ardhi

  1. I

    Marekani yaunda makombora ya kisasa yanayoweza kuangamiza silaha za nyuklia hata chini ya ardhi

    Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
  2. P

    Je, kuna siasa katika utatutizi wa migogoro ya ardhi unaofanywa na Jerry Silaa?

    Mimi ni muumini wa watu wote wabunifu wanaopanga kutatua kero za wananchi. Waziri Slaa anaonekana kuwa mbunifu baada ya kuja na clinic za kutatua kero za migogoro ya ardhi. Jana akiwa Mbeya alionekana akitoa maamuzi ya mgogoro wa mtu anayeonekana ni Mchina ambaye kwa mujibu wa Waziri watu...
  3. MK254

    Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza..... https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
  4. Mganguzi

    Ningekuwa Rais Samia, leo ningemtumbua Makonda akiwa uwanja wa KIA kabla hajakanyaga ardhi ya Arusha

    Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani. Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu wanalazimishwq kwenda kumpokea makonda kwa misafara mikubwa. Mbona wakuu wa mikoa wanapokabidhiwa...
  5. Aliko Musa

    Kinondoni; Matumizi 4 Ya Vibali Vya Ujenzi Kwenye Uwekezaji Ardhi Na Majengo

    Kibali cha ujenzi ni nakala itolewayo na serikali kwa ajili ya kuruhusu ujenzi au ukarabati/maboresho ya majengo. Nakala hii ni njia mojawapo ya serikali kuchochea aina fulani ya makazi ya ubora fulani. Kibali cha ujenzi ni kiashiria cha kiuchumi kwenye maendeleo ya afya ya sekta ya ujenzi na...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, Mbunge, Mganga Mkuu, Afsa Ardhi, RPC)

    Sina utani wala hapa sijaja kucheza chama kimenituma na moto ni ulele tu. Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, mbunge, mganga mkuu, afsa ardhi, RPC). Mbunge jimboni kwako vipi miradi mbona haikamiliki. Mganga mkuu jengo la mama na mtoto litaisha lini. Afsa Ardhi kesi ya huyu mama umewahi...
  7. B

    Hai, Kilimanjaro: Vurugu kubwa kwenye tukio la Mwenge, wananchi wadai kuporwa ardhi na mamlaka ya Bonde la mto Pangani

    MWENGE WA UHURU UNAOSEMEKANA UMILIKE PALE PASIPO NA HAKI, LEO 2024 KWA ZUKA TAFRANI YA HAKI Wananchi hao vijiji vya wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro wadai ardhi yao kuporwa na mamlaka ya Bonde la Pangani, hivyo walikuja na mabango kuonesha kero wanayopitia lakini mabango yao yalikumbana nguvu...
  8. GENTAMYCINE

    Huenda Ijumaa ijayo k Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao

    Huenda Ijumaa ijayo kuelekea Jumamosi Usiku Afrika ikasimama kwa Mshangao mkubwa na Wanaochekwa Kuzimia kwa Furaha ya Kihistoria kutoka kwa Ardhi ya Farao ( Pharao ) Kati ya wale 48 wanaoenda Kuzuru Kaburi la Nelson Madiba Mandela nchini Afrika Kusini 30 ni Waganga wa Kienyeji na 18 ni Vibaka...
  9. Kaka yake shetani

    Katika suala la kununua ardhi hakuna mjanja, tusibishe

    Yani mimi na kufanya yote nchi hii ila suala la kununua ardhi ni muoga sana. Ukiona malalamiko kesi za ardhi ni nyingi kuliko nyingine. Kuna jamaa alinunua ardhi kwa ajili ya sheli kumbe wana mirathi wengine walikuwa hawajapata stahiki, ilibidi kuongeza pesa tena ili kukamilisha manunuzi.
  10. Staphylococcus Aureus

    Je, wapi naweza kupata hekari ya ardhi kwa gharama ya chini ya 50k

    Nimeambiwa Tz hapa kuna sehemu ardhi mpaka elf 50 kwa hekari. Nipeni raman nichukue hata heka 10
  11. T

    Asante Mungu muumbaji wa Mbingu na Ardhi kwa wema na Rehema zako

    Namshukuru Mungu kwa wema wake kwangu. Pamoja na changamoto mbalimbali ninazopitia hapa duniani, bado wema wake ni mkuu mno kwangu. Ndugu wasomaji wa ujumbe huu, nawasihi tuwe na tabia/desturi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu hata kwa kidogo tulichopewa. Shukrani hufungua milango mingine ya baraka...
  12. B

    Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza na Wananchi katika mkutano

    25 March 2024 Muheza, Tanga Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza mazito ktk mkutano mkubwa CHADEMA YAONGEA KUPITIA MKUTANO NA WANANCHI WA MUHEZA Kamanda Yosefa Komba aitisha mkutano kuzungumza na wananchi wanaokabiliwa na changamoto nyingi ambazo hazifuatiliwi na mkurugezi...
  13. ward41

    20 July, 1969 Armstrong na Buzz kwenye ardhi ya mwezi

    Armstrong na Buzz Aldrin wikitembea kwenye sayari nyingine. Huu ulikuwa mwaka 1969 Wenzetu wametuacha mbali sana
  14. chiembe

    Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana. Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
  15. chiembe

    Hili la Jerry Silaa kuzuia maafisa ardhi kuwashauri watu waende Mahakamani, anataka watu wauane mitaani badala ya kufuata sheria?

    Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya? Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria! Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio...
  16. K

    Ushauri kwa Waziri wa Ardhi na Makazi: Sikiliza pande zote mbili za mgogoro kabla ya kutoa maamuzi

    Tunakupongeza sana kwa juhudi zako katika kutatua migogoro ya ardhi katika nchi hii lakini ninakushauri uende pole pole na usikilize pande zote mbili yaani mlalamikaji na mlalamikiwa. Juzi ulikuwa hapa Mwanza na uliamuru nyumba ya Wakili msomi kuvunjwa. Wakati nyumba inavunjwa Wakili...
  17. R

    Usifanyie lamination hati yako ya umiliki wa ardhi. Tuhifadhi vipi hati zetu za umiliki wa ardhi zisichakae?

    Wizara ya Ardhi inakushauri usijaribu kufanyia lamination hati yako ya umiliki wa ardhi kwa sababu inaweza kukwamisha wakati wakuuza ardhi husika, kukopa au kufanya transfer yoyote. Ndugu wananchi tunaomiliki ardhi tuchukue ushauri huu na kuufanyia kazi una manufaa makubwa kwetu wamiliki na...
  18. Shakil Bhanji

    Naomba kujuzwa taratibu na gharama za kutangaza kwenye gazeti kwa kupotea hati za ardhi

    Habari. Naomba kujua garama na utaratibu wa kutangaza kwenye gazeti kupotea hati ya ardhi. 1. Muda inayotakiwa kutangaza. 2. Garama na gazeti gani kutangaza. 3. Mawasiliano yao
  19. Faana

    Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

    Hali ikoje huko uliko? Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
  20. R

    Migogoro ya Ardhi haiishi sababu wafanyakazi wengi wa wizara ni watoto wa vigogo, hakuna wa kuwagusa

    Unaweza ukajiuliza kwanini migogoro ya ardhi inaongezeka kila siku na hakuna mtumishi wa serikali anayekamatwa wala kuchukuliwa hatua. Ukweli ni kwamba wizara hii na Idara zake wamegawana watoto wa viongozi wa chama na serikali. Lakini pia watumishi wa wizara hii kwa uelewa ni weupe sana, ni...
Back
Top Bottom