Search results

  1. Suley2019

    Waziri Kijaji: Mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8. Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kilimo na viwandani kwenda katika nchi...
  2. Suley2019

    Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda vya chuma 28 vyatoa ajira 25,358 kwa Watanzania

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Ashatu Kijaji amesema kuwa Tanzania ina jumla ya viwanda 28 vya kuzalisha chuma na bidhaa za chuma. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Leo mei 21,2024 Bungeni Wakati akiwasilisha Hoja ya Bajeti ya Makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya...
  3. Suley2019

    Zanzibar: Mama ajifungua na kuzika mtoto wake

    Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai. Akizungumza katika eneo la tukio ,mkuu wa wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya amelaani tukio hilo na kutaka...
  4. Suley2019

    Serikali kuunga mkono uwekezaji wa sekta binafsi hasa katika sekta ya mawasiliano

    DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesisitiza nia ya Serikali kuunga mkono uwekezaji wa sekta binafsi hasa katika sekta ya mawasiliano. Waziri Nape ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya ujenzi wa minara ya...
  5. Suley2019

    Mmoja afariki kwenye msafara wa Rais Ghana

    ACCRA, Ghana - Mtu mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya msafara wa Rais Akufo-Addo kupata ajali, akirejea Ikulu ya Accra baada ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Ejisu John Kumah. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Makutano ya Bunso, Mkoa wa Mashariki. Taarifa ya Jeshi...
  6. Suley2019

    FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

    Saa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu? Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums Kikosi ch Simba kinachoanza Kikosi cha Dodoma Jiji kinachoanza Halftime Dodoma Jiji 0 - 1 Simba -...
  7. Suley2019

    Serikali: Watumiaji wa Intanet wafikia milioni 36.8

    Serikali imesema kumekuwa na mafanikio makubwa ya sekta ya habari na Mawasiliano, pamoja na upatikanaji wa mawasiliano nchini, hivyo kuongeza idadi ya laini za simu, watumiaji wa intaneti na huduma za kutuma na kupokea fedha katika Mwaka wa Fedha 2023/2024 . Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...
  8. Suley2019

    Umoja wa Ulaya kuchunguza uraibu katika Instagram na Facebook

    Umoja wa Ulaya unachunguza Facebook na Instagram ikiwa zinaweza kuwa na uraibu wa kiwango cha juu kiasi kwamba zinakuwa na "athari mbaya" kwa "afya ya mwili na akili" ya watoto. Pia itachunguza kama wamefanya vya kutosha kuhakikisha kuwa watumiaji ni wa umri unaoruhusiwa kuzitumia, na jinsi...
  9. Suley2019

    Chatanda: Wazazi zungumza na watoto wenu kulinda maadili

    Jumuiya ya Wanawake CCM (UWT) imeungana na Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii katika kuadhimisha Siku ya Familia Duniani, ikiwataka wazazi kuungana katika suala la malezi badala ya kumwachia mzazi mmoja. Hayo yamezungumzwa leo Mei 15, 2024 jijini Dodoma na mwenyekiti wa UWT, Mary...
  10. Suley2019

    Wakazi wa Moshi mjini hatarini kupata kipindupindu sababu ya uchafu wa mazingira

    Katika miongo kadhaa mji wa Moshi umejizolea sifa za usafi na ambao uliufanya mji huo kuwa na sifa za kipekee nchini ikiwa ni pamoja na kuongoza kwa usafi. Hali hiyo imekua tofauti kwa miaka ya hivi karibuni kutokana na mji huo kuendelea kuporomoka katika nafasi za usafi na sasa ikiwa...
  11. Suley2019

    Akamatwa akiwa na milioni 29 Gest

    Mkazi wa Jijini Dar es salaam amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe akiwa na Tsh. 29,374,000 katika nyumba ya kulala Wageni (Gesti) Mjini Makambako ambapo fedha hiyo inadaiwa ameipata kwa njia ya wizi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga, amesema wamemkamata Mwakatundu wakiwa...
  12. Suley2019

