ajira

  1. N

    SoC04 Vijana wengi wanapoteza matumaini na kuangukia sehemu mbaya sababu ya kujenga imani akimaliza masomo kupata ajira ni lazima

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira) Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
  2. I

    SoC04 Selikali iongeze wawekezaji wengi hata kwa kuwapunguzia kodi ili fursa za ajira ziwe nyingi kwa vijana

    Mtazamo wangu naona serikali iweze kupunguza kodi kwa wawezekaji ili waje kwa wingi vijana wengi waweze kupata ajira. Tazama hata nchi zilizoendelea ajira ni nyingi mpaka watu wanafuatwa na kampuni ili waajiriwe angali bado mtu yupo chuo. Hivyo inasababisha hata maendeleo kwa nchi kwani kodi...
  3. Hofajr16

    SoC04 Ushauri kwa Serikali, Wazazi, vijana kuhusu kupunguza tatizo la ajira

    Suala la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania limekuwa sio stori tena ni suala ambalo linaonekana ni kama changamoto sana kutokana na sababu mbalimbali, lakini andiko langu nitagusia sana katika ujifunzaji wa lugha za kigeni hususani lugha ya kichina katika kupanua soko la ajira kwa vijana...
  4. E

    Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani? Pia 2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs 3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
  5. D

    Bajeti 2024/2025 serikali itoe ajira rasmi kwa wafanyakazi wa JKCI-Dar Group

    Ni muda sasa umepita tokea serikali kurudisha umiliki wa hospital ya Dar group na kuwa chini ya Jkci ingawa awali ilitegemewa baada ya serikali kuchukua rasimali zote za hospital hiyo ikiwemo majengo ,vifaa tiba na fedha ktk account ilitarajiwa kutoa ajira rasmi kwa rasilimali watu (watumishi...
  6. H

    SoC04 Tanzania yenye ajira ya kutosha inawezekana

    Tanzania inaweza kumaliza tatizo la ukosefu wa ajira Kwa asilimia mia Kwa wasomi mpka wasio wasomi. Vitu vifuatavyo vinaweza badili Tanzania iwe ni soko la ajira milele. Uvuvi.mikoa yote yenye bahari,maziwa Kwa wale vijana wanao penda uvuvi na wanao somea uvuvi wapewe elimu na vifaa vya kisasa...
  7. J

    Ushauri: Nimeomba kazi Polisi pamoja na Kampuni binafsi. Kwa wenye uzoefu, ni wapi niende?

    Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
  8. B

    Nahitaji msaada, natafuta Ajira. Nina Advanced Diploma ya Uhasibu

    Kama kichwa kinavojieleza natafuta kazi ya kuweza kujikimu, nina diploma ya uhasibu Kwa yeyote anayeweza kunisaidia au kunipa mawazo ya jinsi ya kujikwamua, mitihani ya utumishi nimeshafanya mingi ila sijafanikiwa kupita. Sina uzoefu sana nimefanya internship zile za TAESA ila ni mwepesi...
  9. A

    Baadhi ya Watendaji wanadai hongo ili kupitisha barua za ajira zinazoelekezwa kwao kabla hazijafika kwa Mkurugenzi

    Kumekuwa na changamoto za watendaji kudai hongo kwenye post za ajira zinazoelekeza barua kupitia kwa watendaji ili barua yako ifike kwa mkurugenzi. Pia fursa zikija mtaani bila kutangazaa ajira portal hawatangazi kwa wanakijiji wanatembeza kimagendo ili wajiptie fedha.
  10. A

    Kamati inayoshughulika na majanga nchini haina wataalamu huku wenye ujuzi wapo mtaani, serikali itupe kipaumbele kwenye ajira

    Hello, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu nasoma Shahada ya Kwanza (Masters Degree of Environmental Disaster Managament) mwaka wa pili. Ombi langu ni kuhusu degree hii tunasoma lakini pia kuna waliotutangulia ambapo majanga yanatoke mengi na nchi hupata hasara while watu ambao wanateuliwa...
  11. B

    Mfumo wa Ajira kwa watumushi wa Serikali ubadilishwe ili kuleta matumaini kwa Watanzania waliopo shuleni

    Kwanza kabisa muasisi wa taifa letu hayati Mwalimu JK Nyerere alisema kila mtanzania anapaswa kupambana na adui watatu ambao ni: 1. Ujinga 2. Umasikini 3. Maradhi Tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua tulipo fikia maana tumeweza kufaulu lakini sasa badala ya kupunguza maadui hapo basi...
  12. Logikos

    Je Ajira sio Agenda tena ? (Is Employment no longer an Agenda?)

