FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,864
4,692
1715953123786.png
Saa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC

Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu?

Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums

1715953215173.png

Kikosi ch Simba kinachoanza
1715953300687.png

Kikosi cha Dodoma Jiji kinachoanza

Halftime

Dodoma Jiji 0 - 1 Simba - Freddy Michael DK 7

FT: Dodoma 0 - 1 Simba

1715958569970.png
 
Kwa hiyo baada ya kupondwa kule ndiyo mmekimbilia kuja kuanzisha uzi harakaharaka 😂😂😂 mnagombea nini na Ligi imeshaisha? Admin ikiwapendeza uzi ufutwe tu unatujazia server 😄
 
Halftime

Dodoma jiji 0 - 1 NGUVU MOJA BAO LA FREDDY MICHAEL DK 7.
 
HII NDIO SIMBA NANAYO IJUA MIMI.

Simba sasa imeimarika na inacheza mpira mkubwa na wa kiwango Cha juu mnoo, tukianza na safu ya ulinzi iko imara ikiongozwa na Yeriko che Malone Baba wa ulinzi huyu,

Kiungo ndo usiseme wananyumbulika kulingana na mpinzani kina NGOMA pamoja na yule Punda haswaa/ Mzamiru.

Safu ya ushambuliaji nayo ukizubaa wanakukanda kina FREDOO.

Tuna KANOUTE ,CHASAMBI ,SAR allooo HAKIKA TUMEIMARIKA KILA IDARA.
 
HII NDIO SIMBA NANAYO IJUA MIMI.
Simba sasa imeimarika na inacheza mpira mkubwa na wa kiwango Cha juu mnoo, tukianza na safu ya ulinzi iko imara ikiongozwa na Yeriko che Malone Baba wa ulinzi huyu...
Mnasemaga hivyo wakarudishwa goli mnaanza kungaka
 
Back
Top Bottom