    Binti wa miaka 17 aandika historia baada ya kuhitimu ngazi ya Uzamivu (PhD)

    Mwanachuo kijana wa Chicago alitembea katika programu ya mahafali ya chuo kikuu chake baada ya kuweka historia kwa kupata shahada ya udaktari akiwa na umri wa miaka 17. Dorothy Jean Tillman II alisherehekea mafanikio hayo adimu, akielezea wiki ya mahafali kama "isiyo ya kawaida" na "imejaa...
  13. Suley2019

    NADHARIA India ilijitoa Kombe la dunia sababu ya kukataliwa kucheza peku

    Habari, Taarifa zinaeleza kuwa mnamo mwaka 1950 timu ya Taifa ya India iliamua kujiondoa kushiiriki Kombe la Dunia sababu ya Shirikisho la Soka Ulimwenguni kuwakatalia kucheza peku. Kuna ukweli wowote hapa?
  14. Suley2019

    MPYA Mwaka 1998 radi ilipiga wakati mechi inaendelea na kuua wachezaji wote wa timu moja na kuacha wa timu nyingine

    Habari, Katika pita yangu mtandaoni nimekutana na taarifa ikieleza tukio linalodai kuwa mnamo mwaka 1998 ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo radi ilipiga wakati wa mechi kati ya Bena Tshadi dhidi ya Basanga na kuua wachezaji wote wa timu moja huku wa timu nyingine wakitoka salama. Je...
  15. Suley2019

    Muuza Madafu akionesha Uwezo wake wa kugawa Wastani kwa idadi

    Yule ndugu yetu muuza Madafu ambaye ameonekana kufananishwa na Kamanda aliyeonekana siku ya Muungano leo Ayo TV wamepita naye na amewaonesha Uwezo wake. Kama Jamaa sio Mtu wa kitengo kweli basi napendekeza Jeshi liangalie namna ya kumpa mafunzo maana mwamba anaonekana yupo fit kinoma...
  16. Suley2019

    Muuza Madafu: Mimi sio mtu Mwanajeshi. Natamani kuonana na Kamanda nayefananishwa naye

    Baada ya maswali kuwa mengi juu ya msemo wake maarufu “ukija bila gadi nagawa kwa idadi ya wastani” , kijana muuza madafu ameweka wazi kuwa ule ni msemo tu na haina maana kuwa yeye ni mtu wa ndani. Kijana muuza madafu ameujulisha umma kuwa yupo tayari kukutana na afisa usalama ambaye...
  17. Suley2019

    KWELI Watu 155 wafariki kwa Mafuriko Tanzania

    Salaam, Wakuu nimepata wenge baada ya kuona taarifa inaeleza watu 155 wamefafiki kwa Mafuriko Tanzania. Sijakutana na hii habari. Na hata Mtandao wa X (Twitter) wengine wanapata mashaka kama Mimi tu. Je, kuna ukweli kwenye jambo hili? Tunaombeni ufafanuzi
  18. Suley2019

    Viongozi boresheni miundombinu Majimboni kwenu. Msingoje mpaka Ziara ya Rais ndio mshtuke!

    Habari, Kumekuwa na tabia ya viongozi wengi wa kisiasa katika ngazi za mikoa (majimbo) mbalimbali kufanya marekebisho ya miundombinu ya jimbo lao wanaposikia Rais atapita maeneo yao. Viongozi hawa wamekuwa wakimwaga na kusawazisha vifusi barabarani, kufanya ukarabati wa kuzuga ili kumuaminisha...
  19. Suley2019

    Erick Kabendera aitaka Vodacom imlipe Dola Milioni 1 kwa kufanikisha kutekwa kwake 2019

    Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia kwa WAKILI wake Peter Madeleka. PIA, SOMA: - Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi...
  20. Suley2019

    Musukuma: Tuanze na V8 za Mawaziri kuweka mfumo wa gesi ili kubana matumizi

    Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo gharama yake ni kubwa ukilinganisha na gesi. Musukuma amesema hayo leo Aprili 25, 2025 Bungeni jijini...
Back
Top Bottom