Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019. Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba...
62 Reactions
756 Replies
194K Views
Mwenyekiti wa CCM TAWI la Uninio Kata ya Kunduchi mh Kambi amefariki jana na kuzikwa leo kwenye Mji Mkuu wa Ununio. Mazishi yameongizwa na Shehe wa mkoa wa DSM alhad Walid. Chama kimeongozwa na...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦 Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati....... Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike...... Mike Tanzania...
8 Reactions
71 Replies
3K Views
Gwiji wa muziki wa dansi na Kiongozi wa bendi ya Msondo Ngoma, Saidi Mabera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 29, baada ya kuugua kwa zaidi ya miezi miwili. Mazishi yatafanyika...
15 Reactions
114 Replies
21K Views
Mama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019. Amefariki akiwa Hospitali ya Amana alikokuwa akip Soma pia: - Mama Mzazi wa Erick...
13 Reactions
371 Replies
34K Views
Mwanamke wa Uingereza aitwaye Demi Agoglia (26) amefariki dunia siku chache baada ya kufanya upasuaji wa kuongeza shepu (BBL) nchini Uturuki, Magazeti ya Uingereza yameripoti. Demi ambaye alikua...
16 Reactions
182 Replies
26K Views
Wakuu, Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kufariki dunia kwa ndugu yetu na mwanachama wa JamiiForums, Sanctus Mtsimbe, mchana wa tarehe 13 Machi 2024. Sanctus alikuwa Rais wa kwanza wa...
87 Reactions
153 Replies
11K Views
Wakuu nina huzuni sana samaki amesababisha ajali kwa baharia wangu tulikuwa tunarudi Zanzibar kwa kutumia jahazi tukatosa Mshipi kwa ajili ya kutafuta kitoeleo tulipokuwa Karibu na mafia samaki...
13 Reactions
77 Replies
5K Views
MwanaJF mwenzetu Rubawa amefariki jana nchini Marekani! Marehemu alikuwa akiishi Dar na Cape Town, Afrika Kusini kabla ya kwenda Marekani miezi michache iliyopita. Rest easy bro, Hamidu Rubawa!
51 Reactions
228 Replies
18K Views
Waungwana Yule kijana aitwaye Ibrahim Said almaarufu Sultan mkazi wa Mabibo Loyola amefariki dunia asubuhi hii Marehemu alijipatia umaarufu kutokana na kitendo chake cha kumchapa kibao mzee...
23 Reactions
289 Replies
92K Views
MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami...
30 Reactions
337 Replies
28K Views
Mwana harakati mahiri wa kutetea haki za watu weusi wajitambue na warudi kwenye asili yao Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya amefariki dunia huko Sengerema mkoani Geita 🇸🇪. Kissendi aliugua muda...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Brigadier General(Rtd) Martin Mwankanye amefariki muda mfupi uliopita pale Lugalo General Military Hospital. Si watu wengi wanamfahamu marehemu, lakini wale tupo karibu na Jeshi tunajua kuwa...
17 Reactions
110 Replies
18K Views
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Nkunda ametangaza Kifo cha Luteni Jenerali Mstaafu Balozi Martin Mwakalindile kilichoteka Januari 28, 2024 nchini India alikokuwa akitibiwa.
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, John Dotto na Mwanahabari Raphael Waryana mwenye fulana ya blue. Wamepoteza Uhai. Waryana aliyekuwa mtumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni na kiongozi mwandamizi wa timu...
5 Reactions
114 Replies
14K Views
Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi amefiwa na Kaka yake Hassan Ali Hassan Mwinyi Leo Mazishi yatafanyika leo Alasiri Mangapwani Zanzibar ambapo watu pamoja na Mwili wa Marehemu wataondoka...
11 Reactions
99 Replies
12K Views
Ni siku yako ya kwanza leo umelala katika udongo wa ardhi toka jana zoezi la kukuhifadhi katika makaburi ya Ununio likamilike. Janken umekwenda kaka tuna imani Mungu amekupokea kwa furaha baada ya...
0 Reactions
3 Replies
819 Views
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Songea Boys,Iyunga na Mkwawa kwa vipindi tofauti S.S.Mbao amefariki dunia. Wadau mliopita mikononi mwa Mbao katika Shule hizo imenipendeza kuwajuza...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe, Kwame Daftari amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
17 Reactions
165 Replies
15K Views
Nipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza. Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza...
36 Reactions
1K Replies
160K Views
Back
Top Bottom