Nauza Printer 🖨 ya Epson L850
Ina kila kitu chake, ni mpya sijawahi itumia
Tsh 900,000
All in one printer
Print,copy,scan
Six color eco-tank
Colored printer
Quality 💯
Napatikana Dar, Mbweni
WhatsApp/Call/SMS 0653 083 000
Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA.
Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force 😅 Kwanini Serikali...
Najua wengi wenu mnapenda customization kwenye simu, sasa nimekutana na hii link ina font 600 amabzo unaweza kubadili kwenye simu yako kila siku tofauti na za kununua galaxy store
kwanza hii hii link itakayokupelekea kudownload folder la font...
Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali.
Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Profesa Kithure Kindiki amesema suala hilo bado linajadiliwa kikamilifu katika Baraza la Usalama...
JE NI KWELI NHIF WAMEONDOA BAADHI YA VIFAA TIBA KAMA GLOVES KATIKA KITITA KIPYA CHA HUDUMA?
Hivi karibuni kumekua na mjadala mkubwa wa kwamba kitita kipya cha NHIF kimeondoa baadhi ya vifaa tiba vinavyotumika katika huduma za kitabibu mathalani gloves, gauze na bandages.
NHIF wanasema gharama...
Habari za Jioni wana Jamio Forums.
Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k.
Pia kwa kufanya hivyo...
"Kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools karibu miaka 30 ni kama kilikuwa kimekufa. Nilienda Bungeni nikapiga kelele Serikali ikatuletea fedha, Mashine imejengwa imekamilika na Operation zinaendelea. Wateja wanaleta vifaa vya Makanika (Mechanics) vimeanza kutengenezwa hapa ndani ya Wilaya ya Hai"...
Wale wanamuziki hasa wanaojua solo guitar vifaa hivi naviuza vyote kwa pamoja one milioni tu.
1. Gitaa la Solo
2. Solo/Rythim gitaa Combo
3. Solo Gitaa Effect Pedal
4. Cable za Jack pins 3 original na jack pin ndogo 1
5. HDMI mpya.
Kwa anaevihitaji tuwasiliane vipo Dar es Salaam Bunju na viko...
Tunauza spare za magari zote za japani, uingereza, singapore, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k.
Tupo barabara ya 20 Tanga.
Piga simu namba 0713276892.
Usisime spare, sema KWA HUSSEIN.
Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa...
Watu wanne wakiwamo watumishi wawili wa Serikali na mlinzi wamekamatwa kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe.
Taarifa za wizi huo zimetolewa leo Februari 9, 2024 na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Butusyo Mwambelo...
Ni katika moja ya hospitali niliwahi kwenda kwenye matibabu yangu, hospitali inadeal na mambo ya mishipa / nerves.
Siku nimeenda niliambiwa niende kwa wiki nzima kuna mashine naitumia kwa dakika kadhaa kisha naondoka,
Yani mle chumbani kilichokuwa kikibidi kututenganisha na mtu mwengine ni...
Ni aibu kila nchi inayokuja kujifunza tanzania kilimo ikipeleka kwao inafanya mpaka kujulikana wazalishaji wakubwa.leo zana na vifaa vya kilimo vina utitili wa makodi na siasa yani mpaka mbolea ni jambo la zama za zamani.
wakulima,wafugaji na wavuvi ni kama watu wasio thaminika.watu hawa ndio...
Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika.
Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
Kesi Namba Ecc 37709/2023 imeamuliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Wilaya ya Kinondoni ambapo mshtakiwa Bw. EZEKIEL SAGITII - Mhasibu katika Shirika la Wakala wa Taifa la Utafiti na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), amehukumiwa kulipa faini ya shilingi milioni tatu (3,000,000/=) au kutumikia...
Inafika wakati wilaya nzima inahudumiwa na fundi sanifu vifaa tiba mmoja ahudumu hospitali zote za wilaya husika, mtaani vijana ni wengi sana tunahitaji hiyo kazi na tuna professional hiyo. Mabadiliko yanahitajika ili kuwezesha upatikanaji bora wa huduma za afya na kupunguza gharama za kununua...
Wakuu
Nina set ya vifaa vyote vya kuoshea magari vipo Tu home vimekaa
Sasa kama mtu anataka nimkodishe then awe ananipa % flan kila siku aje DM tuyajenge
Vifaa viko Dar
Huku mbiringe mbiringe zikiendelea baina ya Wamarekani na Wachina katika kugombania utawala wa kiteknolojia katika miaka na karne zijazo kaa nami karibu katika kukuletea taarifa mbalimbali kuhusu mtifuano baina ya Marekani na China kiteknolojia.
Je, ni taifa lipi litaibuka mshindi na mtawala wa...
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amekabidhi Lori tatu za vifaa vya Msaada kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ikiwa ni muendelezo utoaji wa misaada kwa watu waliopata majanga.
Akizungumza Mara baada ya kukabidhi Misaada hiyo Mwenyekiti Chatanda amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.