    Hapa nataka kuwauliza watunga Sera na Vyama vya Siasa..., ila kabla ya yote kwanza ninanukuu Babu wa Chama Tawala cha Sasa kilivyosema na kilivyokuwa kinaamini.... (Extract kutoka Hotuba ya Mwalimu Nyerere) CHAMA CHETU KINASEMA - mtu mwenye Afya ambaye tumeshindwa kumpa njia halali ya kujipatia...
  13. deliverance man

    Ajira za polisi kwa wenye fani hivi salary scale zao zinaendaje?

    Naomba kujua wadau, hivi mtu anayefanya kazi na jeshi la polisi kwa kitengo cha laboratory technician mwenye degree, mshahara unaanzia shingapi?
  14. complexi

    Msaada, namna ya kufuta course ajira portal

    Naomba kujuzwa namna ya kufuta course ambayo nimesave kwenye mfumo wa ajira portal. Nimeweka level ya education ni diploma na nimesave but nikijaribu kufuta inakataa, lengo niombe kazi kwa kutumia level ya certificate na siyo Diploma. Naomba mnisaidie kama kuna namna ya kufuta.
  15. A

    KERO Mfumo wa Ajira Polisi una shida. Haufunguki na deadline ya kuomba ajira imefika

    Tarehe 10/05/2024 Polisi Tanzania walitoa tangazao la kazi kwa vijana wa kitanzania waliohitimu Shule ya Upili Mwaka 2018 na kuendelea. Deadline ya lile tangazo ilikuwa Mei 16, hivyo kwa sababu za kimitandao kufeli ku-access ikawa ngumu kwa sisi wenye matamanio ya kufanya kazi za Kipolisi kwa...
  16. Sean Paul

    Naomba kuuliza wajuvi, mtu aliyekaa miezi 18 bila kuajiriwa, alivyorudi mfuko wa hifadhi ya jamii ilikuwaje?

    Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
  17. Gotze Giyani

    Mfumo mbovu wa elimu ndio unazalisha ukosefu wa ajira kwa wasomi vijana wa kitanzania

    Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa...
  18. F

    Tanzania yangu na tatizo la Ajira kwa vijana

    Kumekuwa na wimbi kubwa sas ama kilio kikubwa juu ya kanga la ukosefu WA ajiraa miongoni mwa vijana wanao hitimu ngazi mbali mbali za elimi, na hata walioko mtaanii pia. Huku upande mwingine tukisikia wimbo wa Tanzania ni tajiri na fursa nyingi. Nini kifanyike? Kwa maoni yangu kwa miaka kadha...
  19. More Chances

    Mfumo wa ajira za Polisi haufunguki

    Habari wakuu, Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za polisi 09/05/2024 mpaka leo bado sijafanikiwa Ku Signin kwenye huo mfumo. Kila nikijaribu haufunguki, je kuna mtu amefanikiwa kukamilisha maombi? Ushauri tafadhali maana hio ajira kwangu ni muhimu sana kulingana na Situation yangu ya maisha kwa sasa
  20. S

    Wakati vijana wanapambana na swala la kutafuta ajira au kujiajiri

    Hiki ni kipindi kigumu sana kwa upande wa vijana hasa kwa watoto wa kiume. Mambo yamegeuka kabisa. Zamani jamii ilikuwa inaamini mtu alie soma ndie mkombozi wa jamii hasa kwenye swala la uchumi lakini mambo yamekuwa sio kwa miaka ya 2000 to date. Kila mmoja anashuudia maajabu yanayo fanywa na...
Back
Top Bottom