Search results

  1. P

    Hizi sheria za kuwa na kifurushi kinacho-expire ni za wizi

    Utaratibu uliowekwa na mitandao ya simu kuwa kifurushi kinaisha muda wake siyo rafiki. Hii inamlazimisha mtu kupiga simu au kuangalia vitu vingine ambavyo siyo vya lazima ili tu awe amemaliza dakika zake au MB. Kwa nini vifurushi visiendane na matumizi ya mtu. Vifurushi vyote vilitakiwa kuwa...
  2. P

    Je wewe ni mpinzani, mkosoajiau, waibua kero kwa Serikali?

    Naomba niweke mambo sawa ili tusiendelee kuumizana. Kutokana na kwamba baadhi ya watu wana uelewa finyu kuhusu misamiati ya mpinzani, mkosoaji, mwanaharakati na sisi waibua kero; kuna watu wameumizwa kwa kuonekana kana kwamba ni wapinzani. Mfano: Bwana mmoja aliona mabweni ya wanafunzi yana...
  3. P

    Naona wafrika weusi ni binadamu hatari sana

    Inawezekana je huduma za msingi(basic) kama maji, dawa, umeme, barabara vikakosekana na walio na jukumu hilo wanaona poa tu? Binafsi nashindwa kuelewa.
  4. P

    Leo nilijipanga kuandika message ya kuipongeza Serikali kwa kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme, nashangaa kimya

    Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme. Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si...
  5. P

    Barabara za Tabata Kimanga ni Mbovu sana

    Nimeenda kumtembelea shangazi yangu yupo kimanga; aiseee! Sikuwai kuona barabara mbovu kama ile. Yaani ni siyo kwa mashimo yale. Binafsi kichwa, mgongo na kiuno vinauma. Sasa nikawa najiuliza, huku mimba hazichoropoki? Watoto dish zao (akili) haziyumbi? Vyombo vya moto navyo haviko salama hata...
  6. P

    Je, kuna siasa katika utatutizi wa migogoro ya ardhi unaofanywa na Jerry Silaa?

    Mimi ni muumini wa watu wote wabunifu wanaopanga kutatua kero za wananchi. Waziri Slaa anaonekana kuwa mbunifu baada ya kuja na clinic za kutatua kero za migogoro ya ardhi. Jana akiwa Mbeya alionekana akitoa maamuzi ya mgogoro wa mtu anayeonekana ni Mchina ambaye kwa mujibu wa Waziri watu...
  7. P

    Ni katika eneo gani tumefanya vizuri sana kama nchi?

    Asalam walekum, Najiuliza hivi ni kwenye angle ipi ya maendeleo tumefanya vizuri sana kama nchi? Africa tunaongozwa na mwamba South Africa na nchi za Waarabu. Mfano: Ethiopia wana strongest airline. Seychelles and SA: best education system SA, Botswana, Namibia, Morocco: Road infrastructure...
  8. P

    Hivi inawezekana wananchi tukajulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi gani tunapata kwa mwezi?

    Tumekuwa tukisomewa budget za wizara zote ila sina kumbukumbu kama wananchi tuliwahi kujulishwa vyanzo vyote vya mapato na kiasi kinachopatikana kwenye kila chanzo kwa mwezi au mwaka. Usikute tunaenda kuomba misaada au kuingia madeni na wakati tunajitosheleza. Hizi taarifa zinapatikana wapi...
  9. P

    Ni kwa kiwango gani TBS iko makini kuhakikisha Wananchi wako salama?

    Huwa kuna vita ya kiuchumi, Huwa kuna makosa ya kiufundi Wananchi tunatumia bidhaa zinazozalishwa nchini na nje ya nchi na uwezo wa ku control kila kitu ni mdogo. Je hatuoni haja ya TBS kuwa taasisi imara na yenye kila resources ili waweze kufungua ofisi sehemu mbali mbali nchini na hivyo...
  10. P

    Chawa ni nani?

