peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 13,058
- 21,812
Mzee wetu, Bilionea Isaac Mowo, ametutoka.
Kila aliyeguswa na kifo chake, ninampa pole.
R.I.P Mzee wetu Mowo
Kila aliyeguswa na kifo chake, ninampa pole.
R.I.P Mzee wetu Mowo
Hebu tueleze wasifu zaidi wa huyu bilioneaMzee wetu, Bilionea Isaac Mowo, ametotoka.
Kila aliyeguzwa na kifo chake, ninampa pole.
R.I.P Mzee wetu Mowo
Ana pick up double cabin,guest tatu zenye rooms 12 kila moja.Anamiliki shamba la kiti moto Kibaha na duka kubwa la majeneza maeneo ya Ilala Hospital.Bilionea gani huyu asiyejulikana?
Anyway!, RIP Mowo.
Haya ni matumizi mabaya ya neno bilioneaAna pick up double cabin,guest tatu zenye rooms 12 kila moja.Anamiliki shamba la kiti moto Kibaha na duka kubwa la majeneza maeneo ya Ilala Hospital.
Ni muuza soda na maji ya jumla.
Rip Billioner Mowo.
Kwa sifa hizo basi hakuwa bilionea. Mnampaisha tu.Ana pick up double cabin,guest tatu zenye rooms 12 kila moja.Anamiliki shamba la kiti moto Kibaha na duka kubwa la majeneza maeneo ya Ilala Hospital.
Ni muuza soda na maji ya jumla.
Rip Billioner Mowo.
Sii vizuri kutuchekesha msibani....😹Who is this guy
Vipi kuhusu utaratibu wa kukusanya michango ya rambirambi! Na msiba uko wapi?Mzee wetu, Bilionea Isaac Mowo, ametotoka.
Kila aliyeguswa na kifo chake, ninampa pole.
R.I.P Mzee wetu Mowo
View attachment 2980640
Bilionea anachangiwa tena??Vipi kuhusu utaratibu wa kukusanya michango ya rambirambi! Na msiba uko wapi?