Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mkurugenzi wa Halmashauri Wilaya ya Korogwe, Kwame Daftari amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
17 Reactions
165 Replies
15K Views
Nipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza. Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza...
36 Reactions
1K Replies
161K Views
Meneja wa Tanroad mkoa wa Ruvuma, mhandisi Mlima Ngaile amefariki asubuhi ya leo baada ya kuanguka ghafla wakati akifanya mazoezi ya kukimbia maarufu kama marathon Songea mjini! Baada ya kuanguka...
5 Reactions
40 Replies
22K Views
Mwendeshaji na Mmiliki wa Mtandao wa MASWA YETU BLOG, Innocent Lugano Mbwaga maarufu Blogger Boy amefariki dunia. Innocent mkazi wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu ambaye ni Afisa Lishe Halmashauri...
20 Reactions
109 Replies
8K Views
Mashaka Matongo (Abiola) makazi yake ilikuwa Yombo kwa Abiola amefariki leo mchana katika hospitali ya Temeke jijini Dar-es-salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. Baadhi humu wanamfahamu aliwahi...
7 Reactions
57 Replies
7K Views
Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe. Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi? ==== Dar es...
44 Reactions
354 Replies
64K Views
Aliyekuwa mtangazaji wa StarTv, Muhsin Mambo Alias MC Hammer afariki dunia siku ya leo tarehe 8 Februari nyumbani kwake nchini Marekani. Pia soma > Muhsin Mambo yuko wapi? Mwanahabari Mukhsin...
16 Reactions
195 Replies
55K Views
Arusha. Mfanyabiashara maarufu jijini Arusha ambaye pia ni mmiliki wa hoteli kadhaa za kitalii , ikiwepo Snow crest , William Mollel amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Akizungumza na...
4 Reactions
35 Replies
5K Views
"MWAMBA" MWALIMU NDOSI KENDE MALAMU! "Mwalimu Ndosi alikuwa mwalimu wa hesabu. Alikuwa si mchezo. Alikuwa akikohoa tu wanafunzi wote mnakufa". Bi JOYCE, Aprili 18, 2023 1. Wiki iliyopita...
22 Reactions
100 Replies
8K Views
#BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu...
1 Reactions
51 Replies
5K Views
😭😭TANZIA TANZIA TANZIA 😭😭 Ndugu zangu ninawaletea taarifa ya msiba mwingine. Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania mwenzetu bwana Mohammed Ramadhani aliyekuwa akiishi South Africa katika jiji la...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia. We will update this. Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted. Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu...
16 Reactions
168 Replies
31K Views
Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu. Mchungaji Mitimingi alizaliwa mwaka 1975...
41 Reactions
353 Replies
70K Views
Leo tunavyozungumza Elias Kihombo hatunaye tena duniani. Inasemekana kifo chake ni kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimkabili. Tunahitaji kuwa Karibu na Mungu wakati wote kwani safari yetu ipo...
96 Reactions
1K Replies
170K Views
Mtu mmoja amefariki dunia akiwa kwenye harakati za kugombea daladala alasiri hii ya leo. Tayari polisi wamefika na jitihada zinafanyika za kuuupeleka mwili wa marehemu Mwananyamala Hospitali kwa...
19 Reactions
123 Replies
11K Views
Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi...
11 Reactions
232 Replies
27K Views
Tumepoteza msomi wa kujivunia Tanzania. Professor Maliyamkono ni kati ya wasomi wachache waliobobea kwenye kuandika vitabu na kufanya research za uhakika kwa nchi nyingi za Afrika RIP Prof ====...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa niaba yangu Mwenyewe na kwa niaba ya Wapenda haki wote wa Tanzania, natoa Pole kwa Baba Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kwa kupoteza Mama yake Mzazi. Namuomba Mwenyezi Mungu amtie nguvu. Amina
5 Reactions
10 Replies
663 Views
Hatimae yametimia! Apumzike kwa amani! Huyu ni Lt General Benjamini Msuya! Alikuwa kinara wakati wa vita ya Kagera! Aliongoza utekaji wa Jiji la kampala na kuwa Meya wa Kampala, na pia kama Rais...
21 Reactions
82 Replies
11K Views
Mwana JamiiForums mwenzetu Charity Kasubi ametwaliwa. Taarifa zaidi zinafuata. Marehemu pia alikuwa ni mfanyakazi wa TBC ambako alikuwa akitumika kwenye nafasi ya Uhandisi wa Mawasiliano. Buriani!
28 Reactions
170 Replies
21K Views
Back
Top Bottom