    Nimekaa natafakari kwa nini baadhi ya watu wanajiita chawa. Leo nimepata jibu kuwa ni WANYONYAJI. Ningeomba serikali ipige marufuku watu kujiita chawa. Kwa wale tunaounga mkono uongozi wa rais Samia basi tuitwe tu WAPAMBE coz tupo naye bega kwa bega. Mimi ni mpambe pia.
  11. P

    Makonda kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha, ngome ya Chadema yaingiliwa

    Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar. Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu. Hata kama hakuna upinzani wowote nchini. Wapinzani wote wamepoteana. Siasa za rais SSH siyo za nchi...
  12. P

    Ni lini viongozi wetu watakuwa na huruma na sisi?

    Kwa sauti ya unyenyekevu kabisa niiombe serikali iwe na huruma kwa wananchi wake. Nia ya kuanzishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii pamoja na bima ya afya ya taifa ni njema. Ila kinachoendelea sasa ni kwamba haya mambo yamekuwa kama laana, masikitiko kwa wanachama wake. Nimeshuhudia watu...
  13. P

    Uchaguzi wa Senegal 🇸🇳 umenifanya niwaelewe vizuri Vijana wa hapa Nchini

    Bila shaka sisi wapenda siasa tunajua kuwa kuna kijana mwenye umri wa miaka 44 ambaye anaweza kuibuka mshindi katika uchaguzi wa urais huko Senegali. Mitandaoni watu wanajadili kuhusu umri na uongozi wa nchi. Kutokana na assessment yangu ya haraka huko mitandaoni, nimeona kuwa vijana hawako...
  14. P

    Viongozi, kuweni wazalendo na hakikisheni nchi inajengwa vizuri

    Nchi hujengwa na Wananchi wenyewe. Hali ni tofauti kwa bara langu la Afrika ya watu weusi. Nimezunguka nchi yangu na kujionea kwa macho yangu maisha ya watanzania wengi. Kusema ukweli, kazi ya kuijenga nchi bado tunayo. Barabara mbovu Nyumba za makazi mbovu Vumbi kila kona Nzi na mbu Uchafu...
  15. P

    Serikali kuleta ndege mpya nchini Machi 26, 2024

    Ndege mpya ya Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Boeing 737-9 Max, inatarajiwa kuwasili nchini Machi 26 mwaka huu kutokea nchini Marekani, hii itakuwa ndege ya 14 kutoka ATCL.
  16. P

    Pongezi nyingi kwa serikali, tumezika msamiati wa Mgao wa Umeme sasa tunatumia Kuzima mitambo kufanya Matengenezo!

    Bila shaka serikali imefanya jitihada kuhakikisha wananchi wake tunapata huduma ya umeme yenye uhakika!🫣🫣 Tumezika msamiati wa Mgao wa Umeme ila bado tunaendelea kutumia Misamiati ya Kuzima mitambo ili kufanya matengezo! Miaka ya nyuma alilazimisha mitambo isizimwe ndiyo maana hapakuwa na mgao...
  17. P

    Wakati ni sasa kwa vijana kushika nafasi za uongozi

    Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa. Ni muda wa kuwashukuru wazee wetu kwa kazi waliyoifanya ya kujenga taifa hadi kulikisha hapa lilipo. Kuna...
  18. P

    In case you are using hair dye: Read carefully before going to salon. Kwa wanaopaka rangi nywele.

    Hair dye reactions Many hair dyes contain ingredients that can irritate your skin or cause an allergic reaction. It's important to be aware of this risk, and know what to do. Reactions to hair dye are avoidable if you follow some simple safety advice. This page offers advice to anyone who...
  19. P

    Mungu fundi: Kutoka kwenye maono ya kuwa Air Hostess hadi kuwa nafasi ya juu

    Binadamu yeyote mwenye akili inayofanya kazi huwa ana maono/ ndoto ya kuja kuwa mtu fulani katika jamii. Maono haya yanatokana na uwezo wa mtu wa kufikiri, mazingira, elimu aliyonayo, vitu anavyoona au kusikia. Katika mazingira yote hayo, mtu mmoja alikuwa na ndoto ya kuja kuwa air...
  20. P

    Mzee Makamba aliwaza nini kusema ''Watu wazuri hawafi''?

    Hivi aliyetoa hii kauli alimaanisha nini na kwa nini? Je, waliokufa kwenye familia yake au ukoo wake wote ni wabaya? Ingekuaje watu hawa wangepewa mamlaka ya kusimamia kugawa pumzi ya uzima na hewa safi tunayopumua kila siku?
Back
Top Bottom