.

Corona ina miaka 2 sasa hapa duniani lakini Doctors wameshindwa kuja na majibu ,labda tuwaongezee miaka 5 mbele.

Kwa sasa baki njia kuu malimao na ndimu zinatosha
 
Kwamba ni Corona ya kuachana nayo?

"Vipi kuhusu minyoo, ukimwi, TB, kaswende, pangusa, malaria, kifaduro, nk?"
 
Kwan malimao na ndimu zimefanyiwa utafiti na nani? We kama unaona chanjo hazijafanyiwa utafiti basi achana nazo tu ila usifosi watu wafate ushauri wako wakati wewe mwenyewe hakuna unachoelewa.
 
Kwan malimao na ndimu zimefanyiwa utafiti na nani? We kama unaona chanjo hazijafanyiwa utafiti basi achana nazo tu ila usifosi watu wafate ushauri wako wakati wewe mwenyewe hakuna unachoelewa.

Tuko kwenye ku test mitambo. Shujaa hata kutajwa tajwa hamna? Haituingii akilini.
 
Wale walioenda kutobolewa zile tundu saa hii sijui wanajisikiaje? Maaanaa waliamini till now wangekuwa washagawana urithi! Imbecile
 
Back
Top Bottom